Mpaka sasa Umejifunza nini kuhusu Maisha?

1. Simuamini mtu, najiamini mimi mwenyewe. Na Mungu tu !

2. Siku zote naangalia nilichonacho siyo nachokitaka.

3. Natarajia sifuri kutoka kwa mtu yoyote.
Namba 3 ukimanisha nini..? Yaani sifuri 0 au sifuri o πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€πŸ€
 
Nilikua nashangaa sana mshua akiamka saa 11, siku moja akanambia "itafika kipindi matatizo yako yatakuamsha". Sasa nayaona
 
Asante kwa maarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…