Mpaka sasa Umejifunza nini kuhusu Maisha?

Hiyo no.1 ni kweli kwa asilimia [emoji817]
 
Nimejifunza Kuna kuzaa wapiga kura na kuzaa wapigiwa kura...be humble
 
Ulalamishi na kutegemea wanasiasa umekwisha..

Cha Maana Ni uzima hayo mengine is not a big deal.
 
It was written. I am living to fulfill the scriptures.
Maisha yangu yaliandikwa sehemu, naishi ili yale maandiko yatimie
Kwenye hili unanipa mada fikirishi,
Imagine kwa Imani ya sisi Wakristo na Wafilisiti,Yuda Iskarioti aliletwa duniani kwa lengo la kumsaliti Yesu🤔🤔 Ili maandiko yatimie.
 
Yamenifunza namba mbili na money is better than education
 
: Hakuna atakayekuja kubeba majukumu yako mwanzo niliamini watu wa karibu watakusaidia kumbe ilikuwa ni kwa sababu bado nipo chini ya uangalizi wa wazazi(Yani ukipata changamoto wao huibeba) , ukikua hakuna mtu atabeba shida zako (zikabili mwenyewe) rafiki na ndugu watasaidia ila wanakiwango Cha Kikomo Kuna muda wataacha. Ila mtoa Uzi namba 7 umeniacha bana
 
Kwenye hili unanipa madam fikirishi,
Imagine kwa Imani ya sisi Wakristo na Wafilisiti,Yuda Iskarioti aliletwa duniani kwa lengo la kumsaliti Yesu🤔🤔 Ili maandiko yatimie.
Kwenye maisha kila mtu anakuja ku accomplish assignment yake. Assignment yako ikiisha ni lazima ufe.
Assignment ya Yuda Iskariot ilikuwa ni kumsaliti Yesu ili tupate kukombolewa. Alipomaliza assignment yake akafa.
Assignment ya Yesu ilikuwa kutukomboa kupitia mauti ya msalaba.
Assignment ya Yohana Mbatizaji ilikuwa ni kuitengeza njia ya Kristo, baada tu ya kumbatiza Yesu, Yohana alikatwa kichwa akafa
 
Ni kweli kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…