Pre GE2025 Mpaka sasa unaipa CHADEMA alama ngapi kisiasa kutokana na yanayoendelea?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanaoropoka maneno ya kuhatarisha walioko CCM mmewafanyaje mpaka leo? Najua unawajua na walichoropoka unalijua. Tafakari
 
Mtu yeyote anayetumia nguvu kubwa anaficha yaliyofichika kwakuwa huenda ni mabaya. Na asiyejua (kama huyu mtoa mada chawa) anafuata mkumbo tu. Au ukweli anaujua ila anajitoa ufahamu kutetea kilichojificha. Ipo siku kamba yako hata kama ndefu itakatika hautakula Kwa urefu wa kamba yoyote
 
Mtabadilisha mawaziri sana na bado. Mnawashusha mnawapandisha. Mtaelewa tu. Mpaka 2025 mtakuwa mmebadili mara 5
ili kuiimarisha utendaji na kasi ya kuchochea maendeleo kwa wananchi, viongozi waandamizi wa wa wizara, idara, mamlaka au taasisi mbalimbali za umma watabadilishiwa kazi, majukumu na vituo vya kazi kadiri itakavyoonekana inafaa,
wapende wasipende ndivyo ilivyo katika utendaji πŸ’
 
CHADEMA NI WAPUMBAVU,NA WANAOWAAMINI CHADEMA NAO NI WAPUMBAVU,WALIKUJA KUTUAMINISHA KUWA LOWASA NI FISADI BAADAE HAO HAO WAKAGEUKA NA KUMPA RIDHAA YA CHAMA AWE MGOMBEA WAO WA URAIS,CHADEMA NI WAFANYA BIASHARA TUH,POLITICAL ENTERPRENUERS...
 
chedema ni miongoni mwa vyama vya upinzani nchini chenye kiwango cha chini sana kwenye ujengaji hoja, ni wabishi na wenye kiwango cha juu sana cha mihemko,

kweli si kweli?
Mbona mnatumia nguvu Kwa watu wasio na hoja si uwaache waseme hoja zao wananchi watapima? Watu wa leo siyo wa mwaka 47
 
Kama Awadhi
 
Mbona mnatumia nguvu Kwa watu wasio na hoja si uwaache waseme hoja zao wananchi watapima? Watu wa leo siyo wa mwaka 47
hakuna habari ya kutumia nguvu hapa, ni kueleza ukweli tu gentleman, just relax πŸ’
 
CHADEMA NI WAPUMBAVU,NA WANAOWAAMINI CHADEMA NAO NI WAPUMBAVU,WALIKUJA KUTUAMINISHA KUWA LOWASA NI FISADI BAADAE HAO HAO WAKAGEUKA NA KUMPA RIDHAA YA CHAMA AWE MGOMBEA WAO WA URAIS,CHADEMA NI WAFANYA BIASHARA TUH,POLITICAL ENTERPRENUERS...
Bunge lako ndo lililosema Lowasa ni fisadi muulize Mwakyembe. Chadema walinukuu. Usitudanganye. Watu wa leo siyo wa mwaka 47
 
Bunge lako ndo lililosema Lowasa ni fisadi muulize Mwakyembe. Chadema walinukuu. Usitudanganye. Watu wa leo siyo wa mwaka 47
WEWE MWEHU,PALE MWEMBEYANGA KWENYE LIST OF SHAME NI CHADEMA WALISIMAMA NA KUUTANGAZIA UMMA KUWA LOWASA NI FISADI PAPA.HAPO HAPO BAADAE WAKAGEUKA KUMPA NAFASI YA UGOMBEA URAIS,UTAANZAJE KUWAAAMINI HAO VICHAA??
 
Nimesikitishwa na polisi kuwapatia political mileage hili genge la Mbowe. Kwa kilichotokea kina manufaa kisiasa kwa kina Mbowe. Na ndicho walichokuwa wanakitafuta sana baada ya maandamano yao ya mwanzo kukosa msisimko. Kura zingepigwa leo wangepata kura nyingi za huruma. Ninadhani njia ya 4R's ya Mama Samia ni nzuri inayowamaliza kisayansi.
 
Hakuna mnajitahidi kupambana wananchi wameshawashtukia. Mnawarudisha akina Kabudi wa nn na Lukuvi si mliona hawatoshi kwenye wizara hizo. Mnatapatapa
 
mie kazi yangu kuu ni kueleza ukweli tu gentleman πŸ’

kukasirishwa au kutokasirishwa na ukweli ni jambo binafsi, ni muhimu kutafuta namna ya pekeyako kudeal nalo,

but,
hoja iliyopo mezani ni rahisi tu, ni ama uwe na mawazo mapya na fikra mbadala ama upite pembeni tu kama huna hoja kuliko kuleta makasiriko ambayo hayasaidii na wala hayana maana yoyote kwenye hoja hii muhimu sana kwa mustakabali wa siasa ndani ya chadema πŸ’
 
Hakuna mnajitahidi kupambana wananchi wameshawashtukia. Mnawarudisha akina Kabudi wa nn na Lukuvi si mliona hawatoshi kwenye wizara hizo. Mnatapatapa
wananchi nchi nzima wako sambamba na kipenzi chao Rais Dr.Samia Suluhu Hassan, wameshikamana kwa pamoja kuhakikisha Taifa linaendelea kua moja, huru na la amani...

hayo mengine ni ya kawaida katika kuimarisha utendaji na kuchochea ufanisi katika utendaji wa serikali katika kuwaletea wananchi maendeleo πŸ’
 
kuliko kusubiri athari, uharbifu na pengine maafa, ambayo yangesababishwa na kupuuziwa kwa mipango hatarishi ya magenge yale ya kihalifu,
Rwanda walipuuzia vihatarishi kama hivi, sote tunafahamu kilichotokea1994...

jeshi la police makini nchini, kwa haraka, ustadi na weledi mkubwa lilichukua hatua stahiki na kufanikiwa kuyadhoofisha, kuyadhibiti na kuyasambaratisha kabisaa magenge yale bila kujali lawama au umaarufu wa yeyote,

bali kuhakikisha umoja, amani na utulivu wa waTanzania uko madhubuti πŸ’
 
Sasa mahakamani ya nini, maana hata wakipelekwa wakikutwa na hatia hawaishii hapo utasikia wametumwa na CCM. Huwezi kutukana kiongozi wala mkubwa wa kazi yako.
 
WEWE MWEHU,PALE MWEMBEYANGA KWENYE LIST OF SHAME NI CHADEMA WALISIMAMA NA KUUTANGAZIA UMMA KUWA LOWASA NI FISADI PAPA.HAPO HAPO BAADAE WAKAGEUKA KUMPA NAFASI YA UGOMBEA URAIS,UTAANZAJE KUWAAAMINI HAO VICHAA??
huyo ni mfuata mkumbo kindaki ndaki usihangaike nae sana, anaelewa vizuri sana jambo hilo, lakin anashupaza shingo tu kupinga ukweli huku anajisuta mwenyewe 🀣
 
Bunge lako ndo lililosema Lowasa ni fisadi muulize Mwakyembe. Chadema walinukuu. Usitudanganye. Watu wa leo siyo wa mwaka 47
kwahivyo chadema walifuata mkumbo tu, hata kama ilikua sawa au si sawa 🀣

hivi kumbe unyumbu saa zingine unaweza kua una maana hasa kwenye matendo na maamuzi ya wanasiasa ee 🀣
 
Kuchukua hatua sio vibaya ila kuwapiga sio sahihi hata mbele ya sheria. Wangewaweka mahabusu na kuwapeleka mahakamani. Polisi watumie weledi kwenye kufanya kazi zao.
 
Wanaoropoka maneno ya kuhatarisha walioko CCM mmewafanyaje mpaka leo? Najua unawajua na walichoropoka unalijua. Tafakari
nakushauri kutothubutu kujiunga au kujihusisha na magenge ya kihalifu yenye lengo au dhumuni la kuharibu au kuhatarisha umoja, amani na utulivu wa wananchi...

utakabiliwa vikali sana na jeshi imara la police, na kuwajibishwa kisawa sawa kwa mujibu wa sheria πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…