kuliko kusubiri athari, uharbifu na pengine maafa, ambayo yangesababishwa na kupuuziwa kwa mipango hatarishi ya magenge yale ya kihalifu,
Rwanda walipuuzia vihatarishi kama hivi, sote tunafahamu kilichotokea1994...
jeshi la police makini nchini, kwa haraka, ustadi na weledi mkubwa lilichukua hatua stahiki na kufanikiwa kuyadhoofisha, kuyadhibiti na kuyasambaratisha kabisaa magenge yale bila kujali lawama au umaarufu wa yeyote,
bali kuhakikisha umoja, amani na utulivu wa waTanzania uko madhubuti 🐒