Mpaka sasa unamshukuru Mungu kwa jambo gani kuu alilokutendea maishani mwako?

Mungu aliyonitendea ni mengi sana.....Sina pa kuanzia kusimulia.....
 
Uhai na afya njema ndiyo kila kitu kwangu.. MUNGU ni mkuu..
 
Ubaguzi wa mungu umejidhihirisha waziwazi Kwenye Quran ya waislamu pale ambapo mungu aliamua kumpa mtu mmoja Mohammed maelekezo ya kufanya hapa duniani na yanayomuhusu mungu mwenyewe ili atusambazie na sisi! Huu ni Ubaguzi wa wazi kabisa kwa mungu muweza wa yote, mwenye upendo wote, 😭ni sawa na wewe uwe na watoto Sita Kisha unamchagua mmoja kumsomesha na kumjali ilhali unao uwezo wa kumsomesha wote! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kunipa Uhai mpaka leo, walikuwepo niliozaliwa nao, nikasoma nao level mbalimbali lkn leo hawapo mm 40s yrs bado nadunda, regardless Mapito magumu.
 
nilitamani prado 120 nzuri mungu kanipa.. ni jambo kubwa kanifanyia.. alhamdulillah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…