Mpaka sasa unamshukuru Mungu kwa jambo gani kuu alilokutendea maishani mwako?

Mpaka sasa unamshukuru Mungu kwa jambo gani kuu alilokutendea maishani mwako?

Ni kazi mno. Inahitaji msaada mkuu wa Mungu Baba. Mkubwa sana..... Ila lazima aidha utaishia kuchepuka mno au utafuta nyumba ya pili haraka.
Mimi nilichoose alcohol maana SI mara ya kwanza anaenda kwao na nilijua HARUDI TENA ABADANI.... SO YES, I NEARLY DRANK TO DEATH BUT NOW AM SOMEHOW GOOD....
Doooh!! kama unaweza punguza taratibu mipombe , maana nkisema acha ni njia ndefu
Anyway kama upo good sasa ni vyema na kumshukuru Mungu maana miaka 18 mingi mno
 
Kwa huu uhai na kuweza kupambana na changamoto maana mambo ni mengi humu duniani
Kuamini kwako una uhai, Hakuzuii kwamba hutakufa.

Kuna siku utakufa na huo uhai wako utabaki Historia.

Kumshukuru kwako huyo Mungu kwa uhai ulionao, Haku kuepushi na kifo, ajali au magonjwa.

Ni swala la muda tu kufa utakufa, kuumwa utaumwa hasa magonjwa ya uzeeni na ajali waweza kupata muda wowote tu.

Haijalishi unashukuru au hushukuru.
 
Sawa hata nikifa leo usiku
ninmeshukuru uhai nilio nao mpaka nukta hii nnayoiweka hapa.
 
Huwa nina kanuni moja kwenye haya maisha ya dhiki, tabu na huzuni. Ukiona upo na kila kitu, unashukuru Mungu kwa afya, uzima na mibaraka tele ujue somebody somewhere is living hell. Yaani leo ukiwa nacho, ujue kuna aliyenyimwa huko duniani, kesho atapewa yeye na wewe utanyimwa.

Shukuru kwa kupewa, ila jiandae coz siku inakuja na wewe utanyimwa wenzako watapewa.
 
Sawa hata nikifa leo usiku
ninmeshukuru uhai nilio nao mpaka nukta hii nnayoiweka hapa.
Sasa hata kama ukishukuru bado utakufa tu, huoni kwamba kushukuru kwako kwa huyo Mungu hakuna maana yeyote?

Maana whether, unashukuru au hushukuru still utakufa.

Huoni kwamba kushukuru kwako kwa uhai, hakuna maana yoyote?

Unajifariji tu na kujipa matumaini feki na uchwara.

Yani ni sawa na hallucinations.
 
Huwa nina kanuni moja kwenye haya maisha ya dhiki, tabu na huzuni. Ukiona upo na kila kitu, unashukuru Mungu kwa afya, uzima na mibaraka tele ujue somebody somewhere is living hell.
Kwani hao wasio na kitu hawaku paswa kuwa na kila kitu?

Je huyo Mungu hakujua na hajui kwamba anapaswa kugawa kila kitu equally kwa kila mtu?

Huyo Mungu ni mbaguzi na mwenye upendeleo wa kuwapa watu wachache kila kitu huku akiacha maelfu ya maskini wasio na kitu wakimlilia na kumuomba awape angalau chochote kitu.

Huyo Mungu ni mwenye upendeleo sana na hastahili kuwa Mungu.

Na kama Mungu huyo yupo basi ni mkatili sana.
Yaani leo ukiwa nacho, ujue kuna aliyenyimwa huko duniani, kesho atapewa yeye na wewe utanyimwa.
Mungu huyo, Alishindwaje kutoa kila kitu kwa usawa kwa kila mtu pasipo kuzidishia wengine na kunyima wengine?

Huoni kwamba huyo Mungu anafanya upendeleo?
Shukuru kwa kupewa, ila jiandae coz siku inakuja na wewe utanyimwa wenzako watapewa.
Huyo Mungu kama ndio yupo namna hii, Hajielewi kabisa na ni mjinga sana.
 
Kuhama ilikuwa changamoto kwangu, Ila huyu Mungu Mkuu amenirudishia vyote nilivyopoteza, nina furaha na amani tele nyumbani. Ahsante Mungu wangu.
 
Back
Top Bottom