Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku wahi kujua una kichwa maji kias hiki.Mrusi niliyedhani namjua sio huyu ambaye amehangaishwa na kajirani hapo hadi anaokoteza mateja na wafungwa wakampiganie.
Hilo ni swala la Urusi kujibuAskari wangapi wa Ukraine wameuawa?
Hata yeye hajui....alichoandika ni maoni yake tu.Kuna wanajeshi wangapi kaka hapa tanzania? Tujuze kaka[emoji120]
Mrusi ameshakuzarau sana ndio maana amekupa mateja upambane nayo na ndio saizi yakoSiku NATO wataingiza mguu pale Urusi itafutika.
Kibaya zaidi kwa nini ataje taje idadi ya wanajeshi wa TPDF badala ya kutaja idadi ya wanajeshi wa nchini mwake Kenya!!Mkuu hiyo idadi ya tpd uloandika haiko sawa.
Tpdf n wengi sana.hiyo idadi inaweza kuwa ya jeshi la zimamoto au uhamiaji
Na kumbuka walokufa huko urusi si wote wanajeshi. Wengi n mamluki toka nchi mbalmbali waloajiriwa kwenye makampuni. Nchi zilizoendelea nyingi zinatoa idadi ndogo ya wanajeshi wake nje ya nchi kupgana vita vya moja kwa moja
Kwel mkuuKibaya zaidi kwa nini ataje taje idadi ya wanajeshi wa TPDF badala ya kutaja idadi ya wanajeshi wa nchini mwake Kenya!!
Kuweni makini sana na paid trolls wa westen Nations - hapa wapo kazini msiwachukulie poa hata kidogo.
Mkuu watu hawaielewi namna jeshi lilivyo kwanza unapigwabna sitaha chakavu, ni kama Wana kutupia takataka zilizojaa. Mziki wenyewe hata haujaanza.Mrusi ameshakuzarau sana ndio maana amekupa mateja upambane nayo na ndio saizi yako
Mkuu watu hawaielewi namna jeshi lilivyo kwanza unapigwabna sitaha chakavu, ni kama Wana kutupia takataka zilizojaa. Mziki wenyewe hata haujaanza.
Katika kipindi chote Cha vita professional, na siraha mpya teknolojia mpya vinafanyiwa test.
Hata kama n wewez huwez ukatumia hazina yako.
Hata hapa bongo ikitokea vita Hawa mambo wote wataanza mbele. Kabla ya wananchi
Kweli?? Sasa nyinyi mbona jeshi lenu la KDF linapelekwa fanga fanga (puta) na wanamgambo wa Al Shabaab, mpaka mnawategemea makomandoo wa USA na Drones zao kuwasaidia, sasa mlikwenda Somalia kufanya nini hasa, mnamcheka Putin , je, nyinyi huu mwaka wa ngapi tangu mjiingize Somalia na bado mmeshindwa kuwadhibiti - je, una cha kujitetea, sio kila siku unatuletea mambo ya Putin, Urusi kushindwa na Ukraine na hivi sasa Wagner Group ndio umewapa kipa umbele in your inept propaganga unazo copy copy kutoka kwenye tabloid na broadsheets za magazeti ya Uingereza, you can't even distinguish between the two, kujitia ujuaji mwiingii!!!Mrusi niliyedhani namjua sio huyu ambaye amehangaishwa na kajirani hapo hadi anaokoteza mateja na wafungwa wakampiganie.
Kweli?? Sasa nyinyi mbona jeshi lenu la KDF linapelekwa fanga fanga (puta) na wanamgambo wa Al Shabaab, mpaka mnawategemea makomandoo wa USA na Drones zao kuwasaidia, sasa mlikwenda Somalia kufanya nini hasa, mnamcheka Putin , je, nyinyi huu mwaka wa ngapi tangu mjiingize Somalia na bado mmeshindwa kuwadhibiti - je, una cha kujitetea, sio kila siku unatuletea mambo ya Putin, Urusi kushindwa na Ukraine na hivi sasa Wagner Group ndio umewapa kipa umbele in your inept propaganga unazo copy copy kutoka kwenye tabloid na broadsheets za magazeti ya Uingereza, you can't even distinguish between the two, kujitia ujuaji mwiingii!!!
Kuwasema sema watu wengine hasa majeshi ya Urusi - ulivyo mzabazabina huelezi chochote kuhusu dismal performance ya jeshi lenu KDF 0 huko Congo DRC pamoja na Somalia, je, wameleta mabadiriko gani ya kujivunia, we masaa yote ni kusema sema vibaya Putin pamoja na majeshi yake unakwenda mbali zaidi sio kuwananga Warusi na Viongozi wao tu katika chuki zako binafsi unawatumbukiza vile vile waislaam na Waarabu in particular - huna jipya!!