Mpaka sasa wataalam tisa wa nyuklia Iran wameuawa, watamaliwa wote

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Ni hatia kwa kobaz yeyote kubobea kwenye utaalam wa nyuklia, utawindwa popote, sijui Pakistan waliachiwa aje, uzuri India wanawapumulia huko, japo siku Pakistan watajifanya kuonyesha chuki kwa Israel, na wao watafuatwa huko huko...
Israel anawamaliza wataalam wa nyuklia Iran, ukiwa kobaz jikite kwenye mambo mengine ila acha kujifunza nyuklia.
===================

Nine senior scientists and experts in the Iranian nuclear project were eliminated by the IDF, the military announced on Saturday afternoon.

Two of the nine were advancing the Islamic Republic's agenda to obtain nuclear weapons, the IDF added.

The strike that killed the Islamic Republic officials was possible due to intelligence gathered by the IDF's Intelligence Directorate.
 
Kiongozi kama anajali nchi yake Bora tu aombe mazungumzo maana atamalizwa itafika hatua atashindwa hata kurusha kombola moja.
 
Iran alikuwa anatafutwa siku nyingi sana kuhusu kufadhiri ugaidi:
Hapa ametafutiwa sababu tu ya kupigwa na kudhohofishwa kiuchumi na kiitikadi kali:

Hiki kipigo kitaendelea hadi asalimu amri:
 
Unafahamu iran wana wataaalamu wangapi wa nuclear? Unafahamu wahitimu wangapi kila mwaka wanaomaliza mafunzo hayo ya nuclear.? Acha ushabiki maandazi
 
Wataalam wa nuclear wa Iran walishsuawa sana huko nyuma,kimetokea nini!?..kuna wairan maelfu walishaelimika kwenye hiyo field,chief wa nuclear project aliyeuawa alifanya interview na russia today akasema sisi tumeshazeeka, tumefikia mwisho wa huduma yetu, elimu hii tumerithisha vijana
 
Attachments

  • Screenshot_2025-06-14-13-04-52-162.jpg
    Screenshot_2025-06-14-13-04-52-162.jpg
    256.5 KB · Views: 34
Unafahamu iran wana wataaalamu wangapi wa nuclear? Unafahamu wahitimu wangapi kila mwaka wanaomaliza mafunzo hayo ya nuclear.? Acha ushabiki maandazi
Akili yako ndo inakutuma hivyo? Ingekuwa hivyo unavyofikiria kulikuwa na haja gani ya kuwalenga hayo wanasayansi. Unafikiri kila mmoja anakuwa na formula ya kutengeneza Nyuklia?. Hilo ni pigo ambalo litawachukuwa miaka mingi sana Irani kuja kurudi kutengeneza tena Nyuklia.
 
Iran alikuwa anatafutwa siku nyingi sana kuhusu kufadhiri ugaidi:
Hapa ametafutiwa sababu tu ya kupigwa na kudhohofishwa kiuchumi na kiitikadi kali:

Hiki kipigo kitaendelea hadi asalimu amri:
Naam umeongea ukweli.
Walimtafuta muda mrefu sana,hiki kipigo mpaka wamdhoofishe kabsaa
 
Ni hatia kwa kobaz yeyote kubobea kwenye utaalam wa nyuklia, utawindwa popote, sijui Pakistan waliachiwa aje, uzuri India wanawapumulia huko, japo siku Pakistan watajifanya kuonyesha chuki kwa Israel, na wao watafuatwa huko huko...
Israel anawamaliza wataalam wa nyuklia Iran, ukiwa kobaz jikite kwenye mambo mengine ila acha kujifunza nyuklia.
===================

Nine senior scientists and experts in the Iranian nuclear project were eliminated by the IDF, the military announced on Saturday afternoon.

Two of the nine were advancing the Islamic Republic's agenda to obtain nuclear weapons, the IDF added.

The strike that killed the Islamic Republic officials was possible due to intelligence gathered by the IDF's Intelligence Directorate.
Wakati huo iran raia wote ni wataalam wa nyuklia
 
Akili yako ndo inakutuma hivyo? Ingekuwa hivyo unavyofikiria kulikuwa na haja gani ya kuwalenga hayo wanasayansi. Unafikiri kila mmoja anakuwa na formula ya kutengeneza Nyuklia?. Hilo ni pigo ambalo litawachukuwa miaka mingi sana Irani kuja kurudi kutengeneza tena Nyuklia.
Mmeanza lini kuwauwa hao wanasayansi? Je iran imepiga atua kuendelea au imerudi nyuma ktk sayansi ya nuclear?
 
Unafahamu iran wana wataaalamu wangapi wa nuclear? Unafahamu wahitimu wangapi kila mwaka wanaomaliza mafunzo hayo ya nuclear.? Acha ushabiki maandazi
Nimesikia mahala kuwa Iran wanasayansi wasiopungua laki moja kila mwaka wa fani hizo!!!( Uzalishwa) ,,ila bahadhi uenda nchi za nje kusaka ajira zenye mshahara mnono!!! ,,Ata AI moja imenihakikishia hivyo,,kwa hiyo iran si ya mchezo..
 
Wataalam wa nuclear wa Iran walishsuawa sana huko nyuma,kimetokea nini!?..kuna wairan maelfu walishaelimika kwenye hiyo field,chief wa nuclear project aliyeuawa alifanya interview na russia today akasema sisi tumeshazeeka, tumefikia mwisho wa huduma yetu, elimu hii tumerithisha vijana

Hiyo zamani walikua wanauawa kimya kimya ila sasa wanapigwa mazima mazima tena katikati ya Iran ndani ndani, hakuna aliye salama, mabomu yanashushwa, na msichokijua nyie makobaz ni kuwa Israel ina watu wake Iran ambao wanaelekeza elekeza wapi pakupigwa
 
Swala sio Iran ina wataalam wangapi wa nyuklia ila swala ni kwamba Iran kamwe haiwezi kuwa nchi ya kumi duniani kwa kumiliki nyuklia, hilo halitawezekana mpaka mwisho wa dahari.
 
Nimesikia mahala kuwa Iran wanasayansi wasiopungua laki moja kila mwaka wa fani hizo!!!( Uzalishwa) ,,ila bahadhi uenda nchi za nje kusaka ajira zenye mshahara mnono!!! ,,Ata AI moja imenihakikishia hivyo,,kwa hiyo iran si ya mchezo..
Another script from masjid ubwabwa.
 
Nimesikia mahala kuwa Iran wanasayansi wasiopungua laki moja kila mwaka wa fani hizo!!!( Uzalishwa) ,,ila bahadhi uenda nchi za nje kusaka ajira zenye mshahara mnono!!! ,,Ata AI moja imenihakikishia hivyo,,kwa hiyo iran si ya mchezo..
Kwanini na sisi tusipeleke vijana wetu wakapate ujuzi uko Irani kuliko kuwapeleka Wasanii wakina Steve Nyerere na Wema sepetu uko Korea kujifinza kudanga
 
Unafahamu iran wana wataaalamu wangapi wa nuclear? Unafahamu wahitimu wangapi kila mwaka wanaomaliza mafunzo hayo ya nuclear.? Acha ushabiki maandazi
Hao huwa hawawi wengi, inahifiwa isiwe rahisi kushawhshiwa na adui. Wanahudumiwa tofauti hata na wakuu wa majeshi, wanalindwa sana
 
Swala sio Iran ina wataalam wangapi wa nyuklia ila swala ni kwamba Iran kamwe haiwezi kuwa nchi ya kumi duniani kwa kumiliki nyuklia, hilo halitawezekana mpaka mwisho wa dahari.
Umeshajiuliza North Korea waliingia kuwa nchi inayomiliki nyuklia kwa amri ya nani? Acha kukariri mambo dunia ya sasa sio ile ya miaka ya 70s na 80s
 
Back
Top Bottom