Mpaka sasa wataalam tisa wa nyuklia Iran wameuawa, watamaliwa wote

Mpaka sasa wataalam tisa wa nyuklia Iran wameuawa, watamaliwa wote

Wataalam wa nuclear wa Iran walishsuawa sana huko nyuma,kimetokea nini!?..kuna wairan maelfu walishaelimika kwenye hiyo field,chief wa nuclear project aliyeuawa alifanya interview na russia today akasema sisi tumeshazeeka, tumefikia mwisho wa huduma yetu, elimu hii tumerithisha vijana
Ata kama ila senior kwenye kazi ni very important, mwenyewe nafanya kazi hospital ila kuna namna mkifanya nyie manaoanza na wale seniors huwa ni tofauti
 
Knowledge ya Iran kwenye nuclear iko secured, wapo vijana wameshapikwa vya kutosha wako vizuri.
Hao waliopikwa wakaiva miongoni mwao Israel kawapakua tisa, anyway ila kama mashambulizi yameenda kama inavyosemwa itamchukua muda Iran kutengeneza silaha za nyuklia maana ata stock yake ya ballistic missiles zimebaki kidogo labda akanunue urusi na china
 
Ndio ramli yako inavyosema?, 😀
 
Hiyo zamani walikua wanauawa kimya kimya ila sasa wanapigwa mazima mazima tena katikati ya Iran ndani ndani, hakuna aliye salama, mabomu yanashushwa, na msichokijua nyie makobaz ni kuwa Israel ina watu wake Iran ambao wanaelekeza elekeza wapi pakupigwa
Kimyakimya ungejua, israel na marekani wafanye sabotage usijue!?
 
Kakwambia nani wanaanza,unajua walihitimu lini?
Nyie kwa dhana yenu mnahisi kila anayesoma atomoc physics basi anaenda tengeneza mabomu, wale hufundishwa matumizi ya kila siku, nimesema wanaanza sababu hawana bomu lolote walilotengeneza adi asaivi
 
Sisi tunaingia kulenga sehemu za kuzalishia ballistic missiles hivyo hatutegemei kupata taarifa za vifo vya watoto na wajane
 
Attachments

  • Screenshot_20250614-183749.jpg
    Screenshot_20250614-183749.jpg
    508.1 KB · Views: 23
Wataalam wa nuclear wa Iran walishsuawa sana huko nyuma,kimetokea nini!?..kuna wairan maelfu walishaelimika kwenye hiyo field,chief wa nuclear project aliyeuawa alifanya interview na russia today akasema sisi tumeshazeeka, tumefikia mwisho wa huduma yetu, elimu hii tumerithisha vijana
Kwa hyo ofisini walikuwa wanafanya nini?
 
Nyie kwa dhana yenu mnahisi kila anayesoma atomoc physics basi anaenda tengeneza mabomu, wale hufundishwa matumizi ya kila siku, nimesema wanaanza sababu hawana bomu lolote walilotengeneza adi asaivi
Watu Wana project toka 1990s,bunge linataka kukaa na kupiga kura ya kujitoa kwenye jumuiya sijui ya atomic Ili watest bomu lao
 
Hao waliopikwa wakaiva miongoni mwao Israel kawapakua tisa, anyway ila kama mashambulizi yameenda kama inavyosemwa itamchukua muda Iran kutengeneza silaha za nyuklia maana ata stock yake ya ballistic missiles zimebaki kidogo labda akanunue urusi na china
Yeah wakipikwa kazi ya Israel.ni kupakua kabla hawajakolea chumvi vizuri
 
Iran alikuwa anatafutwa siku nyingi sana kuhusu kufadhiri ugaidi:
Hapa ametafutiwa sababu tu ya kupigwa na kudhohofishwa kiuchumi na kiitikadi kali:

Hiki kipigo kitaendelea hadi asalimu amri:
Iran haifadhili ugaidi, usa ndo mfadhili mkuu wa ugaidi kalibu dunia nzima
 
Leo usiku wengine watapakuliwa anawawahi kabla hawajatepeta
Maninaa..halafu mara paap kumbe ayatullah ndio anawauza wahuni wenzie😁😁😁😁...maana wanauwawa wengine,,yeye Wala hajawahi hata kukoswa koswa na jinsi Israel ilivo na intelligence Kali..ayatullah itakua wenzie wakifumuliwa analilia barazani anaenda kuchekea chooni
 
Back
Top Bottom