Unafahamu iran wana wataaalamu wangapi wa nuclear? Unafahamu wahitimu wangapi kila mwaka wanaomaliza mafunzo hayo ya nuclear.? Acha ushabiki maandaziKiongozi kama anajali nchi yake Bora tu aombe mazungumzo maana atamalizwa itafika hatua atashindwa hata kurusha kombola moja.
Akili yako ndo inakutuma hivyo? Ingekuwa hivyo unavyofikiria kulikuwa na haja gani ya kuwalenga hayo wanasayansi. Unafikiri kila mmoja anakuwa na formula ya kutengeneza Nyuklia?. Hilo ni pigo ambalo litawachukuwa miaka mingi sana Irani kuja kurudi kutengeneza tena Nyuklia.Unafahamu iran wana wataaalamu wangapi wa nuclear? Unafahamu wahitimu wangapi kila mwaka wanaomaliza mafunzo hayo ya nuclear.? Acha ushabiki maandazi
Naam umeongea ukweli.Iran alikuwa anatafutwa siku nyingi sana kuhusu kufadhiri ugaidi:
Hapa ametafutiwa sababu tu ya kupigwa na kudhohofishwa kiuchumi na kiitikadi kali:
Hiki kipigo kitaendelea hadi asalimu amri:
Wakati huo iran raia wote ni wataalam wa nyukliaNi hatia kwa kobaz yeyote kubobea kwenye utaalam wa nyuklia, utawindwa popote, sijui Pakistan waliachiwa aje, uzuri India wanawapumulia huko, japo siku Pakistan watajifanya kuonyesha chuki kwa Israel, na wao watafuatwa huko huko...
Israel anawamaliza wataalam wa nyuklia Iran, ukiwa kobaz jikite kwenye mambo mengine ila acha kujifunza nyuklia.
===================
Nine senior scientists and experts in the Iranian nuclear project were eliminated by the IDF, the military announced on Saturday afternoon.
Two of the nine were advancing the Islamic Republic's agenda to obtain nuclear weapons, the IDF added.
The strike that killed the Islamic Republic officials was possible due to intelligence gathered by the IDF's Intelligence Directorate.
Nine senior scientists and experts in the Iranian nuclear project killed | The Jerusalem Post
The strike that killed the Islamic Republic officials was possible due to intelligence gathered by the IDF's Intelligence Branch.www.jpost.com
Mmeanza lini kuwauwa hao wanasayansi? Je iran imepiga atua kuendelea au imerudi nyuma ktk sayansi ya nuclear?Akili yako ndo inakutuma hivyo? Ingekuwa hivyo unavyofikiria kulikuwa na haja gani ya kuwalenga hayo wanasayansi. Unafikiri kila mmoja anakuwa na formula ya kutengeneza Nyuklia?. Hilo ni pigo ambalo litawachukuwa miaka mingi sana Irani kuja kurudi kutengeneza tena Nyuklia.
Nimesikia mahala kuwa Iran wanasayansi wasiopungua laki moja kila mwaka wa fani hizo!!!( Uzalishwa) ,,ila bahadhi uenda nchi za nje kusaka ajira zenye mshahara mnono!!! ,,Ata AI moja imenihakikishia hivyo,,kwa hiyo iran si ya mchezo..Unafahamu iran wana wataaalamu wangapi wa nuclear? Unafahamu wahitimu wangapi kila mwaka wanaomaliza mafunzo hayo ya nuclear.? Acha ushabiki maandazi
Wataalam wa nuclear wa Iran walishsuawa sana huko nyuma,kimetokea nini!?..kuna wairan maelfu walishaelimika kwenye hiyo field,chief wa nuclear project aliyeuawa alifanya interview na russia today akasema sisi tumeshazeeka, tumefikia mwisho wa huduma yetu, elimu hii tumerithisha vijana
Another script from masjid ubwabwa.Nimesikia mahala kuwa Iran wanasayansi wasiopungua laki moja kila mwaka wa fani hizo!!!( Uzalishwa) ,,ila bahadhi uenda nchi za nje kusaka ajira zenye mshahara mnono!!! ,,Ata AI moja imenihakikishia hivyo,,kwa hiyo iran si ya mchezo..
Kwanini na sisi tusipeleke vijana wetu wakapate ujuzi uko Irani kuliko kuwapeleka Wasanii wakina Steve Nyerere na Wema sepetu uko Korea kujifinza kudangaNimesikia mahala kuwa Iran wanasayansi wasiopungua laki moja kila mwaka wa fani hizo!!!( Uzalishwa) ,,ila bahadhi uenda nchi za nje kusaka ajira zenye mshahara mnono!!! ,,Ata AI moja imenihakikishia hivyo,,kwa hiyo iran si ya mchezo..
Hao huwa hawawi wengi, inahifiwa isiwe rahisi kushawhshiwa na adui. Wanahudumiwa tofauti hata na wakuu wa majeshi, wanalindwa sanaUnafahamu iran wana wataaalamu wangapi wa nuclear? Unafahamu wahitimu wangapi kila mwaka wanaomaliza mafunzo hayo ya nuclear.? Acha ushabiki maandazi
Umeshajiuliza North Korea waliingia kuwa nchi inayomiliki nyuklia kwa amri ya nani? Acha kukariri mambo dunia ya sasa sio ile ya miaka ya 70s na 80sSwala sio Iran ina wataalam wangapi wa nyuklia ila swala ni kwamba Iran kamwe haiwezi kuwa nchi ya kumi duniani kwa kumiliki nyuklia, hilo halitawezekana mpaka mwisho wa dahari.