Mpaka sasa wataalam tisa wa nyuklia Iran wameuawa, watamaliwa wote

Ata kama ila senior kwenye kazi ni very important, mwenyewe nafanya kazi hospital ila kuna namna mkifanya nyie manaoanza na wale seniors huwa ni tofauti
 
Knowledge ya Iran kwenye nuclear iko secured, wapo vijana wameshapikwa vya kutosha wako vizuri.
Hao waliopikwa wakaiva miongoni mwao Israel kawapakua tisa, anyway ila kama mashambulizi yameenda kama inavyosemwa itamchukua muda Iran kutengeneza silaha za nyuklia maana ata stock yake ya ballistic missiles zimebaki kidogo labda akanunue urusi na china
 
Ndio ramli yako inavyosema?, 😀
 
Kimyakimya ungejua, israel na marekani wafanye sabotage usijue!?
 
Kakwambia nani wanaanza,unajua walihitimu lini?
Nyie kwa dhana yenu mnahisi kila anayesoma atomoc physics basi anaenda tengeneza mabomu, wale hufundishwa matumizi ya kila siku, nimesema wanaanza sababu hawana bomu lolote walilotengeneza adi asaivi
 
Sisi tunaingia kulenga sehemu za kuzalishia ballistic missiles hivyo hatutegemei kupata taarifa za vifo vya watoto na wajane
 

Attachments

  • Screenshot_20250614-183749.jpg
    508.1 KB · Views: 23
Kwa hyo ofisini walikuwa wanafanya nini?
 
Nyie kwa dhana yenu mnahisi kila anayesoma atomoc physics basi anaenda tengeneza mabomu, wale hufundishwa matumizi ya kila siku, nimesema wanaanza sababu hawana bomu lolote walilotengeneza adi asaivi
Watu Wana project toka 1990s,bunge linataka kukaa na kupiga kura ya kujitoa kwenye jumuiya sijui ya atomic Ili watest bomu lao
 
Yeah wakipikwa kazi ya Israel.ni kupakua kabla hawajakolea chumvi vizuri
 
Iran alikuwa anatafutwa siku nyingi sana kuhusu kufadhiri ugaidi:
Hapa ametafutiwa sababu tu ya kupigwa na kudhohofishwa kiuchumi na kiitikadi kali:

Hiki kipigo kitaendelea hadi asalimu amri:
Iran haifadhili ugaidi, usa ndo mfadhili mkuu wa ugaidi kalibu dunia nzima
 
Leo usiku wengine watapakuliwa anawawahi kabla hawajatepeta
Maninaa..halafu mara paap kumbe ayatullah ndio anawauza wahuni wenzie😁😁😁😁...maana wanauwawa wengine,,yeye Wala hajawahi hata kukoswa koswa na jinsi Israel ilivo na intelligence Kali..ayatullah itakua wenzie wakifumuliwa analilia barazani anaenda kuchekea chooni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…