Mpaka sasa Zanzibar hawajui Hussein Mwinyi anawapeleka wapi

Mamako akifa utazikwa nae?
 
Ndio hakuwa rais kama angefanikiwa kuwa rais hapo ndio tungeweza kuona anatumia vp hayo madaraka kuweza kutimiza matarajio ambayo watu walikuwa nayo.

Issue ya watu kuweka matumaini makubwa kwa kiongozi halafu baadaye wanakuta mambo hayaendi kama walivyotaraji ni mambo ya kawaida kutokea.
 
Kwahiyo Magufuli amekuwa baba yako? Wapi nilipotaja mzazi wako?
Mama yangu akifa sitozikwa nae ila Mama yako dada yako na mkeo wote nitazikwa nao.
Wewe ni mpumbavu!

Nasema hivyo kwa sababu unataka waliokuwa wanamsapot Magufuli wangezikwa nae. Ndio maana nikakuuliza wewe mamako akifa utazikwa nae?
 
Mkuu nadhani kwa ujinga umenishinda wewe unaongoza kwani hujui hata unasema nini. Labda nikukumbushe Salim Ahmed Salim alikuwa Waziri Mkuu kuanzia 1984. Yeye ndiye aliyeenda kuwavika nguo kule Mtwara.

Hivi mvivu anapata wapi muda wa kusaidia wachapa kazi? Ukisema weka akiba ya maneno. Umezungumzia suala la Wabara wakiwa na duka wananyoshewa vidole. Mimi niko Bara nina duka jirani yangu kitoka Bara ana duka, hivyo siku zote anatia chokochoko. Nani mwenye roho mbaya na asiyempenda mwenzie?

Suala la kufungua duka saa tatu unaliita uvivu. Huo ndo utamaduni wa kule. Kule Daslam mjini maduka yanafungwa saa kumi na wale wavivu? Kuhusu kulinganisha Mwanza na Zanzibar: Kimsingi hatukuja kutafuta ulinganifu kati ya Mwanza na Zanzibar ila hapa ni hoja kuwa Wazanzibari ni wavivu.

Swala la Wazanzibari kujaa Bara nadhani unaliangalia kwa jicho la kutokulielewa. Hivi sasa kule Zanzibar kuna Wabara wengi na hujasikia Wazanzibari wakilalamika. Hivi sasa wanauza hadi pipi.

Jilazimishe kutoa hoja zenye mashiko na ujielimishe kwani unaonekana hujui kitu na hujui unachokisema. Hili jukwaa wenye wanaliita"home of great thinkers" nawe jilazimishe uwe kama wao; vinginevyo umeenda kwenye kundi usilostahiki ie umepotea.
 
Mnachekesha sana...nilifika Zenji baada tu ya uchaguzi na nikasikiza anavyozungumzwa,nimerudi miezi miwili nyuma nimesikia tena anavyotamkwa jipangeni upya machogo!
Machogo ni kina nani? Wana CCM wa bara?
 
Wewe ni mpumbavu!

Nasema hivyo kwa sababu unataka waliokuwa wanamsapot Magufuli wangezikwa nae. Ndio maana nikakuuliza wewe mamako akifa utazikwa nae?
Sasa wewe na mimi nani mpumbavu? Soma nilichoandika uelewa kabla kujifanya umeelewa. Sikuandika walipaswa kuzikwa nae bali nilikuwa naonyesha kipimo cha unafiki wao.

All in all nakubali mimi ni mpumbavu ila siku zote it takes one to know the other so kwa kifupi mimi na wewe sote ni wapumbavu. Ndio nyinyi mnaojifanya mna mahaba ya dhati kwa mtu ilhali kidhati hasa mna mahaba na matumbo yenu.
 
Machogo ni kina nani? Wana Ccm wa bara?
Machogo ni sisi Wabara. Ukitamka maneno tu unatambulika lafudhi yako na kule hawana visogo huwa wanavisugua mtoto akiwa mdogo ili aweze kuvaa kibaraghashia vyema. Kwahiyo wenye chogo kule ni Wabara[emoji23]
 
Na ndicho alichokifanya JPM ndio maana walionyang'anywa keki ya wizi hawaaachi kumsema vibaya. Vyeti feki ndio usiseme. Wamejaa humu na chuki zao kwa JPM. Sasa wameanza kwa Rais Mwinyi!
Jpm alikua janga la kitaifa
 
Watu waliamini Zenji inakuwa Dubeyi au hata kuipita Singapoo, watulie dozi iwaingie waisome namba, CCM ni ile ile...
Pamoja na udogo wake huko kuna WAVIVU ILA MABINGWA WA FITINA, UNAFIKI.

Everyday is Saturday................................😎
Yaani miezi 10 nchi ibadilike?
 
Mimba amekupatia Mzenji mmoja umeamua kuwanyea wote , sio poa kabisa
mimi nakushauri utulie.. ukishusha tu eingine utarudi katka hali yako ya kawaida macheche kama kawa.
 
Samia yuko vizuri labda wewe akili yako ni ngumu ku interpret economic strategies. Hakuna sera ya uchumi inayokupa majibu overnight
Mlisema hivyo hivyo kipindi cha mwendazake..punguzeni mahaba au nyie sio watanzania hamna ndugu mijini na vijijini.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mnachekesha sana...nilifika Zenji baada tu ya uchaguzi na nikasikiza anavyozungumzwa,nimerudi miezi miwili nyuma nimesikia tena anavyotamkwa jipangeni upya machogo!
Mwisho wasiku mtakuja chimwaga tuwapatie rais..kupe nyinyi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ila ukiwa sio mvaa kobazi hupati kazi..sijui kwa nini?

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…