Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 478
- 1,025
Hao so called usalama (japo si wote) , concern yao ni political image ya serikali. Only thing they can do ni kulinda serikali but in economy bado sana sana sanaLaiti wa TZ wangejua yaliyomo nyuma ya EAC, na wahakikishia wangeutupulia mbali huu upumbavu.
Tanzania inaenda kukosa sovereignty yake ya uchumi.
Ngoja tuone usalama wa Taifa wamelala a wako kazini
Hapendi kuumiza kichwa, watu wa ukanda anaotoka theya re lazy by natureRais samuya ...yeye n kumwaga wino tuu hana mda wa ku think twice na wapambe wake
Wala Posho Ukisia Mjumbe NdiyoHivi Tanzania kuna wanadiplomasia au wazee wa yes sir/madam tu.
Ukiaangalia hata somalia waliovyo ingia EAC, ni Kwa sababu walitoa hongo kwa viongozi wa hii jumuiyaHao so called usalama (japo si wote) , concern yao ni political image ya serikali. Only thing they can do ni kulinda serikali but in economy bado sana sana sana
Corrupt CommunityUkiaangalia hata somalia waliovyo ingia EAC, ni Kwa sababu walitoa hongo kwa viongozi wa hii jumuiya
Nadhani ifike hatua mpaka husika ufunguliwe LAKINI gharama ziwe mara 100 zaidi kwa kila mgeni. Na ziwe single entry!Bologonja ni mpaka au geti linalounganisha hifadhi ya taifa ya Serengeti na Maasai Mara Kenya. Geti hili linawezesha mgeni kutoka Kenya Maasai Mara kuingia Serengeti kufanya game drive na kurudi Kenya kupitis npaka huu.
Mwalimu Nyerere kwa kutumia akili kubwa na busara ya kizalendo kwa maslahi ya taifa alifunga huu mpaka na kufanya mgeni yoyote kutoka Kenya ni lazima afike Tanzania, alale kwenye hotel zetu, alipe viingilio na aingie hifadhini kufanya game drive. Hili jambo limepelekea Tanzania kulinda rasilimali zetu na kuzifaidi kwa kutengeneza ajira kwa vijana, na sekta nzima ya utalii.
Hivi majuzi mkutano wa EAC umemaisha kukiwa na agenda ya kutaka kufungua mpaka huu, na agenda hii ilisukumwa na Kenya kwa kuzingatia madai ya kupunguza vikwazo visivyokuwa vya kikodi (NTB), Kenya wanatazama huu mpaka kama (NTB) huku sisi tukiutazama kama hatma ya sekta ya utalii, chanzo cha mapato kwa serikali na nyenzo muhimu katika kulinda maslahi ya taifa.
Swali je Wana diplomasia wetu wanatambua yanayoendelea? Je wamejipanga kupinga hoja iyo na kuimaliza moja kwa moja tutegemee Samia akisaini hakubaliano hayo bila kujua yana hatma gani kwa vizazi vijavyo? EAC ni muhimu ila isizidi maslahi ya taifa letu.
Mkuu umeelezea vizuri ila kuna sehemu umeacha gap kubwa sana yaan kuna kitu umeficha jaribu kuchunguza andiko lako unasema huo mpaka umefanyaje hujaeleweka kule juu umeeleza vizuri ulipofika paragraph ya 3 ukaanza kukoroga muandiko unafichaficha nini sasa jaribu kufunguka vizuri hapo ulipofichaSwali je Wana diplomasia wetu wanatambua yanayoendelea? Je wamejipanga kupinga hoja iyo na kuimaliza moja kwa moja tutegemee Samia akisaini hakubaliano hayo bila kujua yana hatma gani kwa vizazi vijavyo? EAC ni muhimu ila isizidi maslahi ya taifa letu.