Mpambe wa Rais Samia apunguze kutabasamu na kucheka

Mada za kijinga kama hizi zimekuwa nyingi hapa JF
 
Kucheka cheka na masnitch sitaki wameshachezea block na kwenye simu hawanipati..
 
Kwani Akipunguza italeta ugali mezani kwako.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Kuna video hujaona wewe mpaka ma bodyguard sikuhiyo walikuwa wanacheka!, kuna mtandao fulani si nikakomenti "Mbona ma bodyguard wanacheka!" nikajibiwa "Kwani wao hawana bandama!".
Nikaondoka sikutaka mambo mengi nawalimwengu!.
Mbona bandama😆
 
Na moja ya vigezo vya kuwa mpambe wa rais ni kutocheka?
 
Nadhani yule bodigadi mweusi wa rais magufuli akiwa peke yake ndio anaanza kucheka maneno ya boss wake hivi unaachaje kucheka mtu anaambiwa qbaki na mavi yake magetoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…