Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Kuna wapangaji wafumbufu atavunja mkataba na la kufanya Huna zaidi labda uende mahakamani wamtoe kwa nguvu.Kinachozingatiwa ni makubaliano yenu katika mkataba wenu. / ndiyo maana inapofika miezi mitatu kabla mkataba kwisha unatakiwa utume barua ya kumuuliza endapo ataendelea na mkataba au la!, (notice should be within the contracts)
Bila ivyo huwezi kumtoa mpangaji msumbufu kirahisi rahisi Mr. Sisi tulikutana na mpangaji msumbufu Sanaa mpaka akawa anatangaza nyumba Ile ni yake kauziwa na mzee mtu Kama huyo anaweza kufoji documents mkaanza kusumbuana nae