We usidhani mimi ni la saba mwenzio, Israel imewahi teka Sinai toka misri na kama sio onyo kali kutoka kwa Urusi na USA basi mpaka leo Israel ingekalia eneo lile kimabavu.
Ndiyo maana kila siku wewe nakuita mjinga hujui chochote kuhusu Israel zaidi ya kumezeshwa uongo na Propaganda za waarabu.
Mwaka 1967 na 1973 nchi za kiarabu zikiwemo Syria na Misri walikula njama za kutaka kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia matokeo yake waliangukia Pua na kupelekea nchi hizo kupoteza maeneo yao kwa kutekwa na Majeshi jodaro ya Israel.
Unakuja hapa kudanganya watu kuwa eti " Kama si onyo kutoka US na Urusi Israel ingekuwa bado imekalia eneo hilo" Nokujulishe tu kuwa kwenye vita yoyote ukishindwa lazima ardhi yako inatekwa na vikiisha vita huwa kuna utaratibu wa kudai kurejeshewa ardhi yako!!!
Misri na Israel walisaini Mkataba wa Csmp David
Csmp David Acvords Sept 17,1978 (mama yako kabla hajazaliwa) Mkatabs huo ndiyo uliowawezesha Misti kurudishiwa eneo la Sinai na si kama ilivyodanganya kuwa walipewa onyo na Marekani na Urusi!! Hivi kwa nini Ukiwa Mwislamu lazima iwe muongo sana?
Israel pia inakalia kimabavu eneo la Golan Heights licha ya kupingwa na UN Resolutions za kutosha
Kama ilivyokuwa kwa Misri Syria nayo walishirikiana na nchi xinginr za kiarabu kiifuta nchi ya Israel kwenye udo wa Dunia lakini waliangukia Pua kwa Syria alipoteza eneo la milima ya Golan lilitekwa na Majeshi hodari ya Israel kwenye vita hivyo.
Kiutaratibu alipaswa Syria naye asking makubaliano ya kusitisha uhasama lakini utawala wa Syria kipindi hicho ulikataa makubaliano ukajiunga na Arab League kutaka tu kuiangamiza Israel.
Israel nayo ikakataa kuwarudishia Milima ya Golan mpaka leo hii!!
kwa hali hiyo unailaumu Israel kwa kisa gani? Acha ujinga kama kuna kitu hukielewi kuhusu Israel uliza tukufahamishe!!!
Hata hapo Israel tu walipewa 55% ya ardhi ila bado walipora ardhi ya Palestinians kwa 80%.
Tatizo lako wewe umemezeshwa Propaganda za waarabu ambao walikataa mpango wa Amani uliokuwepo kwa kutaka kuifuta Israel kwenye Uso wa Dunia kijeshi na waliposhindwa ndipo wakaanza Kujilizaliza*
( Play-Victim game)*
Baada ya waarabu kugomea ulitarajia Israel ifanye nini? Ni sawa na Tanzania kipindi cha Uchaguzi vyama vya upinzani wagomee uchaguzi inafikiri ccm watafanyaje?
zitto junior Acha kutumika kupotosha mambo!!