zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Lini walishindwa? Unadhani nchi za kiarabu zaidi ya 20 zingepeleka majeshi hiyo Israel isingefutwa? Pakistan ilikua na nuclear hata kabla ya Israel ingetaka si ingeshawafuta Israel tokea miaka ya 80!! So hawajawahi shindwa sema tu hawajawahi AMUA maana kupigana ma Syria, Egypt na Jordan sio sawa na kupigana na waarabu wote so Acha kueneza uongo kuwa waarabu wote walienda na wakapigwa in fact Israel ndio ilivamia Egypt kabla hata vita haijaanza.waliposhindwa
Acheni propaganda za kitoto hii sio Facebook