Netanyahu hana jeuri ya kushambulia bila USA kumbuka anategemea Air defense za US ili kupata Air defense so akianza mgogoro bila US ameisha.Baada ya Trump kutangaza kuwa wako karibu kufikia Muafaka na Magaidi ya Serikali ya Mapinduzi ya Iran, Israel kuna uwezekano mkubwa wakashindwa kukubaliana na makubaliano dhaifu yanayokwenda kutiwa saini na Trump na magaidi hao wa Iran.
Mpaka asubuhi hii hakuna tamko rasmi kutoka serikali ya Israel kukubaliana na Utopolo huo wa Iran.
Vivyo hivyo hakuna nchi yoyote duniani inayoweza kupigana vita na nchi yoyote na ikashinda bila ya kupata msaada kutoka nchi nyingine!!Israel haiwezi pambana na Iran bila support ya Marekani na kushinda.
Acha uongo dogo, Russia imeteka 30% ya ardhi ya Ukraine. Hao Ukraine ndio wamefeli kurudisha ardhi yao!!mpaka sasa ameshindwa kuiteka Ukraine badala yake yeye anapigwa kama ngoma tu!!!
Ardhi waliyoiteka Russia kutoka Ukraine ilishageuka kuwa kaburi kwa Askari wa Russia maana Drones za Ukraine zinawapukutisha Kama nzige huko frontline Askari wa Russia wanawindwa na kuangamizwa Kama nzige!!!Acha uongo dogo, Russia imeteka 30% ya ardhi ya Ukraine. Hao Ukraine ndio wamefeli kurudisha ardhi yao!!
Israel haijawahi kupopoa ardhi ya nchi yoyote ile lakini ukileta Mbwai basi ni halali yako uvune ulichopanda!!!!Yaani Israel kupora ardhi halali ila Russia ikipora haramu!!
Imepora ardhi ya Syria pia Lebanon. Achana na ardhi ya misri, Jordan na Palestina. Ila walivyo wanafiki eti wanaisaidia Ukraine dhidi ya uvamizi wa Russia.Israel haijawahi kupopoa ardhi ya nchi yoyote ile lakini ukileta Mbwai basi ni halali yako uvune ulichopanda!!!!
Acha uongo, kama umekuja na ushahidi wa biblia (maana hakuna ushahidi wa kihistoria) Israel si ilikuta kuna watu wanaishi na walishakua wameishi hapo zaidi ya miaka elfu 3,500 ila waliwaua na kupora ardhi yao na wachache walibaki sasa kwanini iwe nongwa wayahudi wakitolewa? Kumbuka walishaondokaga kama ambavyo baadhi ya wabantu waliondoka Afrika magharibi wakaja mashariki na kusini sasa leo unataka wasukuma waende kuidai Senegal au Ghana?Israel iko hapo zaidi ya miaka 3,000
Ndiyo maana nasema kila siku wewe ni mjinga hujui kitu!! Huko Syria na Lebanon baada ya wao kuleta Mbwai basi walivuna walichopanda kwa kuwekewa Buffer-zones kwenye nchi zao kwa wao kushirikiana na magaidi kuihujumu Israel.Imepora ardhi ya Syria pia Lebanon. Achana na ardhi ya misri, Jordan na Palestina. Ila walivyo wanafiki eti wanaisaidia Ukraine dhidi ya uvamizi wa Russia.
We usidhani mimi ni la saba mwenzio, Israel imewahi teka Sinai toka misri na kama sio onyo kali kutoka kwa Urusi na USA basi mpaka leo Israel ingekalia eneo lile kimabavu. Israel pia inakalia kimabavu eneo la Golan Heights licha ya kupingwa na UN Resolutions za kutosha. Hata hapo Israel tu walipewa 55% ya ardhi ila bado walipora ardhi ya Palestinians kwa 80%.Kwa taarifa taarifa yako tu na Wajinga wenzako Israel haijawahi kuvamia na kupora ardhi ya watu wengine sanasana ni Propaganda za maadui zake wa kiarabu baada ya kushindwa kuiangamiza Israel basi wamekuja na mada mfu ya kudai wameporwa ardhi na ukiwauliza sana mmeporwaje ardhi na nchi ndogo hivyo watasingizia visingizio lukuki!
Ndiyo maana kila siku wewe nakuita mjinga hujui chochote kuhusu Israel zaidi ya kumezeshwa uongo na Propaganda za waarabu.We usidhani mimi ni la saba mwenzio, Israel imewahi teka Sinai toka misri na kama sio onyo kali kutoka kwa Urusi na USA basi mpaka leo Israel ingekalia eneo lile kimabavu.
Kama ilivyokuwa kwa Misri Syria nayo walishirikiana na nchi xinginr za kiarabu kiifuta nchi ya Israel kwenye udo wa Dunia lakini waliangukia Pua kwa Syria alipoteza eneo la milima ya Golan lilitekwa na Majeshi hodari ya Israel kwenye vita hivyo.Israel pia inakalia kimabavu eneo la Golan Heights licha ya kupingwa na UN Resolutions za kutosha
Tatizo lako wewe umemezeshwa Propaganda za waarabu ambao walikataa mpango wa Amani uliokuwepo kwa kutaka kuifuta Israel kwenye Uso wa Dunia kijeshi na waliposhindwa ndipo wakaanza Kujilizaliza*( Play-Victim game)*Hata hapo Israel tu walipewa 55% ya ardhi ila bado walipora ardhi ya Palestinians kwa 80%.
Tatizo lako elimu ndogo na hujui historia, nani alikudanganya Sinai kurudishwa 1982 ndio ilikua mara ya kwanza? Israel ilivamia Egypt na kuchukua sio tu jangwa lote la sinai ila mpaka kuiteka Suez Canal kuanzia 1956-57, na hiyo 1957 ndio walilazimishwa kuondoka kwa maelekezo ya USA na USSR ndio maana hawakuweka demands zozote. Haya soma hapa historia ya 1957;Ndiyo maana kila siku wewe nakuita mjinga hujui chochote kuhusu Israel zaidi ya kumezeshwa uongo na Propaganda za waarabu.
Mwaka 1967 na 1973 nchi za kiarabu zikiwemo Syria na Misri walikula njama za kutaka kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia matokeo yake waliangukia Pua na kupelekea nchi hizo kupoteza maeneo yao kwa kutekwa na Majeshi jodaro ya Israel.
Unakuja hapa kudanganya watu kuwa eti " Kama si onyo kutoka US na Urusi Israel ingekuwa bado imekalia eneo hilo" Nokujulishe tu kuwa kwenye vita yoyote ukishindwa lazima ardhi yako inatekwa na vikiisha vita huwa kuna utaratibu wa kudai kurejeshewa ardhi yako!!!
Misri na Israel walisaini Mkataba wa Csmp David Csmp David Acvords Sept 17,1978 (mama yako kabla hajazaliwa) Mkatabs huo ndiyo uliowawezesha Misti kurudishiwa eneo la Sinai na si kama ilivyodanganya kuwa walipewa onyo na Marekani na Urusi!! Hivi kwa nini Ukiwa Mwislamu lazima iwe muongo sana?
Walitaka kuifuta lini na wapi? Nachojua wayahudi ndio walianzisha vikundi vya kigaidi kabla hata ya uhuru wao. Na kikundi hivyo vya kigaidi vilikua na nia ya kufuta waarabu wote eneo hilo la palestina. Na wakaanzisha campaign inaitwa NAKBA kuchoma vijiji vyote vya waarabu. Vikundi hivyo yaani Haganah, Stern gang, Etzel ndio vilikuja baadae kuitwa IDF baada ya kujitangazia uhuru wao. Na moja ya maelekezo ya Baba wa taifa wa Israel Ben-Gurion ilikua ni kufuta kizazi chote cha kiarabu hapo palestina. Sasa weka ushahidi hapa wa hao wapalestina au waarabu kutaka kuwaangamiza wayahudi wote hapo palestina. Facts kwa facts na usikimbieTatizo lako wewe umemezeshwa Propaganda za waarabu ambao walikataa mpango wa Amani uliokuwepo kwa kutaka kuifuta Israel kwenye Uso wa Dunia kijeshi na waliposhindwa ndipo wakaanza Kujilizaliza*( Play-Victim game)*
Ni kweli kabisa mimi ni darasa la saba lakini nakuzidi wewe mwenye Form four!! mwanzoni ulisema sonai sasa hivi tena umerukia Suez canal inaonyesha ni jinsi gani ulivyoshindwa Hoja!!Tatizo lako elimu ndogo na hujui historia, nani alikudanganya Sinai kurudishwa 1982 ndio ilikua mara ya kwanza? Israel ilivamia Egypt na kuchukua sio tu jangwa lote la sinai ila mpaka kuiteka Suez Canal kuanzia 1956-57, na hiyo 1957 ndio walilazimishwa kuondoka kwa maelekezo ya USA na USSR ndio maana hawakuweka demands zozote. Haya soma hapa historia ya 1957;
Israel Under Fire – Israel’s Survival: Little Room to Maneuver
“n war, something must be allowed to chance and fortune, seeing it is in its nature hazardous, and an option of difficulties” - Israel Under Fire – Israel’s Survival: Little Room to Maneuverjcfa.org