Mpango wa kum-'demonise' Magufuli umeshindwa bila hata ya kuanza, watu wanazidi kumpenda

Chagadema wametema nyongo sana kwenye huu uzi. Wanaamini eti kufa magufuli ndio kufa umagufuli.. wanajidanganya. 😂😂 Na yule askofu wao .'. eti mama tutibu vidonda' 🤣🤣🤣
 
Magufuli ni WA watanzania

Uyo Jamaa yenu alikua Muuwaji hii ndio shida kubwa
 
Anatuona sisi mafala jamaa alikuwa limbukeni alilimbukia madaraka
 
Hata alipokuwapo ulikuwa ukisema hivyo hivyo ? 😁😁
Mjinga tu na mwenye chuki. Mtu ameongoza na kusimamia ujenzi wa barabara za lami kwa ufanisi mkubwa nchi nzima akiwa waziri wa ujenzi takriban miaka 20. Kwa kua tu kakuzibia line ya upigaji au kuuza bangi ndio unasema hafai hata kuongoza kijiji. Halafu kuna majuha wanashangilia 🤸🤸🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Lione hili nalo lilivyotaahira!

Wapi Magufuli aliwahi kuhutubia kwa kisukuma?

Hivi nyie wachaga kwanini mkibanwa mnahisi mnaonewa?
Maranyingi akiwa Kanda ya ziwe amehutubia kisukuma usiwaseme wachaga hawana neno ila sisi tulimuona na kushuhudia
Ukabila ule ufe na usijirudie tena
 
Maisha ni Mazuri sana FDI, FCI, ID zimeongeka sana
 
Jambazi hatakiwi kubembelezwa. Ni haki yake kuuwawa chap!
Wale mliowatupa mto rufiji kwenye viroba ni majambazi shida nnapenda kuuwa mmezoea ndo mana matukio ya mauaji Kanda ya ziwe inaongoza
 
Huenda nyerere akifa ulikua mchanga hujui jitihada iliyofanyika kumchafua ili mawazo yake yasiheshimiwe. Mmowapo ni huyo kibaraka lissu. Kumbukumbu zipo bungeni. Kama hujui nyerere ndio alitaifisha viwanda na majumba ya wahindi. Ndio fundi mchundo wa azimio la arusha, ndiye aliyehamisha watanzania kuwaweka kwenye vijiji. Magufuli kafanya cha mtoto tu kuwagusa wabinafsi na waroho na fisadi. Sasa magufuli ndio kakugusa usijidai kulinganisha magufuli na nyerere maana humjui nyerere.
 
Wale mliowatupa mto rufiji kwenye viroba ni majambazi shida nnapenda kuuwa mmezoea ndo mana matukio ya mauaji Kanda ya ziwe inaongoza
Nitajie jina na mahali anapotoka hata mmoja kati ya wale waliokutwa kwenye viroba.
Tatizo mnakariri kila nyimbo km kasuku!
 
Hawa ni wakuwaonea huruma. Wamezoea na wanapenda utumwa.
Hawamjui Nyerere na wala hawajui wapuuzi walivyopambana kuwaaminisha watu kuwa nyerere alikuwa hafai. Kwa mfano mchache ni Mtikila na shoga yao Lissu.
Hapo hapo anakuambia eti Magufuli km angependwa watu wangemlilia km Nyerere. Inamaana hakushuhudia msiba wa hayati Magufuli? Au ndio kujitoa akili?
 
Ya
Yamezidi kushamiri vipi wakati adui yetu na mbaya wetu amekufa?

Sasa hivi tuko vizuri sana na utawala wa mama!

Kwani huyu aliyepo ni rafiki yetu, au ana afadhali tu kuliko lile dubwasha lako
Lione hili nalo lilivyotaahira!

Wapi Magufuli aliwahi kuhutubia kwa kisukuma?

Hivi nyie wachaga kwanini mkibanwa mnahisi mnaonewa?
Unatetea mambo ya wazi mpaka unaonekana juha.
 
Kama unayo sema ni kweli basi wagombea wa ubunge wa ccm na upinzani wakigombea watangaze kuwa wao wanamp8nga magufuli tuone kama watakubalika
Wewe lwiva unahitaji tiba ili pepo la Magufuli likutoke kichwani
 
Kwahiyo sasa hivi nchi yenu iko vizuri?
Kwa kweli Nchi bila Magufuli iko vizuri sana. Hakuna anayeshikwa kwa maoni, hakuna mwenye wasiwasi kutekwa na WASIOJULIKANA, wafanyabiashara wanaendelea na biashara bila task force.

Mazuri mengi yanakuja, ila Mama Samia anaupiga mwingi. Kama hutaki njoo niue niko Ubungo Maziwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…