Laiti mngempenda kwa dhati kama mnavyojatibu kutuhadaa mngemshauri asiishi kama demon, hence hofu yenu sasa kuwa kuna wanaom-demonise. Kwanini hamjawahi kujiuliza kuwa Nyerere alipofariki takriban kila Mtanzania alilia kwa uchungu ilhali kifo cha Magufuli kilipokelewa kwa shangwe na watu wengi tu?
Hakuna anayem-demonise Mwendazake bali he lived as a demon. Badala ya ninyi wanafiki kuendelea kutumia nguvu kubwa kumsafisha ingekuwa vema mkajikita kwenye sala/dua ili asifanywe kuni za kuchochea moto wa wenye dhambi huko ahera.