Mpango wa kum-'demonise' Magufuli umeshindwa bila hata ya kuanza, watu wanazidi kumpenda

Kafa huyo mungu wenu
Yupi huyo bwashe?
Mwambieni basi arudi nyumbani achukue nchi.
 
Ajaribu mmoja tu kama chambo, wananchi watamuonyesha kilichokunja mkia wa mbwa.
 
Wasukuma kwa nini hamtaki kuamini?? Magufuli alishaumaliza mwendo... Now tunamuandalia msukuma mwenzenu makonda hati ya mashtaka ili tumkamate
 
Toa povu tu, lakini ulaji ndio mliishatemeshwa na Jiwe! Eti kafa. Babaako yuko hai?
Kwani baba yangu alidhukumu fedha za wananga wa tetemeko la Kagera? Au korosho za Mtwara? Muache huyo Magufuli aendelee ku Rot in Hell au mfuate na wewe
 
Naona uzi huu umekuumiza sana hadi unaandika ugoro. Uongo mtupu wa kichadema
 
Yupo Kuzimu Motoni Kwa sasa
 
Kina Kwame Nkrumah, Sankara, Sekou Toure na wengine wanaohesabika kama wazalendo wa Afrika walikosea kwenye kuamini wao tu ndo wenye fikra sahihi. Waliminya uhuru wa watu wao na kujiona miungu. Mwalimu ndo rais aliyenusurika mara nyingi zaidi kupinduliwa hapa kwetu na sababu kuu ni hiyo kuamini yeye ndo alfa na omega... imagine enzi hizo watu wanasema "Zidumu fikra za mwenyekiti".... Mwalimu kilichomsaidia ni kung'atuka kijanja. binadamu ukimbana sana lazima aasi. Na kumzuia binadamu milele ni haiwezekani... lazima atapata namna ya kujinasua. Mwendazake naye alipita njia waliyopita wazalendo wengine ya kuminya watu wote waliokuwa kinyume na mawazo yake.
 
Wasukuma kubalini tu, Magufuli ameshaumaliza mwendo na maisha lazima yasonge mbele....

Kwanini mnajitesa hivi?
Huwezi kupotosha ukweli!! Wafuasi wa Maguvuli ni watanzania na si wasukuma! Magufuli ni mzalendo namba moja kwenye karne ya 23! Kifo chake kiliadhimishwa na watanzania wote!! Nyomi ile ilinyamazisha wapuuzi wote!! Mnataka kujifanya kuwa mmesahau!
 
Huwezi kupotosha ukweli!! Wafuasi wa Maguvuli ni watanzania na si wasukuma! Magufuli ni mzalendo namba moja kwenye karne ya 23! Kifo chake kiliadhimishwa na watanzania wote!! Nyomi ile ilinyamazisha wapuuzi wote!! Mnataka kujifanya kuwa mmesahau!
Akili zako zinakutuma ikicheza Simba na Mazembe basi uwanjani watakuwa mashabiki wa Simba pekee ... hujui kuna mashabiki wa Yanga huenda kuishabikia Mazembe iifunge Simba...

Kuna watu kwenye msiba huenda kuhakikisha kana kweli laanakum kadedi kweli au maneno ya watu....

Kwa taarifa yako wengine walienda kushuhudia kama bwana yule kadedi kweli ili sherehe yao inoge kwa uhakika...

Eti watanzania wote... watanzania wote my foot...
 
Nyerere na wanamapinduzi wenzake walikuwa ni vibaraka wa China. Cha kushangaza wengi wa hao wanamapinduzi kama Nyerere walisoma Ulaya na wengine Marekani lakini siasa zao waliiga China. Ni kama vile Mao Zedong aliwaloga viongozi wa Afrika kama Nyerere. Mao Zedong aliwa brainwash vizuri mpaka Nyerere na wenzake waliacha kuvaa suti na tai wakaanza kuiga lile vazi la mchina, Kaunda suti. Mpaka wanazeeka bado walikuwa wanavaa vazi la mchina ina maana bado propaganda walizopata China zilikuwa kichwani. Na ni huko China ndiyo walijifunza uchumi wa Ujamaa ambao ulishindwa kuondoa umasikini, mfumo wa chama kimoja cha siasa, kuifuta demokrasia na mengine mengi tuu yanayopigiwa kelele mpaka leo.
 
Wewe ni Mburukenge tu huna lolote! SSH kaambiwa aponye majeraha, akaitikia atawahudumia watanzania kwa huruma kama macho yake ya huruma! Maana yake alimuelewa Askofu Shoo na majeraha anayajua yapo! Mwendakuzimu alikuwa Mburukenge na Shetani mkuu aliyevaa ngozi ya binadamu, hasingiziwi mtu hapa, Mungu ni Fundi!
 
Sabaya aliteuliwa na magufuli
Makonda aliteuliwa na magufuli
Ally happy aliteuliwa na magufuli
Kihongosi Alito maneno Iringa akapelekwa Arusha kwenda kumsifia Sabaya
Jerry Munro baada ya kutukana wapinzani
Musiba
Jerry james
Ongeza wengine
Itoshe tu kusema magufuli alikuwa kiongozi KATILI SANA
Asante mungu kwa maajabu aliyotenda hapo 17.3.2021
 
Kama ni shetani kwanini mnasema mimi na magufuli ni kitu kimoja kwanini msiseme waziwazi kuwa mnampinga magufuli ....sisi tunataka wanasiasa wote mnao mpinga magufuli muwe wazi kabisa tuone kama mtapata hata asilimia 10 ya kura

huo mshipa wa mxundu wanao[emoji28][emoji28][emoji28]

magufuli ni benchmark ya ubora hakuna mbwa yeyote asiyejua,wanapika kelele kufubaza njaa zao kwenye kibanda cha unafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…