Yupi huyo bwashe?Kafa huyo mungu wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupi huyo bwashe?Kafa huyo mungu wenu
Yupi huyo bwashe?Kafa huyo mungu wenu
Mwambieni basi arudi nyumbani achukue nchi.Kama Magufuli alimshinda Lisu kwa kura aizoshuritisha atangazwe nazo, ingia kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi kama matokeo ya uchaguzi ule bado yapo. Toka wakati wa kampeni hadi kufikia mauti yake, Magufuli hakuwahi kupata furaha tena, maana aliona ukweli uliomuumiza. Idadi ya watu aliopata Lisu na matarajio yake yalikuwa tofauti, ndio maana akaagiza ccm watangazwe kwa shuruti. Huu ni ukweli unaomuumiza kila mwanaccm. Hivi leo ccm imegeuka kuwa chama kinachotegemea nguvu za dola tu maana kimeshapoteza ushawishi kwa umma, ndio maana haiko kuruhusu Cdm tayari ifanye mikutano ya kukutana na wananchi, kwani wanajua Cdm ndio inavyokubalika na wananchi.
Ajaribu mmoja tu kama chambo, wananchi watamuonyesha kilichokunja mkia wa mbwa.Hakuna atakayethubutu kumkashfu JPM na akabaki salama.Hilo lipo wazi.
Kule nyuma, Kenge wachache walijaribu kutaka kufuta nyayo za JPM kwa kujaribu kubeza juhudi alizofanya alipokuwa hai. MOTO wa NYUKLIA ulipowawakia walirudi nyuma na kukaa kimya hadi leo. Baadhi yao walikuwa ni Wabunge.
Sasa wamebadili style.Hawambezi JPM moja kwa moja. Badala yake wanamsifia sifia sana mama. Lakini pia wanatumia lugha za kila aina lengo likiwa ni kuuaminisha umma kama utawala uliopita ulikuwa ni wa hatari.
Ndipo sasa unapokuja kuwasikia KENGE wengine wakimwambia mama eti aliponye Taifa. Ujinga mtupu!
Nyayo za JPM haziwezi kufutwa kijinga namna hiyo.
Atakayejaribu kufuta atafutwa yeye.
jitahid upate choo laini ili uwe na akiliAli kupote wewe? Au.una lopokatu
Ndio ameshakufa hivyo. Mwacheni apumzike kwa amani wakati mama akiijenga nchi...Magufuli ni WA watanzania hutafanikiwa kumchafua.
Kwani baba yangu alidhukumu fedha za wananga wa tetemeko la Kagera? Au korosho za Mtwara? Muache huyo Magufuli aendelee ku Rot in Hell au mfuate na weweToa povu tu, lakini ulaji ndio mliishatemeshwa na Jiwe! Eti kafa. Babaako yuko hai?
Naona uzi huu umekuumiza sana hadi unaandika ugoro. Uongo mtupu wa kichademaKama Magufuli alimshinda Lisu kwa kura aizoshuritisha atangazwe nazo, ingia kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi kama matokeo ya uchaguzi ule bado yapo. Toka wakati wa kampeni hadi kufikia mauti yake, Magufuli hakuwahi kupata furaha tena, maana aliona ukweli uliomuumiza. Idadi ya watu aliopata Lisu na matarajio yake yalikuwa tofauti, ndio maana akaagiza ccm watangazwe kwa shuruti. Huu ni ukweli unaomuumiza kila mwanaccm. Hivi leo ccm imegeuka kuwa chama kinachotegemea nguvu za dola tu maana kimeshapoteza ushawishi kwa umma, ndio maana haiko kuruhusu Cdm tayari ifanye mikutano ya kukutana na wananchi, kwani wanajua Cdm ndio inavyokubalika na wananchi.
Yupo Kuzimu Motoni Kwa sasaNchi za kibeberu na vibaraka wao wana tabia ya kuwazushia viongozi wanamapinduzi ubaya waonekane wabaya kama shetani.
Walipofanikiwa kumpindua Kwame Nkurumah wa Ghana walimzushia uongo mwingi hadi ikawa kisiasa ghana huwezi kufanikiwa kwa kuunga mkono siasa na sera za Nkrumah. Kutokana na propaganda za magharibi ikawa kama aibu mtu kuunga mkuno sera za ukombozi afrika na uchumi wa kijamaa. Waghana hadi leo hawampi nkurumah anayeheshimika Afrika nzima heshima anayostahili. Uwanja wa ndege wa kimataifa accra hadi leo unabeba jina la kotoko mtu aliyempindua Nkrumah.
Hata nchini guenea ni hivi karibuni tu kumeanza wimbi kuwaelimisha vijana na taifa Sekou Toure alikua kiongozi wa namna gani kwa waguenea na Afrika. Huyu naye alikua mwanamapinduzi ila ubeberu wamemchafua ili waguenea wasifuate mawazo yake.
Kwa nchi yetu ni tofauti kutokana na umoja na mwamko mzuri wa kisiasa wa wananchi. Licha ya kazi kubwa ya wapinga maendeleo wakiongozwa na ubeberu wameshindwa kumchafua Nyerere. Watanzania wanamkumbuka na kutaka dira yake ifuatwe. Hakuna mwanasiasa anaweza kufanikiwa tanzania kwa kumchafua Nyerere.
Tuliona baadhi ya viongozi wa Chadema wakitumika kuchafua jina na heshima ya nyerere hadi bungeni mmojawapo akiwa antipass lissu. Baada ya kuona wanajichafua kwa kujaribu kumchafua Nyerere wakageuza mbinu. Sasa wanajidai kumnukuu kila wakati nyerere ila kwa kupotosha kauli zake.
Magufuli amelinganishwa na nyerere kwa kutetea kwa nguvu maslahi ya umma kwenye uongozi wake. Tangu aitwe na mola wake tumeshuhudia furaha kwa wapinga maendeleo. Wamediriki hadi kumsifia mama kama mwokozi wa taifa dhidi ya uongozi uliyopita wa Magufuli. Juzi tu tumemsikia askofu mmoja akimtaka mama kutibu majeraha taifa.
Wanamapinduzi tunajua wenye majeraha ya magufuli ni fisadi na wazembe. Wale waliyojaribu kuiba mali au mashirika ya umma, wale waliyokua wamejimilikisha kinyemela mali za chama chao cha CCM, wale waliyokua wanashirikiana na barrick kuona madini ya nchi yanaibiwa makontena na makontena kwa kupewa ujira.
Sasa anatokea askofu eti mama ponya majeraha. Majeraha ya fisadi. Ina maana awarejeshe kwenye kudhulumu umma.
Tunamtahadharisha mama awe macho kukumbatiwa na watu waovu ambao wanategemea kuibia umma na kujitajirisha binafsi huku umma wa wananchi ukiendelea kufukarika.
Ni jambo la kutia moyo kuona jinsi wananchi wa tanzania wanavyomkumbuka magufuli. Ni hatari kwa kiongozi yeyote kutaka kufuata sera za kuwanufaisha wachache kwa gharama ya umma. Kimsingi CCM ni chama cha kulinda na kuendeleza maslahi ya umma. Wakifanya tofauti watapigwa chini.
Huwezi kupotosha ukweli!! Wafuasi wa Maguvuli ni watanzania na si wasukuma! Magufuli ni mzalendo namba moja kwenye karne ya 23! Kifo chake kiliadhimishwa na watanzania wote!! Nyomi ile ilinyamazisha wapuuzi wote!! Mnataka kujifanya kuwa mmesahau!Wasukuma kubalini tu, Magufuli ameshaumaliza mwendo na maisha lazima yasonge mbele....
Kwanini mnajitesa hivi?
Akili zako zinakutuma ikicheza Simba na Mazembe basi uwanjani watakuwa mashabiki wa Simba pekee ... hujui kuna mashabiki wa Yanga huenda kuishabikia Mazembe iifunge Simba...Huwezi kupotosha ukweli!! Wafuasi wa Maguvuli ni watanzania na si wasukuma! Magufuli ni mzalendo namba moja kwenye karne ya 23! Kifo chake kiliadhimishwa na watanzania wote!! Nyomi ile ilinyamazisha wapuuzi wote!! Mnataka kujifanya kuwa mmesahau!
Wewe ni Mburukenge tu huna lolote! SSH kaambiwa aponye majeraha, akaitikia atawahudumia watanzania kwa huruma kama macho yake ya huruma! Maana yake alimuelewa Askofu Shoo na majeraha anayajua yapo! Mwendakuzimu alikuwa Mburukenge na Shetani mkuu aliyevaa ngozi ya binadamu, hasingiziwi mtu hapa, Mungu ni Fundi!Nchi za kibeberu na vibaraka wao wana tabia ya kuwazushia viongozi wanamapinduzi ubaya waonekane wabaya kama shetani.
Walipofanikiwa kumpindua Kwame Nkurumah wa Ghana walimzushia uongo mwingi hadi ikawa kisiasa ghana huwezi kufanikiwa kwa kuunga mkono siasa na sera za Nkrumah. Kutokana na propaganda za magharibi ikawa kama aibu mtu kuunga mkuno sera za ukombozi afrika na uchumi wa kijamaa. Waghana hadi leo hawampi nkurumah anayeheshimika Afrika nzima heshima anayostahili. Uwanja wa ndege wa kimataifa accra hadi leo unabeba jina la kotoko mtu aliyempindua Nkrumah.
Hata nchini guenea ni hivi karibuni tu kumeanza wimbi kuwaelimisha vijana na taifa Sekou Toure alikua kiongozi wa namna gani kwa waguenea na Afrika. Huyu naye alikua mwanamapinduzi ila ubeberu wamemchafua ili waguenea wasifuate mawazo yake.
Kwa nchi yetu ni tofauti kutokana na umoja na mwamko mzuri wa kisiasa wa wananchi. Licha ya kazi kubwa ya wapinga maendeleo wakiongozwa na ubeberu wameshindwa kumchafua Nyerere. Watanzania wanamkumbuka na kutaka dira yake ifuatwe. Hakuna mwanasiasa anaweza kufanikiwa tanzania kwa kumchafua Nyerere.
Tuliona baadhi ya viongozi wa Chadema wakitumika kuchafua jina na heshima ya nyerere hadi bungeni mmojawapo akiwa antipass lissu. Baada ya kuona wanajichafua kwa kujaribu kumchafua Nyerere wakageuza mbinu. Sasa wanajidai kumnukuu kila wakati nyerere ila kwa kupotosha kauli zake.
Magufuli amelinganishwa na nyerere kwa kutetea kwa nguvu maslahi ya umma kwenye uongozi wake. Tangu aitwe na mola wake tumeshuhudia furaha kwa wapinga maendeleo. Wamediriki hadi kumsifia mama kama mwokozi wa taifa dhidi ya uongozi uliyopita wa Magufuli. Juzi tu tumemsikia askofu mmoja akimtaka mama kutibu majeraha taifa.
Wanamapinduzi tunajua wenye majeraha ya magufuli ni fisadi na wazembe. Wale waliyojaribu kuiba mali au mashirika ya umma, wale waliyokua wamejimilikisha kinyemela mali za chama chao cha CCM, wale waliyokua wanashirikiana na barrick kuona madini ya nchi yanaibiwa makontena na makontena kwa kupewa ujira.
Sasa anatokea askofu eti mama ponya majeraha. Majeraha ya fisadi. Ina maana awarejeshe kwenye kudhulumu umma.
Tunamtahadharisha mama awe macho kukumbatiwa na watu waovu ambao wanategemea kuibia umma na kujitajirisha binafsi huku umma wa wananchi ukiendelea kufukarika.
Ni jambo la kutia moyo kuona jinsi wananchi wa tanzania wanavyomkumbuka magufuli. Ni hatari kwa kiongozi yeyote kutaka kufuata sera za kuwanufaisha wachache kwa gharama ya umma. Kimsingi CCM ni chama cha kulinda na kuendeleza maslahi ya umma. Wakifanya tofauti watapigwa chini.
Sabaya aliteuliwa na magufuliNchi za kibeberu na vibaraka wao wana tabia ya kuwazushia viongozi wanamapinduzi ubaya waonekane wabaya kama shetani.

Kama ni shetani kwanini mnasema mimi na magufuli ni kitu kimoja kwanini msiseme waziwazi kuwa mnampinga magufuli ....sisi tunataka wanasiasa wote mnao mpinga magufuli muwe wazi kabisa tuone kama mtapata hata asilimia 10 ya kura
Powel, C. (R.I.P)wanaotupa chanjo,
Kwani huna ndugu yoyote aliyekwisha kufa ?Yupo Kuzimu Motoni Kwa sasa
Mzee wako kafa...hatarudi tena, wamponde au wamsifu, he's gone