PostGE2025 Mpango wa kuzima maandamano D9 hautofanikiwa, hakuna uovu mtakaoupanga ambao utakuwa ni siri tena

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Marybea

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
302
Reaction score
576
Samia kwa sasa ulitakiwa uwe unajutia kwa haya yote yaliyotokea.Wote tunajua haukubaliki tena kama raisi wa hii nchi basi acha kujidanganya kwa hio mipango yako miovu
Watanzania msione serikali ipo kimya kuhusu D9 vichwa vinawauma,sasa mpango wao wa kuzima maandamano uko hivi👇🏽👇🏽👇🏽

Wanajua dunia nzima inawaangalia,wanajua ni lazima watu watatoka na kama maandamano yatakuwa ni ya bila kikomo inamaana itatakiwa atoke madarakani na akitoka ataondoka na genge lake ovu hicho kitu hawataki kukikubali

Kati ya tareh 1-8 december litatokea kundi la watu wamevaa kiraia wakikwa kwenye mask watasambazwa sehemu tofauti nchini na watavamia na kuua watu mchana kweupe wata target zaidi watoto wa kiume japo hata wanawake wengine watadhurika,kisha serikali itatoa tamko kila mmoja akae ndani kuna kundi la watu wabaya wameingia nchini tumevamiwa hivyo tuingie ndani tuache jeshi na vyombo vya ulinzi na usalama vishughulike nao.Hio ni plan yao ya kuwatisha watu wasiweze kutoka D9
plan yao ni kuvuruga watu wasitoke kuandamana.
Jinsi hawa waovu walivyo na roho mbaya wapo tayari kuua watu tena ili wapate kushika madaraka.

Ujumbe kwenu nyie waovu hakuna mpango utakaofichika tayari mmeshindwa na hakuna wa kuzuia Tanzania mpya

Kwa watanzania tusikubali maigizo yoyote yatutoe kwenye reli tumuombe Mungu na tutoke tukairudishe nchi yetu

siri na uovu wote mnaopanga haufichiki tena muda wenu umeisha
 
Ahsante kwa taarifa. Hawataweza na mipango yao hiyo miovu. D9 kitaeleweka
 
Mwenye roho mbaya ni yule anayeshawishi watu waende tena barabarani wakauliwe kinyama huku yeye amejifungia ndani Kenya huko au Marekani akila bata

Sikilizeni vizuri maneno ya Mwigul serikali haina option nyingine tena kama mtaingia barabarani zaidi ya kuendelea kumwaga damu za watu tena
 
Wanajua dunia nzima inawaangalia,wanajua ni lazima watu watatoka na kama maandamano yatakuwa ni ya bila kikomo inamaana itatakiwa atoke madarakani na akitoka ataondoka na genge lake ovu hicho kitu hawataki kukikubali💪🏿⚡✌🏿
 
Mwenye roho mbaya ni yule anayeshawishi watu waende tena barabarani wakauliwe kinyama huku yeye amejifungia ndani Kenya huko au Marekani akila bata

Sikilizeni vizuri maneno ya Mwigul serikali haina option nyingine tena kama mtaingia barabarani zaidi ya kuendelea kumwaga damu za watu tena
Pumbavu wewe. Serikali iliyoingia madarakani kwa hila ndo unasema tuisikilize serikali. Mimi D9 nitatoka.
 
Samia kwa sasa ulitakiwa uwe unajutia kwa haya yote yaliyotokea.Wote tunajua haukubaliki tena kama raisi wa hii nchi basi acha kujidanganya kwa hio mipango yako miovu
Watanzania msione serikali ipo kimya kuhusu D9 vichwa vinawauma,sasa mpango wao wa kuzima maandamano uko hivi👇🏽👇🏽👇🏽

Wanajua dunia nzima inawaangalia,wanajua ni lazima watu watatoka na kama maandamano yatakuwa ni ya bila kikomo inamaana itatakiwa atoke madarakani na akitoka ataondoka na genge lake ovu hicho kitu hawataki kukikubali

Kati ya tareh 1-8 december litatokea kundi la watu wamevaa kiraia wakikwa kwenye mask watasambazwa sehemu tofauti nchini na watavamia na kuua watu mchana kweupe wata target zaidi watoto wa kiume japo hata wanawake wengine watadhurika,kisha serikali itatoa tamko kila mmoja akae ndani kuna kundi la watu wabaya wameingia nchini tumevamiwa hivyo tuingie ndani tuache jeshi na vyombo vya ulinzi na usalama vishughulike nao.Hio ni plan yao ya kuwatisha watu wasiweze kutoka D9
plan yao ni kuvuruga watu wasitoke kuandamana.
Jinsi hawa waovu walivyo na roho mbaya wapo tayari kuua watu tena ili wapate kushika madaraka.

Ujumbe kwenu nyie waovu hakuna mpango utakaofichika tayari mmeshindwa na hakuna wa kuzuia Tanzania mpya

Kwa watanzania tusikubali maigizo yoyote yatutoe kwenye reli tumuombe Mungu na tutoke tukairudishe nchi yetu

siri na uovu wote mnaopanga haufichiki tena muda wenu umeisha
Ikiwa nikweli ukikutana na hao majangili waliovaa mask na una panga au sime mcharange hata mmoja au kadri unavyoweza
 
Pumbavu wewe. Serikali iliyoingia madarakani kwa hila ndo unasema tuisikilize serikali. Mimi D9 nitatoka.
Matusi ya nini tena mkuu? Hauna hoja au?

Hii ndo serikali ya awamu yako ya kwanza kukuongoza? Hizo zilizopita ziliingia madarakani kwa njia ipi?

Yashatokea ya kutokea tuangalie tunakabiliana nalo vipi hili

We D9 toka tu mkuu kila la kheri na nakuombea urudi salama na ushindi usirudi nyuma hata wakitangaza Curfew kukimbia kurudi nyumbani ni kuwasaliti wenzako songa mbele either urudi ushindi nyumbani au irudi maiti

Hasta la Victoria siempre
 
Mwenye roho mbaya ni yule anayeshawishi watu waende tena barabarani wakauliwe kinyama huku yeye amejifungia ndani Kenya huko au Marekani akila bata

Sikilizeni vizuri maneno ya Mwigul serikali haina option nyingine tena kama mtaingia barabarani zaidi ya kuendelea kumwaga damu za watu tena
Maandamano ni ya amani.
 
Mwenye roho mbaya ni yupe anapiga waandamanaji na risasi za moto wakwti ni haki ya kikatba kuandamana
Si kinyume cha sheria

Mwigulu anatetea ugali wake but serikal inazunguka zunguka haitaki kukiri kuna mauaji vyombo vyake vimefanya
 
Samia kwa sasa ulitakiwa uwe unajutia kwa haya yote yaliyotokea.Wote tunajua haukubaliki tena kama raisi wa hii nchi basi acha kujidanganya kwa hio mipango yako miovu
Watanzania msione serikali ipo kimya kuhusu D9 vichwa vinawauma,sasa mpango wao wa kuzima maandamano uko hivi👇🏽👇🏽👇🏽

Wanajua dunia nzima inawaangalia,wanajua ni lazima watu watatoka na kama maandamano yatakuwa ni ya bila kikomo inamaana itatakiwa atoke madarakani na akitoka ataondoka na genge lake ovu hicho kitu hawataki kukikubali

Kati ya tareh 1-8 december litatokea kundi la watu wamevaa kiraia wakikwa kwenye mask watasambazwa sehemu tofauti nchini na watavamia na kuua watu mchana kweupe wata target zaidi watoto wa kiume japo hata wanawake wengine watadhurika,kisha serikali itatoa tamko kila mmoja akae ndani kuna kundi la watu wabaya wameingia nchini tumevamiwa hivyo tuingie ndani tuache jeshi na vyombo vya ulinzi na usalama vishughulike nao.Hio ni plan yao ya kuwatisha watu wasiweze kutoka D9
plan yao ni kuvuruga watu wasitoke kuandamana.
Jinsi hawa waovu walivyo na roho mbaya wapo tayari kuua watu tena ili wapate kushika madaraka.

Ujumbe kwenu nyie waovu hakuna mpango utakaofichika tayari mmeshindwa na hakuna wa kuzuia Tanzania mpya

Kwa watanzania tusikubali maigizo yoyote yatutoe kwenye reli tumuombe Mungu na tutoke tukairudishe nchi yetu

siri na uovu wote mnaopanga haufichiki tena muda wenu umeisha
Nimeshtuka sana sisi wa kazi zetu ambazo inatulazimu kukutana na watu wengi kwa siku Mungu aepushe mbali hili.
 
Mwenye roho mbaya ni yupe anapiga waandamanaji na risasi za moto wakwti ni haki ya kikatba kuandamana
Si kinyume cha sheria

Mwigulu anatetea ugali wake but serikal inazunguka zunguka haitaki kukiri kuna mauaji vyombo vyake vimefanya
Maandamano ya amani ni haki yao kikatiba ila yale yasiyo ya amani lazima tu kuna nguvu itatumika kutuliza
 
Yakiwa ya amani hamna tatizo

Shida kuna influencers Maria,Sativa na Hilda Newton wao hawataki yawe ya amani na kuna Gen Z wengi tu wamelipokea hili

Na kiuhalisia maandamano ya kutaka Rais ajiuzulu hayajawahi kuwa ya amani hata Mara moja na hayawezi kuwa ya amani
Kwahiyo wewe Mkuu suggestion yako ni ipi? Tuache Damu za ndugu zetu ziende bure?

Anyway katiba inaruhusu maandamano na hakuna sehemu yeyote Sheria inahalalisha anaye andamana auawe, ni upumbavu na uzandaki wa viongozi wanajichukulia Sheria mkononi.
 
Naipenda nchi yangu na ninafurahi kuipigania nchi yangu
Safi Mkuu toka sasa huko Ughaibuni uje nyumbani Tanzania kuungana na Watanzania wenzako kudai haki na sio kujificha huko na kuwalaghai wenzenu
 
Back
Top Bottom