Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 3,240
- 5,625
Damu za ndugu zetu haziwezi kwenda bureKwahiyo wewe Mkuu suggestion yako ni ipi? Tuache Damu za ndugu zetu ziende bure?
Anyway katiba inaruhusu maandamano na hakuna sehemu yeyote Sheria inahalalisha anaye andamana auawe, ni upumbavu na uzandaki wa viongozi wanajichukulia Sheria mkononi.
Kumbuka hao ndugu zetu waliouliwa kuna mambo walikuwa wanayapigania mpaka kuwakuta madhila hayo
So hayo mambo waliyokuwa wanapigania ndo wakati wake sasa yaboreshwe ili haya mambo yasije yakajirudia tena
Kwahiyo damu zao hazitoenda bure bali zitakuwa ndo chanzo cha mabadiliko ya nchi yetu
Haina haja ya kuendelea kumwagika kwa damu nyingine