PostGE2025 Mpango wa kuzima maandamano D9 hautofanikiwa, hakuna uovu mtakaoupanga ambao utakuwa ni siri tena

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hizo nchi ulizotaja hazifanani kwanza kigeografia na Tz

Pia hizo nchi asilimia kubwa jeshi lilikuwa upande wa wananchi wao

na usiseme maandamano ya Nepal yalikuwa ya amani hapana hii napinga na kila mtu ameshuhudia

Nikuulize mkuu walioandamana tarehe 29 madai yao makuu yalikuwa ni nini??
Haufuatilii vyombo vya habari?

Sababu zipo nyingi sana, ajirahakunaama chache kwa upendeleo na rushwa.

Watu kutekwa, kuuawa, tume huru ya uchaguzi, kuminya vyombo vya habari, kufungia makanisa na makandokando kibao, ambayo hajatokea mtu yeyote, awe Samia ama Waziri mkuu wake kuzungumzia hili angalao kukemea hakuna!

kama hauelewi chanzo cha vijana kuandamana na upo nchi hii, basi wewe una maisha yako amaizing sana!
 
Nimekupata Mkuu

Vijana waliexpect nini baada ya hayo maandamano yaani nini kilikuwa akilini mwao?

Kwa maana hizo kero zote na haki wanazodai ziweze kutatuliwa

Matokeo yake kwenye makabiliano kati ya Idara ya usalama na raia yakatokea maafa.Sometimes kwenye kupambania haki hayo mambo hayakwepeki so cha umuhimu kilichobaki ni kuangalia Je yale tuliyoyadai yatatekelezwa?

Maana ndo msingi mkuu wa yale maandamano otherwise kungekuwa na agenda tofauti kuhusu yale maandamano

Ujumbe serikali wameupata na wamekiri wamekosea maridhiano ni muhimu yafanyike kwani hata tukiuwana wote wakabaki wawili tu itahitaji wakae mezani wayazungumze

Au la tuangalie namna ya kufanya ili reforms zifanyike kuliko hii njia waliyoichagua sasa hivi

Mtu anayesema maandamano ya amani kidogo naweza nikamuelewa kuliko wale wanaharakati Sativa na Maria Sarungi wanavyodai wao kuwa watu wapasuane na polisi hii sio sawa

Hawa watu inaonekana wana visasi vyao na serikali na wanatumia mgongo wa wananchi ambao hawawezi kureason vitu ili wafanikishe adhma zao

Kwanini hawa wanaharakati hawataki maandamano ya amani?? Kwanini?? Basi waje waungane na wenzao huku tupambanie Taifa

Hilda Newton na Roma mkatoliki siku chache kabla ya maandamano ya okt 29 walipost kuwa watakuwepo Tz kuungana na Gen Z hadi leo hamna yeyote aliyepost kuwa alikuwepo Tanzania halaf wao ndo wanaongoza kuchochea maandamano yasiyo ya amani

Inafikirisha kwa kweli
 
Yakiwa ya amani hamna tatizo

Shida kuna influencers Maria,Sativa na Hilda Newton wao hawataki yawe ya amani na kuna Gen Z wengi tu wamelipokea hili

Na kiuhalisia maandamano ya kutaka Rais ajiuzulu hayajawahi kuwa ya amani hata Mara moja na hayawezi kuwa ya amani
Rais aliyechaguliwa kwa kura halali ndio itakuwa kosa, lakini huyo aliyejiweka madarakani kwa mtutu hatutakubali. Hatutafanya fujo lakini lazima aondoke. Maandamano yatakuwa ya amani, labda polisi waanze walichotumwa, hapo ngoma itakuwa ngumu.
 
Hadi sasa hivi inavyoonekana njia itakayotumika ni ile ile tu sema safari hii itafanyika kwa ufanisi zaidi
 
Nani kawambia maandamano yanatakiwa yazimwe? Tunataka nyumbu muandamane ili mpigwe risasi hadi muishe na maandamano yenu uchwara ya wizi wa mali za watu na uharibifu.
 
Mwenye roho mbaya ni yule anayeshawishi watu waende tena barabarani wakauliwe kinyama huku yeye amejifungia ndani Kenya huko au Marekani akila bata

Sikilizeni vizuri maneno ya Mwigul serikali haina option nyingine tena kama mtaingia barabarani zaidi ya kuendelea kumwaga damu za watu tena
Nyinyi ndio aina ya watu mkiulizwa mfanye reforms

Mnajibu hakuna nywinywinywi Wala nywanywanywa..

Acha damu imwagike baadae tutabadili bendera ya taifa itakua na rangi nyekundu kukumbuka wotee walio peteza uhai kwenye kudai haki na reforms za msingi bila kusahau katiba mpya na rasilimali za Tanganyika
 
Tumekuwa kama wafuasi wa Kibwetere
 
Mwenye roho mbaya ni yule anayeshawishi watu waende tena barabarani wakauliwe kinyama huku yeye amejifungia ndani Kenya huko au Marekani akila bata

Sikilizeni vizuri maneno ya Mwigul serikali haina option nyingine tena kama mtaingia barabarani zaidi ya kuendelea kumwaga damu za watu tena
Mshauwa sana mpaka sasa, kifo hakijaweza kuwatia hofu wabongo, tumeshavuka huko
 
Yakiwa ya amani hamna tatizo

Shida kuna influencers Maria,Sativa na Hilda Newton wao hawataki yawe ya amani na kuna Gen Z wengi tu wamelipokea hili

Na kiuhalisia maandamano ya kutaka Rais ajiuzulu hayajawahi kuwa ya amani hata Mara moja na hayawezi kuwa ya amani
Ni ya amani kabisa na watu wanaendelea kupeana elimu ukiona mtu analeta fujo au kutaka kuiba ,kuvunja kamata....
Shida ni hao wahusika kutengeneza vikundi vitakavyoleta fujo ili ionekane waandamanaji wanaleta fujo
 
Safi kwenye kupeana waanze kupewa hao influencers nilowataja Sativa,Maria Sarungi,Hilda Newton na Rachel Dangwa mana ndo wameshikilia bango la maandamano yasiwe ya amani
 
Mwenye roho mbaya ni yule anayeshawishi watu waende tena barabarani wakauliwe kinyama huku yeye amejifungia ndani Kenya huko au Marekani akila bata

Sikilizeni vizuri maneno ya Mwigul serikali haina option nyingine tena kama mtaingia barabarani zaidi ya kuendelea kumwaga damu za watu tena
Damu zetu ni mali zenu
Nyie c ndo mnamiliki uhai wetu
Endeleen kujaa viburi
 
Mshauwa sana mpaka sasa, kifo hakijaweza kuwatia hofu wabongo, tumeshavuka huko
Hofu ipo ndo mana mamia na mamia ya watu wanasafiri kwenda vijijini

Hofu haipo kwa Diaspora maana hawawezi kufikiwa kule ndo maana wanabwata tu mitandaoni
 
Kama ajenda kuikomboa nchi yanawezaje kuwa maandamano ya Amani ?

Mimi japo sipendi serikali na CcM ila siungi mkono mtu kujitoa muhanga kizembe mwenzako ana Gun wewe una jiwe hapo mzani haujakaa sawa.
Damu zetu zikimwagika walobaki watakombolewa
Its spiritual....damu haiendi bure
 
Nimekupata Mkuu

Vijana waliexpect nini baada ya hayo maandamano yaani nini kilikuwa akilini mwao?

Kwa maana hizo kero zote na haki wanazodai ziweze kutatuliwa

Matokeo yake kwenye makabiliano kati ya Idara ya usalama na raia yakatokea maafa.Sometimes kwenye kupambania haki hayo mambo hayakwepeki so cha umuhimu kilichobaki ni kuangalia Je yale tuliyoyadai yatatekelezwa?

Maana ndo msingi mkuu wa yale maandamano otherwise kungekuwa na agenda tofauti kuhusu yale maandamano

Ujumbe serikali wameupata na wamekiri wamekosea maridhiano ni muhimu yafanyike kwani hata tukiuwana wote wakabaki wawili tu itahitaji wakae mezani wayazungumze

Au la tuangalie namna ya kufanya ili reforms zifanyike kuliko hii njia waliyoichagua sasa hivi

Mtu anayesema maandamano ya amani kidogo naweza nikamuelewa kuliko wale wanaharakati Sativa na Maria Sarungi wanavyodai wao kuwa watu wapasuane na polisi hii sio sawa

Hawa watu inaonekana wana visasi vyao na serikali na wanatumia mgongo wa wananchi ambao hawawezi kureason vitu ili wafanikishe adhma zao

Kwanini hawa wanaharakati hawataki maandamano ya amani?? Kwanini?? Basi waje waungane na wenzao huku tupambanie Taifa

Hilda Newton na Roma mkatoliki siku chache kabla ya maandamano ya okt 29 walipost kuwa watakuwepo Tz kuungana na Gen Z hadi leo hamna yeyote aliyepost kuwa alikuwepo Tanzania halaf wao ndo wanaongoza kuchochea maandamano yasiyo ya amani

Inafikirisha kwa kweli
The biggest reason ilkua ni uchaguzi wa huru na haki....kuwaweka madarakani wale tunaowaamini wangewez kuleta yote hayo....reforms zilhitajika kwanza.....atuwez kuskiliza watu waloua na hawakutekeleza matakwa kabla ya kua hapo....
 
Hadi sasa hivi inavyoonekana njia itakayotumika ni ile ile tu sema safari hii itafanyika kwa ufanisi zaidi
Tuko tayari kulipa gharama ya unyama huo, ila mabadiliko ni lazima.
 
Hofu ipo ndo mana mamia na mamia ya watu wanasafiri kwenda vijijini

Hofu haipo kwa Diaspora maana hawawezi kufikiwa kule ndo maana wanabwata tu mitandaoni
Hatuna pesa ya kununulia uoga vima nyie
 
Kwa watanzania tusikubali maigizo yoyote yatutoe kwenye reli tumuombe Mungu na tutoke tukairudishe nchi yetu

siri na uovu wote mnaopanga haufichiki tena muda wenu umeisha
Nimeukubari huu moto hauzimwi kwa maji labda waongezee moto mwingine ila wakijaribu kuuzima kwa maji utawaunguza wote...
 
The biggest reason ilkua ni uchaguzi wa huru na haki....kuwaweka madarakani wale tunaowaamini wangewez kuleta yote hayo....reforms zilhitajika kwanza.....atuwez kuskiliza watu waloua na hawakutekeleza matakwa kabla ya kua hapo....
Uchaguzi huru na haki....sasa kwanini tuliandamana siku ya uchaguzi kwanini tusingeandamana kabla ya hapo??
 
Yaan hakuna haki alaf unawapangia watu wadai haki yao lini....unamdai mtu then upangiwe siku ya kumdai????
Kelele zote mlizokua mnapigiwa kabla hamkuziona????
Akina polepole,TEC walkua wanaomba mchakato usogezwe mbele toka lini???
Mlishupaza shingo mkidhani watanzania ni wanyonge skuzote....endeleeni kushupaza shingo
 
Back
Top Bottom