PostGE2025 Mpango wa kuzima maandamano D9 hautofanikiwa, hakuna uovu mtakaoupanga ambao utakuwa ni siri tena

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Safi kwenye kupeana waanze kupewa hao influencers nilowataja Sativa,Maria Sarungi,Hilda Newton na Rachel Dangwa mana ndo wameshikilia bango la maandamano yasiwe ya amani
No mkuu labda hujawafuatilia mi niko live almost 3 weeks now...
Even Jana na leo nilikuwa live ndo natoka
Recho,sativa, na Maria wote wanasisitiza amani

Na sshv natoka live pia huo ndo msisitizo
Mange pia mpk jana kasisitiza amani tena akiwasihi kina kj

Ila wamewaambia kabisa tcra wakizima mtandao manaake wanataka kuua tena gizani km mwanzo
 
Mwenye roho mbaya ni yule anayeshawishi watu waende tena barabarani wakauliwe kinyama huku yeye amejifungia ndani Kenya huko au Marekani akila bata

Sikilizeni vizuri maneno ya Mwigul serikali haina option nyingine tena kama mtaingia barabarani zaidi ya kuendelea kumwaga damu za watu tena
Serikali haramu
 
Samia kwa sasa ulitakiwa uwe unajutia kwa haya yote yaliyotokea.Wote tunajua haukubaliki tena kama raisi wa hii nchi basi acha kujidanganya kwa hio mipango yako miovu
Watanzania msione serikali ipo kimya kuhusu D9 vichwa vinawauma,sasa mpango wao wa kuzima maandamano uko hivi👇🏽👇🏽👇🏽

Wanajua dunia nzima inawaangalia,wanajua ni lazima watu watatoka na kama maandamano yatakuwa ni ya bila kikomo inamaana itatakiwa atoke madarakani na akitoka ataondoka na genge lake ovu hicho kitu hawataki kukikubali

Kati ya tareh 1-8 december litatokea kundi la watu wamevaa kiraia wakikwa kwenye mask watasambazwa sehemu tofauti nchini na watavamia na kuua watu mchana kweupe wata target zaidi watoto wa kiume japo hata wanawake wengine watadhurika,kisha serikali itatoa tamko kila mmoja akae ndani kuna kundi la watu wabaya wameingia nchini tumevamiwa hivyo tuingie ndani tuache jeshi na vyombo vya ulinzi na usalama vishughulike nao.Hio ni plan yao ya kuwatisha watu wasiweze kutoka D9
plan yao ni kuvuruga watu wasitoke kuandamana.
Jinsi hawa waovu walivyo na roho mbaya wapo tayari kuua watu tena ili wapate kushika madaraka.

Ujumbe kwenu nyie waovu hakuna mpango utakaofichika tayari mmeshindwa na hakuna wa kuzuia Tanzania mpya

Kwa watanzania tusikubali maigizo yoyote yatutoe kwenye reli tumuombe Mungu na tutoke tukairudishe nchi yetu

siri na uovu wote mnaopanga haufichiki tena muda wenu umeisha
Lucas Mwashambwa ndio kiongozi wao?
 
Huyo Bibi Chura inatakiwa ajifiche hivyo hivyo mpaka atolewe nduki ,D9 kashakimbia sherehe za uhuru ,inatakiwa asifanye issue yeyote Public ,akitangaza mkutano wowote hiyo siku inakuwa ni Maandamano.

Haiishi mpaka iishe.
 
Samia kwa sasa ulitakiwa uwe unajutia kwa haya yote yaliyotokea.Wote tunajua haukubaliki tena kama raisi wa hii nchi basi acha kujidanganya kwa hio mipango yako miovu
Watanzania msione serikali ipo kimya kuhusu D9 vichwa vinawauma,sasa mpango wao wa kuzima maandamano uko hivi👇🏽👇🏽👇🏽

Wanajua dunia nzima inawaangalia,wanajua ni lazima watu watatoka na kama maandamano yatakuwa ni ya bila kikomo inamaana itatakiwa atoke madarakani na akitoka ataondoka na genge lake ovu hicho kitu hawataki kukikubali

Kati ya tareh 1-8 december litatokea kundi la watu wamevaa kiraia wakikwa kwenye mask watasambazwa sehemu tofauti nchini na watavamia na kuua watu mchana kweupe wata target zaidi watoto wa kiume japo hata wanawake wengine watadhurika,kisha serikali itatoa tamko kila mmoja akae ndani kuna kundi la watu wabaya wameingia nchini tumevamiwa hivyo tuingie ndani tuache jeshi na vyombo vya ulinzi na usalama vishughulike nao.Hio ni plan yao ya kuwatisha watu wasiweze kutoka D9
plan yao ni kuvuruga watu wasitoke kuandamana.
Jinsi hawa waovu walivyo na roho mbaya wapo tayari kuua watu tena ili wapate kushika madaraka.

Ujumbe kwenu nyie waovu hakuna mpango utakaofichika tayari mmeshindwa na hakuna wa kuzuia Tanzania mpya

Kwa watanzania tusikubali maigizo yoyote yatutoe kwenye reli tumuombe Mungu na tutoke tukairudishe nchi yetu

siri na uovu wote mnaopanga haufichiki tena muda wenu umeisha
Hii ngoma...ni kumuachia huru Lisu aitulize tu.
 
Nimekupata Mkuu

Vijana waliexpect nini baada ya hayo maandamano yaani nini kilikuwa akilini mwao?

Kwa maana hizo kero zote na haki wanazodai ziweze kutatuliwa

Matokeo yake kwenye makabiliano kati ya Idara ya usalama na raia yakatokea maafa.Sometimes kwenye kupambania haki hayo mambo hayakwepeki so cha umuhimu kilichobaki ni kuangalia Je yale tuliyoyadai yatatekelezwa?

Maana ndo msingi mkuu wa yale maandamano otherwise kungekuwa na agenda tofauti kuhusu yale maandamano

Ujumbe serikali wameupata na wamekiri wamekosea maridhiano ni muhimu yafanyike kwani hata tukiuwana wote wakabaki wawili tu itahitaji wakae mezani wayazungumze

Au la tuangalie namna ya kufanya ili reforms zifanyike kuliko hii njia waliyoichagua sasa hivi

Mtu anayesema maandamano ya amani kidogo naweza nikamuelewa kuliko wale wanaharakati Sativa na Maria Sarungi wanavyodai wao kuwa watu wapasuane na polisi hii sio sawa

Hawa watu inaonekana wana visasi vyao na serikali na wanatumia mgongo wa wananchi ambao hawawezi kureason vitu ili wafanikishe adhma zao

Kwanini hawa wanaharakati hawataki maandamano ya amani?? Kwanini?? Basi waje waungane na wenzao huku tupambanie Taifa

Hilda Newton na Roma mkatoliki siku chache kabla ya maandamano ya okt 29 walipost kuwa watakuwepo Tz kuungana na Gen Z hadi leo hamna yeyote aliyepost kuwa alikuwepo Tanzania halaf wao ndo wanaongoza kuchochea maandamano yasiyo ya amani

Inafikirisha kwa kweli
Yote uliyoyasema ndivyo inastahili kuwa!

Je wadhani na bado una matumaini kabisa kuwa hii Serikali ya chura kiziwi inasikia?

Kama kungefanyika reforms kabla ya uchaguzi kulikuwa na ubaya gani na nani angehamasika kuingia barabarani,ili kudai nini?

Ni tume ngapi zimeundwa chini ya utawala huu wa awamu ya 6, ukianza na tume ya haki jinai utekelezaji wake huwa ni nini?

Sasa wameunda tume kuchunguza nini wakati mambo yote yaliyosababisha kadhia hii wanayajua na ni wao walioyasababisha?

Haya yote wanayoyafanya ni maigizo ya kuvutia muda ili wajiweke sawa, lakini nia thabiti ya maridhiano na kufanya reforms mbalimbali wanzazotaka waTz, hawana.
 
Mwenye roho mbaya ni yule anayeshawishi watu waende tena barabarani wakauliwe kinyama huku yeye amejifungia ndani Kenya huko au Marekani akila bata

Sikilizeni vizuri maneno ya Mwigul serikali haina option nyingine tena kama mtaingia barabarani zaidi ya kuendelea kumwaga damu za watu tena
Wauliwe nani ???
Kuandamana ni kosa kisheria??
Kwanini tunakuwa na wapumbavu wengi hivi .
 
Mwenye roho mbaya ni yule anayeshawishi watu waende tena barabarani wakauliwe kinyama huku yeye amejifungia ndani Kenya huko au Marekani akila bata

Sikilizeni vizuri maneno ya Mwigul serikali haina option nyingine tena kama mtaingia barabarani zaidi ya kuendelea kumwaga damu za watu tena
endeleaa kutafuta kazi kijana..uchawa hautakusaidia
 
Back
Top Bottom