Ahsante kwa taarifa. Hawataweza na mipango yao hiyo miovu. D9 kitaelewekaSamia kwa sasa ulitakiwa uwe unajutia kwa haya yote yaliyotokea.Wote tunajua haukubaliki tena kama raisi wa hii nchi basi acha kujidanganya kwa hio mipango yako miovu
Watanzania msione serikali ipo kimya kuhusu D9 vichwa vinawauma,sasa mpango wao wa kuzima maandamano uko hiviππ½ππ½ππ½
Wanajua dunia nzima inawaangalia,wanajua ni lazima watu watatoka na kama maandamano yatakuwa ni ya bila kikomo inamaana itatakiwa atoke madarakani na akitoka ataondoka na genge lake ovu hicho kitu hawataki kukikubali
Kati ya tareh 1-8 december litatokea kundi la watu wamevaa kiraia wakikwa kwenye mask watasambazwa sehemu tofauti nchini na watavamia na kuua watu mchana kweupe wata target zaidi watoto wa kiume japo hata wanawake wengine watadhurika,kisha serikali itatoa tamko kila mmoja akae ndani kuna kundi la watu wabaya wameingia nchini tumevamiwa hivyo tuingie ndani tuache jeshi na vyombo vya ulinzi na usalama vishughulike nao.Hio ni plan yao ya kuwatisha watu wasiweze kutoka D9
plan yao ni kuvuruga watu wasitoke kuandamana.
Jinsi hawa waovu walivyo na roho mbaya wapo tayari kuua watu tena ili wapate kushika madaraka.
Ujumbe kwenu nyie waovu hakuna mpango utakaofichika tayari mmeshindwa na hakuna wa kuzuia Tanzania mpya
Kwa watanzania tusikubali maigizo yoyote yatutoe kwenye reli tumuombe Mungu na tutoke tukairudishe nchi yetu
siri na uovu wote mnaopanga haufichiki tena muda wenu umeisha
Wanajua dunia nzima inawaangalia,wanajua ni lazima watu watatoka na kama maandamano yatakuwa ni ya bila kikomo inamaana itatakiwa atoke madarakani na akitoka ataondoka na genge lake ovu hicho kitu hawataki kukikubaliπͺπΏβ‘βπΏSamia kwa sasa ulitakiwa uwe unajutia kwa haya yote yaliyotokea.Wote tunajua haukubaliki tena kama raisi wa hii nchi basi acha kujidanganya kwa hio mipango yako miovu
Watanzania msione serikali ipo kimya kuhusu D9 vichwa vinawauma,sasa mpango wao wa kuzima maandamano uko hiviππ½ππ½ππ½
Wanajua dunia nzima inawaangalia,wanajua ni lazima watu watatoka na kama maandamano yatakuwa ni ya bila kikomo inamaana itatakiwa atoke madarakani na akitoka ataondoka na genge lake ovu hicho kitu hawataki kukikubali
Kati ya tareh 1-8 december litatokea kundi la watu wamevaa kiraia wakikwa kwenye mask watasambazwa sehemu tofauti nchini na watavamia na kuua watu mchana kweupe wata target zaidi watoto wa kiume japo hata wanawake wengine watadhurika,kisha serikali itatoa tamko kila mmoja akae ndani kuna kundi la watu wabaya wameingia nchini tumevamiwa hivyo tuingie ndani tuache jeshi na vyombo vya ulinzi na usalama vishughulike nao.Hio ni plan yao ya kuwatisha watu wasiweze kutoka D9
plan yao ni kuvuruga watu wasitoke kuandamana.
Jinsi hawa waovu walivyo na roho mbaya wapo tayari kuua watu tena ili wapate kushika madaraka.
Ujumbe kwenu nyie waovu hakuna mpango utakaofichika tayari mmeshindwa na hakuna wa kuzuia Tanzania mpya
Kwa watanzania tusikubali maigizo yoyote yatutoe kwenye reli tumuombe Mungu na tutoke tukairudishe nchi yetu
siri na uovu wote mnaopanga haufichiki tena muda wenu umeisha
Pumbavu wewe. Serikali iliyoingia madarakani kwa hila ndo unasema tuisikilize serikali. Mimi D9 nitatoka.Mwenye roho mbaya ni yule anayeshawishi watu waende tena barabarani wakauliwe kinyama huku yeye amejifungia ndani Kenya huko au Marekani akila bata
Sikilizeni vizuri maneno ya Mwigul serikali haina option nyingine tena kama mtaingia barabarani zaidi ya kuendelea kumwaga damu za watu tena
Naipenda nchi yangu na ninafurahi kuipigania nchi yanguPumbavu wewe. Serikali iliyoingia madarakani kwa hila ndo unasema tuisikilize serikali. Mimi D9 nitatoka.
Ikiwa nikweli ukikutana na hao majangili waliovaa mask na una panga au sime mcharange hata mmoja au kadri unavyowezaSamia kwa sasa ulitakiwa uwe unajutia kwa haya yote yaliyotokea.Wote tunajua haukubaliki tena kama raisi wa hii nchi basi acha kujidanganya kwa hio mipango yako miovu
Watanzania msione serikali ipo kimya kuhusu D9 vichwa vinawauma,sasa mpango wao wa kuzima maandamano uko hiviππ½ππ½ππ½
Wanajua dunia nzima inawaangalia,wanajua ni lazima watu watatoka na kama maandamano yatakuwa ni ya bila kikomo inamaana itatakiwa atoke madarakani na akitoka ataondoka na genge lake ovu hicho kitu hawataki kukikubali
Kati ya tareh 1-8 december litatokea kundi la watu wamevaa kiraia wakikwa kwenye mask watasambazwa sehemu tofauti nchini na watavamia na kuua watu mchana kweupe wata target zaidi watoto wa kiume japo hata wanawake wengine watadhurika,kisha serikali itatoa tamko kila mmoja akae ndani kuna kundi la watu wabaya wameingia nchini tumevamiwa hivyo tuingie ndani tuache jeshi na vyombo vya ulinzi na usalama vishughulike nao.Hio ni plan yao ya kuwatisha watu wasiweze kutoka D9
plan yao ni kuvuruga watu wasitoke kuandamana.
Jinsi hawa waovu walivyo na roho mbaya wapo tayari kuua watu tena ili wapate kushika madaraka.
Ujumbe kwenu nyie waovu hakuna mpango utakaofichika tayari mmeshindwa na hakuna wa kuzuia Tanzania mpya
Kwa watanzania tusikubali maigizo yoyote yatutoe kwenye reli tumuombe Mungu na tutoke tukairudishe nchi yetu
siri na uovu wote mnaopanga haufichiki tena muda wenu umeisha
Matusi ya nini tena mkuu? Hauna hoja au?Pumbavu wewe. Serikali iliyoingia madarakani kwa hila ndo unasema tuisikilize serikali. Mimi D9 nitatoka.
Maandamano ni ya amani.Mwenye roho mbaya ni yule anayeshawishi watu waende tena barabarani wakauliwe kinyama huku yeye amejifungia ndani Kenya huko au Marekani akila bata
Sikilizeni vizuri maneno ya Mwigul serikali haina option nyingine tena kama mtaingia barabarani zaidi ya kuendelea kumwaga damu za watu tena
Mwenye roho mbaya ni yupe anapiga waandamanaji na risasi za moto wakwti ni haki ya kikatba kuandamanaMwenye roho mbaya ni yule anayeshawishi watu waende tena barabarani wakauliwe kinyama huku yeye amejifungia ndani Kenya huko au Marekani akila bata
Sikilizeni vizuri maneno ya Mwigul serikali haina option nyingine tena kama mtaingia barabarani zaidi ya kuendelea kumwaga damu za watu tena
Nimeshtuka sana sisi wa kazi zetu ambazo inatulazimu kukutana na watu wengi kwa siku Mungu aepushe mbali hili.Samia kwa sasa ulitakiwa uwe unajutia kwa haya yote yaliyotokea.Wote tunajua haukubaliki tena kama raisi wa hii nchi basi acha kujidanganya kwa hio mipango yako miovu
Watanzania msione serikali ipo kimya kuhusu D9 vichwa vinawauma,sasa mpango wao wa kuzima maandamano uko hiviππ½ππ½ππ½
Wanajua dunia nzima inawaangalia,wanajua ni lazima watu watatoka na kama maandamano yatakuwa ni ya bila kikomo inamaana itatakiwa atoke madarakani na akitoka ataondoka na genge lake ovu hicho kitu hawataki kukikubali
Kati ya tareh 1-8 december litatokea kundi la watu wamevaa kiraia wakikwa kwenye mask watasambazwa sehemu tofauti nchini na watavamia na kuua watu mchana kweupe wata target zaidi watoto wa kiume japo hata wanawake wengine watadhurika,kisha serikali itatoa tamko kila mmoja akae ndani kuna kundi la watu wabaya wameingia nchini tumevamiwa hivyo tuingie ndani tuache jeshi na vyombo vya ulinzi na usalama vishughulike nao.Hio ni plan yao ya kuwatisha watu wasiweze kutoka D9
plan yao ni kuvuruga watu wasitoke kuandamana.
Jinsi hawa waovu walivyo na roho mbaya wapo tayari kuua watu tena ili wapate kushika madaraka.
Ujumbe kwenu nyie waovu hakuna mpango utakaofichika tayari mmeshindwa na hakuna wa kuzuia Tanzania mpya
Kwa watanzania tusikubali maigizo yoyote yatutoe kwenye reli tumuombe Mungu na tutoke tukairudishe nchi yetu
siri na uovu wote mnaopanga haufichiki tena muda wenu umeisha
Yakiwa ya amani hamna tatizoMaandamano ni ya amani.
Maandamano ya amani ni haki yao kikatiba ila yale yasiyo ya amani lazima tu kuna nguvu itatumika kutulizaMwenye roho mbaya ni yupe anapiga waandamanaji na risasi za moto wakwti ni haki ya kikatba kuandamana
Si kinyume cha sheria
Mwigulu anatetea ugali wake but serikal inazunguka zunguka haitaki kukiri kuna mauaji vyombo vyake vimefanya
Kwahiyo wewe Mkuu suggestion yako ni ipi? Tuache Damu za ndugu zetu ziende bure?Yakiwa ya amani hamna tatizo
Shida kuna influencers Maria,Sativa na Hilda Newton wao hawataki yawe ya amani na kuna Gen Z wengi tu wamelipokea hili
Na kiuhalisia maandamano ya kutaka Rais ajiuzulu hayajawahi kuwa ya amani hata Mara moja na hayawezi kuwa ya amani
Safi Mkuu toka sasa huko Ughaibuni uje nyumbani Tanzania kuungana na Watanzania wenzako kudai haki na sio kujificha huko na kuwalaghai wenzenuNaipenda nchi yangu na ninafurahi kuipigania nchi yangu