PostGE2025 Mpango wa kuzima maandamano D9 hautofanikiwa, hakuna uovu mtakaoupanga ambao utakuwa ni siri tena

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwahiyo wewe Mkuu suggestion yako ni ipi? Tuache Damu za ndugu zetu ziende bure?

Anyway katiba inaruhusu maandamano na hakuna sehemu yeyote Sheria inahalalisha anaye andamana auawe, ni upumbavu na uzandaki wa viongozi wanajichukulia Sheria mkononi.
Damu za ndugu zetu haziwezi kwenda bure

Kumbuka hao ndugu zetu waliouliwa kuna mambo walikuwa wanayapigania mpaka kuwakuta madhila hayo

So hayo mambo waliyokuwa wanapigania ndo wakati wake sasa yaboreshwe ili haya mambo yasije yakajirudia tena

Kwahiyo damu zao hazitoenda bure bali zitakuwa ndo chanzo cha mabadiliko ya nchi yetu

Haina haja ya kuendelea kumwagika kwa damu nyingine
 
Taarifa hizi umepata wapi ?

Hata ukisikia serikali kujizima data wanawezaje kufanya kitu kama hicho ?

Hao watu wakufanya hivyo watatoka vipi kwenye mikononya raia au watakuwa wengi kuzidi raia ?
 
Kama ajenda kuikomboa nchi yanawezaje kuwa maandamano ya Amani ?

Mimi japo sipendi serikali na CcM ila siungi mkono mtu kujitoa muhanga kizembe mwenzako ana Gun wewe una jiwe hapo mzani haujakaa sawa.
 
Kwahiyo mmekaa na TEC,chadema na wanaharakati wenzenu mkaona propaganda hiyo ina mashiko??

Kama mnatoka tokeni,vyombo vya dola kazi yake ni kulinda amani..

Wala msiogope...dawa yenu inajulikana
 
Ukisikiliza ww na Wajinga wenzie Inatosha
 
Vijana wana hamasa kubwa sana wanasema safari hii hawatakubali kufa kizembe

Wanasema maandamano ni ya amani lakini utaposikika mlio wa risasi basi itakua ni tangazo rasmi la vita

Hizi habari nimezitoa katika vijiwe viwili vitatu hapa mjini
 
Maandamano ya amani ni haki yao kikatiba ila yale yasiyo ya amani lazima tu kuna nguvu itatumika kutuliza
Nguvu ya kutumika kuzuia maadamano hata kama sio ya amani haipaswi kuwa Kwa risasi dhidi ya Raia wa nchi yako ,, Tumia mabomu ya machozi maji ya kuwasha and the likes na sio Risasi kutumia Risasi tafsiri ni kwamba serikali iliyopo madarakani ni serikali isiyofaa
 
Sasa yale hayakuwa maandamano.

Ile ilikua riot ya nia ya kupindua serikali kwa kuchoma mali za umma na binafsi countrywide...imagine wapuuzi wale wangeachwa siku tatu mbele nchi hii ingekuwa vipi??
 
Sasa yale hayakuwa maandamano.

Ile ilikua riot ya nia ya kupindua serikali kwa kuchoma mali za umma na binafsi countrywide...imagine wapuuzi wale wangeachwa siku tatu mbele nchi hii ingekuwa vipi??
Police wananjaa sana aisee wameiba mpaka kanisani Kwa gwajima yalivyo majinga hayajui kama Kuna camera pale yameonekana yote
 
Hata ningekuwa mimi polisi hela za gwajima ningechukua.

Tapeli yule anadanganya watu kuwa anafufua wafu na kutibu vipofu kumbe hana lolote...

Zingine anatumia kufanya zinaa ya kutafunia kondoo wa bwana
Wameshaonekana lazima wanye utumbo mtakua kwanini liloitwa kanisa la ufufuo na uzima Sasa atazikwq mmoja mmoja huyo ndio gwaji boy
 
Mmeanza kutoa siri sasaa ndo mipango yenu sio
 
Police wananjaa sana aisee wameiba mpaka kanisani Kwa gwajima yalivyo majinga hayajui kama Kuna camera pale yameonekana yote
Lile siyo kanisa,kile ni kijiwe cha kutapeli watu pesa,kama polisi wamechukua wamefanya jambo jema
 
Sasa yale hayakuwa maandamano.

Ile ilikua riot ya nia ya kupindua serikali kwa kuchoma mali za umma na binafsi countrywide...imagine wapuuzi wale wangeachwa siku tatu mbele nchi hii ingekuwa vipi??
Inatakiwa ujiulize tumefikaje hapo kama Taifa , hili Taifa tangu lipate uhuru tunazaidi ya miaka 50 why ghafla tumefika hapa !??


Acha kuanza kuwalaumu watu Kwa waliyo yafanya ilhali unafahamu fika kwamba kitendo Cha matenso ovu ya serikali ndio source ya Kila kitu , Baba unapo kuwa katili Ndani ya family yako tarajia kupata uasi Toka Kwa watoto wako
 
Tumefika hapo sababu ya uchochezi wa wanaharakati uchwara,siasa za uadui za chadema na udini wa TEC
 
yatanzania yanabaki tz, izo mbwembwe dunia inaangalia amna mtu ana mda ea kuangalia wahalifu
 
sahihi kabisa maisha ya sasa ni ya kupamban iwe bunduki, jiwe au panga tusikubali kukaa kinyonge πŸ₯·πŸŠπŸ”ͺπŸ§¨πŸΉπŸ”«βš”οΈπŸ—‘οΈπŸ’£
 
Nchi zote zilizowang'oa hao mabwanyenye, mfano Madagascar, Nepal, Bangladesh na kwingineko, hawakuandamana kwa amani?

Tengeneza hoja yenye mashiko.

Tunajua mawazo kinzani hayakosi katika jamii, lakini unayeyatoa lazima uupime upepo na kuona mawazo ya umma yanatakaje, ukigangamala peke yako na vitisho tutakuona chawa aliyeota manyoya.

Kuandamana kwa amani ni takwa la kikatiba, ni haki ya raia kuandamana.

Mambo ya 'intelijensia' za hila zimepitwa na wakati na sidhani kama watarudia kulitumia hilo neno!

Trh 9/12 inchi nzima wanaandamana kudai haki zilizokanyagwa na Serikali hii, kuanzia uhalali wa uwepo wake na matendo yote iliyoyafanya kukandamiza raia wa nchi hii.
 
Hizo nchi ulizotaja hazifanani kwanza kigeografia na Tz

Pia hizo nchi asilimia kubwa jeshi lilikuwa upande wa wananchi wao

na usiseme maandamano ya Nepal yalikuwa ya amani hapana hii napinga na kila mtu ameshuhudia

Nikuulize mkuu walioandamana tarehe 29 madai yao makuu yalikuwa ni nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…