Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kibongo bongo kuna ndoa hazidumu hata wiki 2.Mzungu asisingiziwe, watu wengi wanaingia kwenye ndoa wakiwa hawajui kwanini wanaingia kwenye ndoa.
Wanapuyanga tu huko ndoani Kwa ujinga ujinga mwingi.
Mkuu mi bado sijawa na mtoto. Nahisi kama nifungue shule yangu niombe kibali cha necta kumtahini mtoto mmoja wangu na wa jilani pekeeKuna jambo ambalo linaendelea na sio wote wamepata bahati ya kuliona.
Ndoa ni baraka ya Mungu. Wazungu hawataki kabisa kukisikia kitu hiki. Walianza na ndoa za kimkataba, hawakutosheka, wakaenda kwenye ndoa za mtu na mnyama, na sasa wanakuja na ndoa za jinsia moja, na pia kuna ndoa na masanamu (sex dolls)
Siku za usoni ndoa zitapoteza maana kabisa, na huenda zikawa bidhaa adimu kabisa.
Kizazi kinachokuja ni kizazi cha uzinzi na ulawiti.
Je Mungu ataruhusu tufike huko au ndio kiyama kimeshafika?

SwadaktaMkuu mi bado sijawa na mtoto. Nahisi kama nifungue shule yangu niombe kibali cha necta kumtahini mtoto mmoja wangu na wa jilani pekee
Ndoa Mzungu hajaleta wao ni Mungu ndio ameleta ndoa .
Kingine imani Mungu kaileta Ile kuamini yupo na kumuomba yeye Kwa furaha au shida zako ulizonazo Kwa kumtolea sadaka na Kwa lolote unalotaka awepi Mungu hajaleta dini ameleta amri Kumi za Mungu , kumtolea sadaka , kumpenda yeye, kumjua yupo Ile imani ya kumjua Mungu yupo kumuamini yeye, nakumfuata ndioo maana alipozaliwa Yesu Kristo, waumini wake wakaona tuitwe wakristo wafuasi wake .
Ila sijajua kama watu wengine wadini nyingine wanajua haya yote.
Haya Sasa huwezi vurugiwa mipango Yako ya maisha . Akijaribu kuvuruga yake yeye ninani kama unataka kuoa unaoa kuolewa unaolewa ilimradi umempima afya ya akili na mengineyo
Ndoa ni maelewano GOOD DAY
Soma vizuri mkuu, sijasema mzungu anavunja ndoa. Naomba urudie kusoma content, usi comment kwa kichwa tu cha habari, ingia ndani ndio ujue uhondo wa ngomaMzungu asisingiziwe, watu wengi wanaingia kwenye ndoa wakiwa hawajui kwanini wanaingia kwenye ndoa.
Wanapuyanga tu huko ndoani Kwa ujinga ujinga mwingi.
Balaa kubwaNa wao si ndio walikuletea dini na imani zao...mkaacha za mababu zenu mkafata za kwao
Acha waue tu!![emoji1][emoji1]
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa Sana Mkuu. Na ndio maana nimerudi nyuma kabisa.Soma vizuri mkuu, sijasema mzungu anavunja ndoa. Naomba urudie kusoma content, usi comment kwa kichwa tu cha habari, ingia ndani ndio ujue uhondo wa ngoma
Mnawasingizia sana wazungu ndiyo maana kila siku tunaparanganyika sababu hatujifunzi kutokana na makosa yetu.Kuna jambo ambalo linaendelea na sio wote wamepata bahati ya kuliona.