Zamani kulikuwa na utamaduni wa kabila hili na hili, ukaja utamaduni wa taifa na sasa kuna utamaduni wa dunia unaitwa new world order.
Utake usitake utaufuata huo utamaduni.
Leo ushoga unapigiwa promo ya kufa mtu uonekane ni jambo la kawaida.
Nchi zinazofadhili bajeti yetu ya elimu zinalazimisha tuingize mambo ya ushoga kwenye mitala yetu ya kufundishia.
Wanasiasa wetu hawawezi kukataa kwani wao ni watumwa wa pesa. Ukiwapa pesa tu wapo tayari kwa lolote.
View attachment 2488755View attachment 2488756