Mpango wa wazungu ni kuua kabisa taasisi ndoa

Mzungu asisingiziwe, watu wengi wanaingia kwenye ndoa wakiwa hawajui kwanini wanaingia kwenye ndoa.

Wanapuyanga tu huko ndoani Kwa ujinga ujinga mwingi.
True bablai-sema wazungu wanapenda sana kucheza na tope na wamezidisha ujinga
 
Nini kigumu kuelewa? Mtoa mada kasema ndoa. Wewe unaongelea ngono. Ndoa ni zaidi ya ngono
Kuna shida gani nikienda beyond na kuanzia kwenye mzizi wa tatizo?
Na nimefafanua kuwa wakati wengine wanafanya kwa kujufucha wengine wanajiweka wazi. Tatizo lipo wapi?
Unataka niendelee kujubu kwenye circle ndogo wakati naweza nikafungua kupata nafasi zaidi?
 
Mzungu asisingiziwe, watu wengi wanaingia kwenye ndoa wakiwa hawajui kwanini wanaingia kwenye ndoa.

Wanapuyanga tu huko ndoani Kwa ujinga ujinga mwingi.
Aache kusingizia wazungu. Kwani sisi hatuna akili mpaka tufuate kila wanachokipenda. Mimi nafanya kazi na wazungu, na sent out staff wote wameoa na kuolewa na wana watoto.
 
Ndoa nyingi watu hawapendani, wanavumiliana tu ilimradi siku ziende
 
Ndoa ni mradi unaowasaidia wanawake na nothing else hata Ukioa hakuna faida unapata zaidi ya kuishi kitumwa na kuanza kuteseka na stress
 
Mtu anazaa bila kufuata utaratibu, anashindwa kuwapatia watoto mahitaji yote yanayohitajika kiroho na kimwili halafu mambo yameharibika; yeye anaona hahusiki kwa hayo yanayotokea anatafuta mtu mwingine, anamsingizia: ujinga!
Mtoto ni baraka ishu ya kipato ni unpredictable,leo ulikuwa nazo kesho zimepotea.
 

Aseee hatar sana isijekuwa Sodoma na Gomora
Ee Mwenyezi tuepushie mbali.
Lutu mke wa Ibra aligeuka jiwe la chumvi sasa hiii ikitokea [emoji55]
 
Kama mliingia kimahusiano kupitia tiketi ya ngono badala ya URAFIKI + UCHUMBA + NDOA unategemea nini haswa [emoji848][emoji57]

Vuna ulichopanda tu na hakuna namna [emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Wengine wamekaa uchumba hadi 5 year, lakini ndoa chali, wengine miezi na ndoa zinadumu. Hakuna formula
 
Ndoa na ngono ni vitu tofauti
 
Ndoa na ngono ni vitu tofauti
Tofauti pekee inakuja kwenye viapo. The rest are all the same.
Uwe mwanandoa au usiwe mwanandoa wote hamu zenu za kimwili zitakatwa kwa kutumia viungo vilevile. Kuwa kwenye ndoa haimaanisha kuna viungo vya ziafa vitaongezeka ambavyo walio nje ya ndoa hawawezi kuwa navyo.
 
Mihimili ya ndoa ni miwili tu

1. Mwanaume amtunze mkewe pande zote mahitaji ya kimwili na kimaisha.

2. Mwanamke amtii muwewe.


Yakifanyika tu hayo basi upendo, subira, huruma na kila kitu vitakuwemo.

Yasipofanyika hayo basi chuki, visasi, dharau kukosa amani n.k. havitakosa.
 
Kama mzungu ndiye alikufanya uache imani zako ufuate zake na mzungu huyo huyo ndiye kakuletea ndoa maana ni lazima uende kanisani kubaliki ndoa.

Hizo ndoa zao hazina hata miaka 200 toka zije barani Africa wakati utaratibu wa ndoa za mababu zetu zipo zaidi ya miaka 8000 B.C.
 
Babu yako nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…