Tetesi: Mpasuko chama cha wanasheria Tanganyika, wakana kumtuma Mwabukusi kutoa matamko

Habari za chini chini kutoka TLS, ni kwamba wajumbe wa Baraza la Uongozi la TLS wanalalamika kwamba Mwabukusi anatoa matamko kwa niaba ya taasisi bila kuwahusisha, na kwamba hatua anazofuata Mwabukusi ni udikteta wa hali ya juu.

Mwabukusi kwa siku za karibuni amekuwa anakaa na genge lake la watu watatu, ambao hawajulikani akina nani, huku nyuma yake ameweka pazia/kitenge/kanga chenye nembo ya TLS.
Acheni aina hiyo ya porojo kuupindisha ukweli.Kwa manufaa ya upande wako.
 
Kuna tetesi kuwa umelipwa Ili kumpambania mgombea Fulani Jimbo la Ilemela.

Umri wako na uchawa hata haviendani.

Kwakuwa ni tetesi, wacha ibaki kuwa tetesi.
 
Habari za chini chini kutoka TLS, ni kwamba wajumbe wa Baraza la Uongozi la TLS wanalalamika kwamba Mwabukusi anatoa matamko kwa niaba ya taasisi bila kuwahusisha, na kwamba hatua anazofuata Mwabukusi ni udikteta wa hali ya juu.

Mwabukusi kwa siku za karibuni amekuwa anakaa na genge lake la watu watatu, ambao hawajulikani akina nani, huku nyuma yake ameweka pazia/kitenge/kanga chenye nembo ya TLS.
yaani wewe bado kichwani kwako imekujaa akili ya dhuluma ndicho walichokizoea watawala
 
Taarifa za Chiembe ni za mchongo.

Mwabukusi hawezi kuitisha kikao cha TLS kwa ajili ya kila tukio ambalo TLS inatakiwa kulitolea tamko, ndio maana anaitwa Raisi wa TLS na hilo linampa mamlaka fulani ya kufanya mambo ya TLS ambayo ni routine ambayo hayaendi kinyume na Katiba ya TLS. Hajatoa tamko kubadilisha Katiba ya TLS.

Ni sawa na Raisi Samia, kuna mambo ambayo kama Raisi hawezi kuyatolea executive order, ni ya kikatiba, japo kuna wakati anakosea anaputa tu hata kama anavunja Katiba.

Kwa hiyo kabla hujamsema Mwabukusi, kamshauri Raisi Samia kwamba kuna mambo ya Kikatiba hapaswi kuyatolea maamuzi kama raisi katika utendaji wa kila siku
 
Habari za chini chini kutoka TLS, ni kwamba wajumbe wa Baraza la Uongozi la TLS wanalalamika kwamba Mwabukusi anatoa matamko kwa niaba ya taasisi bila kuwahusisha, na kwamba hatua anazofuata Mwabukusi ni udikteta wa hali ya juu.

Mwabukusi kwa siku za karibuni amekuwa anakaa na genge lake la watu watatu, ambao hawajulikani akina nani, huku nyuma yake ameweka pazia/kitenge/kanga chenye nembo ya TLS.
ni suala la muda tu atakua kama marais wa TLS waliowahi kuvurunda sana hapo kabla :pulpTRAVOLTA:
 
Dua na Sala zangu zimuendee Mwabukusi Mungu amlinde na Mafisadi yanayoitafuna Nchi ya Tanganyika.
 
Huyo mwamba hawezi dumu, hicho ni chama cha ma-professional siyo chama wanaharakati
Kama Magufuli asingekuwa rais, aliyokuwa anayafanya angeambiwa ni mwanaharakati. Kwenye nchi hii ukikemea dhuluma zinazofanywa na serekali waziwazi, utaitwa mwanaharakati, na sio professional. Yaani kipimo cha professional ni kufanya mambo kwa woga.
 
Chawa mwingine wakujitolea hayupo kwenye payroll ila kasahau kuweka namba za simu tu
 
Habari za chini chini kutoka TLS, ni kwamba wajumbe wa Baraza la Uongozi la TLS wanalalamika kwamba Mwabukusi anatoa matamko kwa niaba ya taasisi bila kuwahusisha, na kwamba hatua anazofuata Mwabukusi ni udikteta wa hali ya juu.

Mwabukusi kwa siku za karibuni amekuwa anakaa na genge lake la watu watatu, ambao hawajulikani akina nani, huku nyuma yake ameweka pazia/kitenge/kanga chenye nembo ya TLS.
Ndugu story za kutunga hazina soko sikuhizi. Uwezo wenu wa kuspin umepungua mno
 
Habari za chini chini kutoka TLS, ni kwamba wajumbe wa Baraza la Uongozi la TLS wanalalamika kwamba Mwabukusi anatoa matamko kwa niaba ya taasisi bila kuwahusisha, na kwamba hatua anazofuata Mwabukusi ni udikteta wa hali ya juu.

Mwabukusi kwa siku za karibuni amekuwa anakaa na genge lake la watu watatu, ambao hawajulikani akina nani, huku nyuma yake ameweka pazia/kitenge/kanga chenye nembo ya TLS.
Matamko Yana ubaya Gani??

Kwa Nini ccm mapenda mambo maovu??

Ni lini itatokea mkawa upande wa haki
 
Kijana utapasuka wewe na walio kutuma TLS itabaki pale pale! Sindano za Mwabukusi zinawatesa sana nyie watesi.
 
Back
Top Bottom