Mpasuko mkubwa kwenye Baraza la Mawaziri kisa kuuzwa kwa Bandari

Alafu kwenye huo mpasukoo,,,na wao wakipasuana itakua poa mnoo ili kila mmoja wenu huko kwenye Tanganyika na Zanzibar zenu akale aliko peleka mboga!!
 
Yaani anasema anarudisha haki na wakati na yeye alikuwa kwenye uongozi huohuo mnaosema wa dhulma
Mwanzoni tulikuwa hatujamwelea sasa HATUDANGANYIKI

Tatizo wao wanaamini watanganyika wanadanganyika kirahisi tuwaonyesha walidhani wanatujua vizuri kumbe hawatujui
 
Mwanzoni tulikuwa hatujamwelea sasa HATUDANGANYIKI

Tatizo wao wanaamini watanganyika wanadanganyika kirahisi tuwaonyesha walidhani wanatujua vizuri kumbe hawatujui

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo Mkuu ulipata kabisa matumaini?
Ukafungua na uzi kabisa


Nje ya mada;
Naomba unifundishe kiingereza Mkuu.
 
Wengi hawajui lolote ufanyalo halitakosa faida lakini Lima hasara pia.

Mfano kuna faida ya kuuza moyo wa mwanadamu kwa sababu atapata mijihela lakini hasara atakufa hata hayo matrilioni hayana faida kwake.

Vivyo hivyo, wanasahau bandari ni moyo wa watanganyika ukiuuza watanganyika watapata dhiki hata kuingia kwenye machafuko ya kuudai uhuru wao uliouzwa kwa wageni
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo Mkuu ulipata kabisa matumaini?
Ukafungua na uzi kabisa


Nje ya mada;
Naomba unifundishe kiingereza Mkuu.
Lugha ni kusoma kila siku namna wengine wanavyoandika hasa vitabu na magazeti ya nje halafu na wewe uanze pia kuandika baada ya muda unakuwa gwiji.


Usipende elimu ya kufunzwa mswano ni ya wewe kujituma mwenyewe.


Sikumwamini 100% ila niliona anapaswa kupewa matumaini nionavyo ni ule usemi usemao ukimsifia mgema tembo hulitia maji
 
Sasa mimi nataka tuchat wote kiingereza tu


Hebu tuachane kwanza na Mama,hii nchi ngumu sana,[emoji23]
 
sintofahamu ndani ya Baraza la Mawaziri.
Wanafikiria Uchaguzi mkuu wa 2025 pekee
uamuzi wa kuuza nchi haukuwa wa baraza la mawaziri
This matter was written in Ink and Signed, alas in the Preamble of the Treaty.
Hakuna jitihada zozote zile zilizofanywa na serikali kuambatanisha muhtasari wa Baraza la Mawaziri
Na aliyeiona atokee hapa. Hakika, ni baada ya vipingamizi vya Wananchi, ndio tumeona Chombo kikuu cha Chama kwenda kuridhia hili. huo nao ni Ushahidi au Kiashiria kwamba hata baadhi ya Wana CCM walifichwa.
msukumo wa kuuza bandari zetu haukutoka kwa Mamlaka ya bandari zetu
Tunaweza kukubali hili, kwani, katika Mkataba wa WB na Shirika la Maendeleo la Uingereza, kuhusu[DPMG]ndani, kuna vipengele mahususi kuhusiana na Kuwezeshwa na Kushirikishwa kwa TPA katika maamuzi yao.
Kuna viashiria uamuzi wa kuuza bandari zetu
Bandari, kulingana na taarifa zilizopo, ni DP W imepewa.
Ni dhahiri hata Wazanzibara hawaafiki na hili.
Nani anaye taka kuuzwa? Walishauzwa wakati wa Sultani, watataka hivyo tena, na ndugu yao?
hakuna Mzanzibara hata mmoja ambaye aliandamana na genge la makada wa CCM
 
Mwarabu ana teknolojia ambayo sisi hatuna. Kumbuka bandari sita za China zimemkodisha.

Siasa nyingi za kijinga ndio sifa ya utanzania wa leo hii, hakuna mantiki zaidi ya kudharau ambacho mtu hana uelewa nacho.
Utetezi maandazi huu. Mkataba wa China umeuona?
 
Kaweza vipi kumiliki bandari 50 duniani pote kama anategemea mikopo?.

Tunachojali ni ufanisi wake. Uingereza ana bandari mbili kakodishwa, waingereza waliomkodisha ni mangumbalu kama sisi huku?.

China anaendesha bandari sita, na huko nako kachukuwa mikopo ya uendeshaji?.

Wabongo katika ubora wa kujua kila kitu!.
 
Njia rahisi ni kubeza kifungu kwa kifungu siyo kupindua mada na kuwa ya mleta mada wa kuhojiwa.

Labda turudi kwenye misingi ya uchambuzi hatuwezi kwenda kienyeji enyeji tu
Kifungu kwa kifungu kimeshafafanuliwa kwa kina mbele ya wahariri. Naona kama tunapoteza muda kwenye maongezi badala ya kufikiria hizi fursa tunazoweza kuzipoteza kipumbavu tu.
 
Hapo nimempeleka yeye shule apanuwe ubongo wake, Mimi source yangu siyo Quora, nipo ndani ya Aviation society.
Kumbe. Mimi nimesomea Aviation pia, na naweza kusema hakuna kipaumbele chochote wakati wa ujenzi wa airport kwamba iwe pembezoni wa fukwe. Huwa inatokea tu airports nyingine kwa sababu mbalimbali zipo pembezoni wa fukwe,, lakin kiukweli hakuna miongozo ya kiusalama ya mamlaka za anga kwamba airports ni muhimu zijengwe karibu na fukwe za maziwa au za bahari.
 
Kimombo putin pia hajui kwa hiyo watakorogana tu hakuna shida. Kitu kimoja nakubaliana na wewe ni kwamba Katelephone sio mtu wa kutoa hoja mpaka huwa nashangaa kwenye vikao vikubwa kama hivyo unamtuma akaongee nini zaidi ya kusoma hotuba iliyoandikwa, huwa najiuliza hata akikutana na wageni wa kimataifa huwa wanaongea nini zaidi ya kutaja jina la rais yule anafaa kubaki ndani kukagua miradi na kusoma nyaraka hilo analiweza ila sio kuwakilisha nchi kwenye vikao
 
Nilikuwa napinga lkn nilivyieleweshwa kuhusu uchumi wa bandari na yanayoendelea ya wenye mamlaka ya mizigo kuamua bandari ipi mzigo upite na kama unaenda wapi uchelewe naunga mkono uwejezaji kwa maslah ya Taifa.
 
Mwacheni muwekezaji (DP WORLD )afanye kazi tuache porojo.

Hapa kuna vita ya kimaslahi inayojificha kwenye uzalendo.


Mama piga kazi.
 
Umesoma na kuelewa alicho andika?

Unajua maana ya neno "viashiria"?

Mtu akisema "kuna viashiria", maana yake kwako ni "kujua kinachoendelea"?
Nimesoma

But I expected this from you
 
Sasa mimi nataka tuchat wote kiingereza tu


Hebu tuachane kwanza na Mama,hii nchi ngumu sana,[emoji23]
Nitafute DM [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji16] [emoji1787] [emoji23] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji16] [emoji1787]
 
Well spoken sina la kuongezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…