Mpasuko mkubwa kwenye Baraza la Mawaziri kisa kuuzwa kwa Bandari


Yako mambo 5 hivi nitaongelea 4 tu mengine naachana nayo yasije kuibua mihemko ya kidini.

Moja, ni haki yake kuunga mkono uwekezaji wa bandari lakini kwa vile anasema anahimiza utawala wa kisheria ni vyema akawaheahimu wale walioenda mahakamani kutafuta haki yao. Huo ndiyo utawala wa kisheria.

Pili, tutaendelea kuwakemea waarabu katika jitihada zao za kututawala kiuchumi na kisiasa kama tulivyomkemea mkoloni. Kumbuka tulisema "KABANGA KAMPIGA MKOLONI"

Tatu, huyu msomi alibuka wakati wa JK na hoja ya mahakama za kadhi kufadhiliwa na serikali alifanikiwa nusu nusu. Sikumsikia wakati wa JPM sasa kaibuka wakati wa SSH. Kuna nini nyuma ya pazia?

Nne, ushungi siyo miliki ya dini moja hata watawa wa kikatoliiki ni sehemu ya sare zao.

Tano, hili silisemi kwa sababu litaamsha hisia kinzani naachana nalo,.


Sita, mihimili siyo miwili tu inayopaswa kuheshimiwa bali yote 3 kama inahesshimu sheria. Mihimili yote hii uhalali wake unatoka kwa wananchi
 



Prof. Shivji kasema inabinafsishwa. Sasa kama haiuzwi au kubinafsishwa hii bandari imekuwaje? Kama imekodishwa kwa bei ipi ya pango? Kama ni ubia sisi hisa zetu ni kiasi gani? Au na watawala wako gizani hawajui nini kinaendelea?
 
Tanzania kumbe tuna majasusi wazito hivi au ni wambeya tu?
 
Tumia hii simu yako kujua Mhe. Makamu wa Rais alikiwa na tukio gani Julai 25, wakati Mhe. Rais na Amiri Jeshi Mkuu alipokuwa Siku ya Mashujaa. #Wacha kueneza uongo na kufikiri unawachonganisha viongozi.🙏🙏🙏
 
 
mawaziri na wanaccm vijana nawashauri, kama mnataka kulinda future yenu ya siasa, jiepusheni na mkataba huu, kaeni pembeni, msijilinganishe na hao wazee ambao hawana hata miaka 10 ya kuishi, Mungu atawachukua. wao siasa ndio imefika ukingoni mwa maisha yao, sio kama ninyi.
 
Mleta mada anazungumzia individuals, ambao hawaoneshi ushirikiano juu ya ule uamuzi wa hovyo kimya kimya, ajabu wewe unazungumzia maamuzi ya pamoja, ndio maana nakwambia hujamwelewa hata mleta mada, ulikurupuka tu na kuita kile alichoandika rubbish.
Butiku pia alisema Kuna watu anawafaham wako huko huko serikalin hawaungi mkono swala hili la BANDARI ..ila hawasemi chochote
 
Hapo ndio akili zetu zinapoishia. Kurudi kwenye historia wakati dunia inakwenda mbele.

Niger inazalisha Uranium inayotumiwa na Ufaransa miaka na miaka lakini ndio nchi ya pili kwa umaskini duniani, wenye nchi yao wameshtuka na kumuondoa dalali wa Ufaransa aliyekuwa akiwatia umaskini raia wa Niger na wamemgeukia Putin.

Historia ukiiendekeza sana na kujizungushia utando wa ujinga kichwani unazeeka na umaskini wako. Pevuka mkuu SYLLOGISTI dunia imeshatoka kwenye mawazo ya kitumwa na kibaguzi.
 
Sasa unapoambiwa hatutaki Waarabu uwe umeelewa jinsi ulivyoelewa Wananchi wa Niger wasivyotaka. Hatutaki Dalali ww Wazungu pale Bandarini, hapana, sio kwa mkataba huu.

Kumbe huwa unajielewa na kuelewa mambo, ila kwa hili la Bandari unajiondoa ufahamu huku ukiwa umejivika pamba masikioni.
 
Mpuuzi wewe hujui unaongea kitu gani. Anayekuja ni mwekezaji wa kiarabu sio dalali wa mtu yoyote.

Kuza uelewa wako kabla hujajibizana katika masuala usiyo na uelewa nayo. DPW ana miliki meli 400 duniani, amewekeza katika bandari karibu 50 duniani, yupo Uingereza na Marekani pia.

Wewe kajamba nani huna unachompunguzia kwa kumnyima nafasi ya kuwekeza na kumbuka ni mazingira ya kibiashara yanayowafanya viongozi wa nchi kwa kushirikiana na wale wa vyama vya wafanya biashara kumtafuta yeye.
 
Mpuuzi wewe hujui unaongea kitu gani.
Una matatizo ya kisaikilojia, sio bure wewe,weye unachojua ni nini zaidi ya kubinjuka humu na porojo rojo tele
Anayekuja ni mwekezaji wa kiarabu sio dalali wa mtu yoyote.
Huyo mwekezaji wa Kiarabu ni Dalali tu wa wenye hela zao Duniani. Ametumiwa kwa sababu ya ukaribu wake na mjomba tu hana lelote lile zaidi ya ubeberu kichwani mwake. Wamefilisika hao waarabu sasa, na wanatafuta pakutokea pindi 2035-2050 ikifika mafuta yao yaanze yadorore ardhini.
Kuza uelewa wako kabla hujajibizana katika masuala usiyo na uelewa nayo
Kwamba wewe ndio mwenye uelewa? Tulia basi unipite mbali kama unaona ninayoyaandika hapa hayana lolote, koma kabisa kujibizana nami. Nani aliyeanza kujibizana na mwenzie hapa. Kelele, shhhh nyamaza
. DPW ana miliki meli 400 duniani, amewekeza katika bandari karibu 50 duniani, yupo Uingereza na Marekani pia.
So what akiwepo Uingereza au Marekani? So what akimiliki meli? Mtu dhalimu ni dhalimu tu, mtu mnyanyasqji ni mnyanyasaji tu hata mkija na majina na matamshi ya 'oh' ni 'Mwekezaji', ni Dhalimu tu.

Huyu DP world kwa makadirio ya uwekezaji wa 2022-2023 yalikuwa chini ya $400million tena hayo kwa Nchi zote na miradi yote halafu mnakuja kudanganya humu ati anakuja kuwekeza Dola Millioni $500 Tanzania! Kwa mgongo wa walipa kodi Watanzania tena baada ya Nchi kuwekeza na kufanya maboresho Bandarini hapo, Wewe Kafir haram kabisa,
Wewe kajamba nani huna unachompunguzia kwa kumnyima nafasi ya kuwekeza na kumbuka ni mazingira ya kibiashara yanayowafanya viongozi wa nchi kwa kushirikiana na wale wa vyama vya wafanya biashara kumtafuta yeye.
Muongo wewe, ni rushwa na Uchaguzi wa 2025 ndio uliopeleka hao viongozi wako kutoa sadaka na kuwagawia hao Waarabu Bandari.

Mkataba ni mbovuu, Period. Wewe huna akili kabisa. Yaani yale mavipengele yote yale yakutaka asujudiwe unasema hakuna tunacho mwongezea? Mbona asiende zake huko Marekani na Uingereza aongezewe? Nyie maharamia mna matatizo sana. Hii ni Afrika Mpya. Hatudanganywi na ngozi ya kondoo anayojivika.
 
Kwa hili ndani ya mwezi huu usishangae rais kuutangazia umma kusitishwa kwa mkataba na kuwaomba kina Lissu kuujenga upya
 
Reactions: Ame
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…