TANZIA Mpelelezi Mkuu wa PCCB ndugu John Minyenya afariki dunia

Kwahio unataka kusemaje kuhusu Barakoa??
 
Duuuh hatariani, asee sasa huku chini kwa makapuku sie ndio kupoje? Sababu wakuu kule juu haipiti siku bila kukutana na katanzia,na hatujua nini chanzo.
 
Kwa ushahidi upi? Hakuna ayefurahia mwanadamu kufa. Ni hali ambayo CCM wameianzisha ya kutaka kuwaua wapinzani tanzania. Ya Lisu yanafurahisha? Akifa aliyetaka kumuua Lisu nitakunywa bia 1,000,000.. Vinginevyo mbona haya hayakuwepo wakati wa Kikwete?
 
Hii ngoma ishakuwa nzito sasa na mzee baba hapangiwi na mjengini ddm ndio hivyo tena hawapangiwi.

Tusubiri kikubwa wote tupo ndani ya meli moja wasifikiri tutaenda wenyewe tutasindikizana tu maana hii ni corona na sio kipindupindu inayo nyanyasa walala hoi peke yao.
 
Marehemu enzi ya uhai wake! AkiWeekend-nyungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…