Mpendwa Rais Magufuli, Dodoma haina maji. Hali ni mbaya!

Hamieni Chato
 
Na miaka yote Dodoma ni ngome ya CCM,sasa inakuwaje wakati Rais anasema wapinzani ndiyo wametuchelewesha kupata maendeleo? Mitano tena
 
Hivi kwanini mang'ombe yanakimbiliaga kulaumu watu wa mzee! Eti utasikia wanamdanganya sijui nini!!. Nina zenu nyie!!
 
Sio Ilazo tu.Kikuyu pia. Maji yanatoka mara 1 ktk week nayo "churururu....", kama mkojo wa panya(Sorry).Wakati mvua ikinyesha tulikuwa tukikinga maji ya mvua...,Sasa hivi mvua nayo imesimama....,HALI NI MBAYA MNOOO
Bila shaka unaishi ilazo wewe.
 
Chimbeni visima vyenu mpeane maji,kila kitu mkimsubiri Magufuli mtachelewa sana,muoneni huruma Baba wa Watu ana kazi nyingi sana za Nchi!!
 
Kuna watu wana hasira wanamalizia hapa. Nilishawahi kusikia Rais anasema kwa msisitizo makao makuu Dodoma na hata akija kuondoka itabaki kuwa makao makuu hakuna namna. Nadhani tukubali hali halisi tu hakuna namna.
 
Kesho kutwa atakuwa anazindua ule mradi mkubwa wa maji ya ziwa Victoria pale Tabora mjini.

Haya maji yakifika Dom itakuwa kitu kikubwa sana.

Shida ya nchi hii ni viongozi kujifanya hawajua vipaumbele vya watu wao.

Ni trillion moja tu inabadili historia yote ya shida ya maji Dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…