Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

ACHE UJINGA WA KUNUKUU VIBAYA MAANDIKO MATAKATIFU WAKATOLIKI WAKO SAHIHI KABISA soma maandiko matakatifu vizuri soma ISAYA,NEEHEMIA NA ISAYA ,SOMA WAFALME vitabu hivi vinawakemea watawala wapumbafu wanaouza na kutumia vibaya rasmali za nchi na kuwaonya soma uelewe
 
Kachambe na maji
 
Pascal wew umezeeka vibaya. Msimamo wa kanisa katoliki kwenye dhuluma halijaanza leo. Soma MUTAGUSO wa Cannon Law wa 26, 29, 32 ibgiwa webside ya Roma upate elimu.

Uliwinda uteuzi kwa Magufuli ukatoka kapa, leo unamuwinda Mama, wew ni fungu la kukosa na uzee huo. Subili ufe vyema acha Glorification ya kijinga
 
Alipokuwa akifanya askofu Tutu tulimuona shujaa wa kutetea watu, leo eti tunadhani hawa wrtu wanachanganya dini na siasa, ninamuomba mbunge wa Kawe anisaidie kupambanua.
 
Unajitahidi ili hukumbukwi umri unaenda mwogope hata Mungu ukapate cheo kizuti huko ahera.
 
P embu wakati mwingine muogope Mungu alie kuumba. Mungu haja acha kuzungumza na watumishi wake. Daud alimuuwa Uria. Kile alifanya ktk macho yakiserikali kilikuwa sawa. Ila ktk macho ya Mungu kilikuwa kibaya sana. Mungu huyu huyu akamtuma Samweli kumwambia Daud mfalme amekosea na atamwadhibu. Leo kama viongozi wa dini wana waambia viongozi hili hapana tuna sema wanachanganya dini na siasa well ila wakati utajibubu unabii wao. Hata Hayati Baba wa Taifa aliwahi pata maonyo toka kwa viongozi wa dini je huyu kiongozi wa sasa ni nani asiambiwe? Labda Mungu
 
Bull💩💩💩💩💩
 
Mahakama si imetupilia mbali utoto wa mwabukusi..kuonesha wasiwasi ndiyo nini!?
Mahakama zipi? Hizi za kupigiwa simu na kubadilisha maamuzi Kama alivyosema Rostam?. Kihaki mahakama ilionesha mkataba una shida ila kwa kuogopa aliowateua wakatupilia mbali hoja. Ngoja tuone mahakama ya rufaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…