Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

Exactly 💯 ni according to me.

Ila ndio ukweli huo.
According to you halafu ndio ukweli?. Yani wewe ndio unaamua ukweli ni ipi. Waarabu wameanza kuwekeza Leo Tanzania?. Tatizo mnataka muibe bandari Kama mlivyoiba gesi ya mtwara na mwisho mkarudi kwa wananchi kuwatoza tozo, eti serikali haina fedha.
 
1. Unajivunjia heshima, sidhani kama hiyo itakusaidia uteuzi. Jaribu !

2. Nani aliwachagua the so called wabunge?
3. Tena unatukana unawaita TEC the hell! Unadhani ukiutukana ukatoliki kumpendezesha Muislamu atakuona? jaribu!
Kwani hao maaskofu wamechaguliwa na nani? Mimi pia ni mwananchi na naunga mkono msimamo wa serikali. Sasa hao maaskofu sauti Yao ni ya wananchi wapi?! Au wananchi wa nchi hii ni wakatoliki peke Yao.?!
 
Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.

Kama Mama Samia ndiye Mkuu wa nchi, ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, CCM ndio chama cha Watanzania, wameikubali DPW, mhimili wa Mahakama umeikubali DPW, who the hell is TEC ikatae DPW?

Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.

Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.

Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.

Paskali
Wewe ndo umechanganya, kanisa halijafanya siasa bali linatetea waumini wake. Kama watawala wamewekwa na Mungu, je Mungu hawezi tumia watumishi wake kuwakumbusha watawala pale wanapofanya mambo yasiyo?
 
Hao maaskofu wapumbavu tu kama wapumbavu wengine
Baraza la maaskovu haliruhisiwi kutoa kauli (matako) ya kukemea au kuipinga uonevu,unyonyaji na ukandamizaji? Kanisa pia lina kazi ya kutetea haki za wananchi kwa kupaaza sauti linapoona haki zao zinakanyagwa na serikali.
 
Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.

Kama Mama Samia ndiye Mkuu wa nchi, ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, CCM ndio chama cha Watanzania, wameikubali DPW, mhimili wa Mahakama umeikubali DPW, who the hell is TEC ikatae DPW?

Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.

Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.

Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.

Paskali
Magufuli hawezi kufanya mambo ya kishenzi hivyo ukiachia mbali swala la mambo ya mikutano ya hadhara ,jpm hakwa na Roho ya tamaa za mali kama huyu mama ,mwenye akili kisoda
 
Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.

Kama Mama Samia ndiye Mkuu wa nchi, ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, CCM ndio chama cha Watanzania, wameikubali DPW, mhimili wa Mahakama umeikubali DPW, who the hell is TEC ikatae DPW?

Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.

Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.

Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.

Paskali
Hahaha Paskali bwana!!!! Ningezijibu hoja hizi lakini ngoja Kwanza nisubiri
 
Kila nikisoma hili bandiko, najiuliza, ni wewe au baada ya kula Mpunga??.

Magufuli angetuletea Mkataba wa kijinga namna hii??

Mkataba ambao umepingwa Kila Kona ??.

Kwamba Kwa sababu ya Mkataba, watu wamekamatwa Kwa makosa ya Uhaini, na wameachiwa Kwa dhamana, eehh siku hizi uhaini una dhamana??.

Kufanya kosa Mara ngapi, hakutoi Uhalali wa kuendelea kukaa kimya panapotokea uhozoo !!.

TE.C hasakuanza Leo, walisimama Kwa Mkapa Mkatoliki , dhidi ya NBC !!.
 
Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.

Kama Mama Samia ndiye Mkuu wa nchi, ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, CCM ndio chama cha Watanzania, wameikubali DPW, mhimili wa Mahakama umeikubali DPW, who the hell is TEC ikatae DPW?

Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.

Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.

Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.

Paskali
We jamaa sijui akili zako zinaendaga wapi wakati mwingine!

Kwa hiyo unataka kuainisha watu kwamba kanisa la Roma au baraza la maaskofu halikuwahi kumpinga Hayati JPM?

Umesahau hata katika suala la kupambana na UVIKO 19, Kanisa lilikosoa sana namna ambavyo serikali ya JPM ilikuwa inali-handle?!

Sikuwepo wakati wa vijiji vya Ujamaa,lakini sina uhakika kama kanisa likubaliana kwa asilimia 100 na Hayati Mwl. JKN.

Kuhusiana na hili suala la Mkataba wenye masharti ya hovyo, hata mtoto wa chekechea asingeliweza kukubaliana nayo.

Hivyo, binafsi kwa hili, pamoja na kwamba mimi siyo Mkatoliki, lakini naungana na kanisa kwa asilimia zote, maana limeamua kutusemea sisi wengine ambao kwa sasa wasemaji wetu wako mahabusu wananyea kwenye ndoo!!

Ahsanteni sana Baraza la Maaskofu TEC, tuko pamoja nanyi..
 
Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.

Kama Mama Samia ndiye Mkuu wa nchi, ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, CCM ndio chama cha Watanzania, wameikubali DPW, mhimili wa Mahakama umeikubali DPW, who the hell is TEC ikatae DPW?

Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.

Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.

Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.

Paskali
Hivi huyu jamaa ana uwezo wa kuchambua mambo kama anavyo jinadii, au kazi kujipendekeza kwa watawala tu?
Kwa kujipendekeza kwake amuimiza sana watu binafsi na jamii kwa ujumla! Kumbuka akina nani yule mwandishi alivyo mletea matatizo makubwa hadi mama yake akafa kwa msingi wa mawazo!
Watu kama hawa wanazidi kuongezeka katika jamii yetu!
Nadhani sasa ni muhimu kutafuta dawa wao, watu wanajitoa akili kama wachawi, wanaanza kufanya mbo ya ovyo kwa faida zao binafsi!
Hivi huyu ni kweli hajui wajibu wa viongozi wa dini kwa jamii yao? Au analopoka tu ili apate maslahi yake?
 
Back
Top Bottom