Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Exactly 💯 ni according to me.According to you. Shida mnataka kila mtu awe chawa Kama nyie. Kwani mwarabu kaja Leo?. Mbona mturuki kapewa SGR, Kuna mtu kalalamika.
Ila ndio ukweli huo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly 💯 ni according to me.According to you. Shida mnataka kila mtu awe chawa Kama nyie. Kwani mwarabu kaja Leo?. Mbona mturuki kapewa SGR, Kuna mtu kalalamika.
Wewe kweli boya na kichwa panzi, nimekuambia mahakama zilionesha wasiwasi kwenye hukumu lakini kwasababu wamepigiwa simu Kama Rostam alivyosema, wakabadilisha maamuzi.Sasa kwa nini mwanzo ulisema 'hata mahakama zilionesha wasiwasi'!?..we una mbege tu kichwani
Lete ushahidi wa kupigiwa simu,Kama siyo uchakubimbi na tabia za kishangingi Kama shangazi zako!Wewe kweli boya na kichwa panzi, nimekuambia mahakama zilionesha wasiwasi kwenye hukumu lakini kwasababu wamepigiwa simu Kama Rostam alivyosema, wakabadilisha maamuzi.
According to you halafu ndio ukweli?. Yani wewe ndio unaamua ukweli ni ipi. Waarabu wameanza kuwekeza Leo Tanzania?. Tatizo mnataka muibe bandari Kama mlivyoiba gesi ya mtwara na mwisho mkarudi kwa wananchi kuwatoza tozo, eti serikali haina fedha.Exactly 💯 ni according to me.
Ila ndio ukweli huo.
Kwani hao maaskofu wamechaguliwa na nani? Mimi pia ni mwananchi na naunga mkono msimamo wa serikali. Sasa hao maaskofu sauti Yao ni ya wananchi wapi?! Au wananchi wa nchi hii ni wakatoliki peke Yao.?!1. Unajivunjia heshima, sidhani kama hiyo itakusaidia uteuzi. Jaribu !
2. Nani aliwachagua the so called wabunge?
3. Tena unatukana unawaita TEC the hell! Unadhani ukiutukana ukatoliki kumpendezesha Muislamu atakuona? jaribu!
Wewe ndo umechanganya, kanisa halijafanya siasa bali linatetea waumini wake. Kama watawala wamewekwa na Mungu, je Mungu hawezi tumia watumishi wake kuwakumbusha watawala pale wanapofanya mambo yasiyo?Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Kama Mama Samia ndiye Mkuu wa nchi, ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, CCM ndio chama cha Watanzania, wameikubali DPW, mhimili wa Mahakama umeikubali DPW, who the hell is TEC ikatae DPW?
Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.
Paskali
Ushahidi nikupe wewe wa kazi gani?. Ushahidi anapewa mtu wa maana sio wewe. Huna hadhi ya kupewa ushahidi. Ni sawa na kumpa nguruwe mkufu wa dhahabuLete ushahidi wa kupigiwa simu,Kama siyo uchakubimbi na tabia za kishangingi Kama shangazi zako!
Baraza la maaskovu haliruhisiwi kutoa kauli (matako) ya kukemea au kuipinga uonevu,unyonyaji na ukandamizaji? Kanisa pia lina kazi ya kutetea haki za wananchi kwa kupaaza sauti linapoona haki zao zinakanyagwa na serikali.
Acha umbea na tabia za kishangingi,'walipigiwa simu'..ulisikia!?Ushahidi nikupe wewe wa kazi gani?. Ushahidi anapewa mtu wa maana sio wewe. Huna hadhi ya kupewa ushahidi. Ni sawa na kumpa nguruwe mkufu wa dhahabu
Magufuli hawezi kufanya mambo ya kishenzi hivyo ukiachia mbali swala la mambo ya mikutano ya hadhara ,jpm hakwa na Roho ya tamaa za mali kama huyu mama ,mwenye akili kisodaWanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Kama Mama Samia ndiye Mkuu wa nchi, ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, CCM ndio chama cha Watanzania, wameikubali DPW, mhimili wa Mahakama umeikubali DPW, who the hell is TEC ikatae DPW?
Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.
Paskali
Hahaha Paskali bwana!!!! Ningezijibu hoja hizi lakini ngoja Kwanza nisubiriWanabodi,

Kila nikisoma hili bandiko, najiuliza, ni wewe au baada ya kula Mpunga??.Wanabodi,

We jamaa sijui akili zako zinaendaga wapi wakati mwingine!Wanabodi,

Hivi huyu jamaa ana uwezo wa kuchambua mambo kama anavyo jinadii, au kazi kujipendekeza kwa watawala tu?Wanabodi,