Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

Nna wasiwasi huyu siyo Paskal Mayalla

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Nakubalina na wewe 100% katika hili
 
Mayalla kwetu wasukuma maana yake 'njaa'

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
 
Peleka ujinga huko, mbona Magu aliwachangia cash!
 
kaka Pascal- Ki umri, wewe ni mkubwa kulijo wengi humu ndani, ki uzoefu pia, kimaono na katika, mambo mengi sana tu... Tafadhari, wakati Mwingine unachukiza sana watanzania, chuja maneno yako ili watu wasikusemee mambo moyoni mwao. Issue ya Bandari ni management tu na sio ubinafsishaji. Period. kama tumeshindwa kuongoza, tutafute management kama Bank of england walivyomtafuta Mark Carney au hao UAE walio na management zilizojaa wazungu kibao huko kwenye management za Emirates air, Qatar, Etihad, Bandari zao , posta zao na mambo kedekede.. ni hayo tu kaKa, mimi NI potI mwenzako, but acha kutukwaza na mambo yako ya kusaport hizi mambo ya mikataba magumashi za waarabu for petrol dollar. Ni hayo tu kaka
 
Mbona mtazamo wako huu kama ni kushitakiwa kwa uchochezi,na zile kesi za akina Mdude,Mwambukusi n.k mbona unastahili au upo upande wa kuwahujumu wa Tanzania kwa itikadi zao🤔
 
Umesoma vizuri Tamko brother? Kwani Maaskofu hawana haki ya kulinda Rasilimali za Taifa hili.

Tunasubiri na Bakwata nao waunge mkono.

Bikira Maria ndiyo mlinzi wa Taifa letu.

Kanisa Moja Takatifu la mitume
Maaskofu wameanza na walichofanya ni uchochezi wa kidini, lakini Bakwata wakirepsond wataambiwa wao ndo wadini!

Mi nadhani kama mbwai mbwai tu sasa coz inaonekana ndugu zetu hawa hawaridhiki isipokuwa wao ndo wawe waamuzi wa kila kitu. Mashekhe wakiongelea siasa misikitini mnawapiga vita na mpaka kuwaita magaidi, na wengine mpaka wanafungwa kisa wamechanganya siasa na dini.

Enough is enough, Bakwata toeni tamko bila kupindapinda.
 
TEC wameona mbali na kuna vifungu kwenye mkataba vitakuja kugusa eneo lao Kurasini endapo Muwekezaji akianza kazi karuhusiwa kujitanua kwenye Export Promotion Zone ukanda wote ule wa Kurasini utachukuliwa
 
TEC wameona mbali na kuna vifungu kwenye mkataba vitakuja kugusa eneo lao Kurasini endapo Muwekezaji akianza kazi karuhusiwa kujitanua kwenye Export Promotion Zone ukanda wote ule wa Kurasini utachukuliwa
Hiyo ya kugusa eneo lao ni hoja dhaifu.kiukweli mkataba ni wa kijinga na walioukubali huo mkataba ni wajinga na vichaa
 
 
Wewe ndio unachanganya dini na siasa... Kwa hiyo sisi tuliokuwa tunapinga vipengele vya mkataba wa bandari tunahusiana vipi na dini. Tuache kusema kama vipengele havipo sawa sababu unaogopa kuchanganya dini na haki yetu watanzania kulinda rasilimali zetu?
Sasa ina maana gani ya kuwa wazalendo kama kuendesha bandari tu tunashindwa na kumpa mwekezaji?
Anyway hata kama tunampa mwekezaji vipengele vya mkataba vieleweke basi au vilinde rasilimali zetu
 
Viongozi wa dini na wale wa siasa wote wanakula jasho (kumnyonya mwananchi mlalahoi).
Hata hivyo, kama kuna ambao wanatoa hoja yenye mantiki kwa faida ya ukombozi wa mwafrika dhidi ya unyonyaji wa wageni (tukizingatia hali halisi ya sasa na historia), yatupasa kuungana nao kwa mustakabali mwema wa taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…