Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

Kwani hao maaskofu wamechaguliwa na nani? Mimi pia ni mwananchi na naunga mkono msimamo wa serikali. Sasa hao maaskofu sauti Yao ni ya wananchi wapi?! Au wananchi wa nchi hii ni wakatoliki peke Yao.?!
Hatar sana πŸ˜…πŸ˜…πŸ™
sawa tusubiri ila wachambue hoja kama wenzao sio watuletee hadithi za halfu olela holela
Tusubiri tuone !!
 
Huyu mpumbavu aliwadhalilaha wasukuma kipindi cha magufuli na awamu hii ya Mzanzibari anawadhalilisha tena wasukuma.

Ukimchunguza kwa makini unagundua tatizo ni njaa! Huyu hafai popote kwa sababu anaendeshwa na tumbo
Duu...
sio ameamua kuongezea wese. kuna hoja; kuwa ukitaka kumjua chizi kama chizi kweli, mpagawishe. Jamaa kaamua kupagawisha ili nondo nzito zaidi zije.
Wale wa upande ule wakitoa yao na ajitokeze ninja wa kule awapagawishe tuone nondo zaidi Sina hakika na hili, historia ni shaidi.
Kuna safu wa kujipanga unaona Nondo zimeenda shule na wala sio zile hadithi. Sorry sio lazima nieleweke
 
Kwa kuwa hii issue imewakalia vibaya ccm naamini kwa utetezi huu awamu hii hukosi uteuzi
 
Kama Mama Samia ndiye Mkuu wa nchi, ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, CCM ndio chama cha Watanzania, wameikubali DPW, mhimili wa Mahakama umeikubali DPW, who the hell is TEC ikatae DPW?
Mkuu P, mimi ni mmoja kati ya watu wanao kuheshimu sana lkn sasa naona unataka kukivunjia heshima!
Nilitegemea kwa taaluma yako usimame useme, ukemee na ushauri Serikali kurejea upya vifungu vinavyoonekana kuwa mwiba kwa ustawi wa nchi katika yanayoitwa makubaliano baina ya Nchi mbili kama ambavyo TEC wameshauri, instead wewe mwanasheria unaanza kukinzana na Baadhi ya wanasheria wabobezi na wenye heshima kama kina Shivij. Hv ni huo tubuteuzi unaotaka au ni nini? Simama kwenye taaluma yako kataa kuwa Chawa!!

Kwa namna suala hili linavyofanywa limeanza kuvunja misingi ya haki, utu na utaifa, TEC wanawajibu wa kusimamia yote hayo na ndio maana wamewiwa kutoa tamko.
 
Maaskofu wanatukwaza sana baadhi ya wakatoliki, kwanza makwazo yanaanzia kanisani wakati wa mahubiri wakijenga hoja za kulazimisha kuuchukia uwekezaji wa DPW, tunakaa kimya kwa sababu hatuna utamaduni wa kuweka wazi maoni yetu na yakasikika tunapokuwa makanisani, hivyo wanaondoka na dhana kwamba wote wanakubaliana na kila wanachokisema kwetu sisi waumini.

Na wamechangia sana kuupinga huu uwekezaji ambao unafanyika kwa nia za kiuchumi. Mungu anatushangaa tunapokuwa na bahati ya bandari yetu kuzihudumia nchi nane zinazotuzunguka halafu sisi tunapiga siasa za kipumbavu kabisa.

Pia Padre Kitine ana sura ya picha ya mtu mnafiki kila anapoongea mbele ya watu. Hana nafsi nzuri na iliyo wazi. Wenye kufanya kazi za siri za nchi hii wanasema hayati JPM aliweza kumdhibiti akiwa ni mkatoliki mwenzake sasa amekuja Samia anajiona anao uhuru kwa sababu kiongozi mkuu ni muislam.

Mungu ni mwema na atatuvusha.
 

Fursa kama fursa

Hiiiiiiiii bagosha!
 
TEC wameona mbali na kuna vifungu kwenye mkataba vitakuja kugusa eneo lao Kurasini endapo Muwekezaji akianza kazi karuhusiwa kujitanua kwenye Export Promotion Zone ukanda wote ule wa Kurasini utachukuliwa
Wakatoliki wameachia shule kibao kwa serikali kipindi cha Nyerere hawakupewa hata shilingi kumi so kama kupigana wangepigana kipindi kile.Hilo eneo wakitaka kuwachia wana waachia vilevile sababu washawaachia maeneo mengi sana serikali.
 
Ingependeza sana kama tungekuwa tunajadili ubovu wa vipengele (maudhui) vya mkataba ambavyo vimeibuliwa na maaskofu kuliko kuwajadili wao na imani zao ambazo hazimo kwenye mkataba.

Aidha, ningefurahi sana kama tungejikita kushauri jinsi ya kuboresha vipengele vyenye utata. Kubwa kuliko yote, baada ya miaka 60 ya uhuru tungeelekeza nguvu zetu katika kuimarisha uwezo wetu wa kuendesha, kusimamia na kudhibiti wenyewe bandari zetu.

Kama hatuwezi kutafuta maarifa na teknolojia ya kupakia, kupakua, kuhifadhi na kusafirisha mizigo tutaweza kipi??!!
 
Hakyamungu mayala wewe ni pimbi kbs, 2018 TEC chini ya Askofu Ngalalekumtwa waliwahi kutoa tamko la utawala Bora, wakiuonya utawala wa magufuri kuminya vyombo vya hbr na wakosoaji wake...leo hii wasimkosoe Samia Kwa sbb gn??? Wee nawe punguza upimbi bhana
 
Umesoma vizuri Tamko brother? Kwani Maaskofu hawana haki ya kulinda Rasilimali za Taifa hili.

Tunasubiri na Bakwata nao waunge mkono.

Bikira Maria ndiyo mlinzi wa Taifa letu.

Kanisa Moja Takatifu la mitume
Angekuwepo yule shehe wa mkoa waliye mtumbua angetoa tamko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…