Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

Hakuna kingine wanaogopa influence ya mwarabu,wanajua uislam ulifika Tanganyika kupitia mwarabu,bila ujio wa mwarabu pasingekua na uislam,wanajua mwarabu ana pesa,pesa zitaleta miradi Kama shule na hospital ambazo wao wametumia kuvuna waamini
Unajiaminisha ujinga tu. Hakuna yeyote anayeogopwa, nyie ndio mnawaogopa, wakiongea tu kelele mchana kutwa.
 
Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.

Mama Samia ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, who the hell is TEC ikatae DPW?

Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.

Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.

Paskali
umesoma sheria lakini huna akili. yaliyo ya mungu apewe mungu na yaliyo ya kaisari apewe kaisari haikumaanisha kwamba wao hawana uhuru kutoa maoni yao. hata Yesu aliwasema mapolisi/serikali ya kipindi kile kuacha rushwa na kutosheka na kipato chao. na kwa taarifa yako, sababu kubwa na Yesu kusulibishwa ilikuwa kupinga serikali ya kipindi kile na walimwona kama mpinzani anayekuja kumpindua herode. na ndio maana watu wanahisi kuna rushwa imetembea ndio maana mnatetea sana huu mkataba, mwarabu kawalambisha pesa? toshekeni na mishahara yenu. lini utapata akili pasco?
 
DINI KWENYE ELIMU SAWA,NDIO MAANS WANAJENGA SHULE.DINI KWENYE AFYA ZA WANANCHI SAWA, NDIO MAANA WANAJENGA HOSPITAL. DINI KWENYE SIASA ETI NO NO NO NO NO KWANINI???? ILI UHUBIRIWE UELEWE, INABIDI UWE NA UELEWA MZURI( ELIMU) NA AFYA NJEMA. LAKINI PIA LAZIMA IWEPO AMANI. AMANI INATOKANA NA SIASA SAFI. HAPO DINI UTAITENGAJE NA SIASA.MBONA BUNGENI KUNA MAASKOFU NA WACHUNGAJI?
 
Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Mbona mzee wa ruksa hakuwahi kugomewa?

Halafu pascal, dini na siasa havitengani hata kidogo. Soma bible utaujua ukweli.
 
Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.

Mama Samia ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, who the hell is TEC ikatae DPW?

Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Habari jamii forum.

Naomba nieleze au na mm nichangie mada maana naona hizi mada zimekuwa nyingi sana na nyingi zinaelezea kuwa kama watu wanapinga huu mradi wa bandari.

Ilinapokuja swala la taifa mambo yote yanakuwa yanakaa pembeni, udini, siasa na ukabila maana hapa watatu wanatetea mali za Tanzania

Swala lolote linalo gusa mali au ardhi ya Tanzania tunatakiwa kuweka mambo yote pembeni. Wazee na baba zetu walivitunza na kuvieshimu sana iweje sisi leo tuwe wepesi kiasi hicho kukubali kila kitu bila ya kuoji au kukosoa.

Hivi vyote vilikuja kutoka nje,

#Siasa zilikuja
#Dini zilikuja
#Jina lilikuja

ILA TAMADUNI NA TANGANYIKA ZILIKUWEPO KABLA YA VYOTE HIVYO.

Atupaswi kukaa kmya maana machifu na watemi walipigania na wanakemea mambo aya kila siku. Ata walipo lala uko bado wanakemea aya mambo.

#Tusiwafanyie maamuzi vizazi vyetu vya kesho kwa sababu ya matumbo yetu ya leo na familia zetu. Sisi mbna wazee wetu awajatufanyia maamuzi ndomana mpaka leo vitu vipo Ardhi ipo.

#Kukosoa au kushauli si umpangie mtu wa kukosoa atokee wapi au aweje. Mtu yeyote ana haki ya kukosoa pale ambapo anaona akupo sawa. Tanznaia ni ya watanzania wote sio ya watu wachache.

#Wabunge pia tumewachagua sisi. Kwaiyo wakiwa wanafanya mambo kwa maslai yao pia tuna haki ya kukemea na kutoa maoni yetu. Sisi ndo tuwe waweka pale walipo. Awatakiwi kwenda kinyume na sisi mabosi zake ambao ndo tumemuweka pale.

#Mkisoma sana mnakuwa Missionaries #RIP JKNyerere.
 
Attachments

  • Tanzania Kwanza.mp4
    20.8 MB
  • Tanzania.jpg
    Tanzania.jpg
    20.7 KB · Views: 1
Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.

Mama Samia ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, who the hell is TEC ikatae DPW?

Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.

Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.

Paskali
Kwa hiyo mkuu bunge hilo unaliona nilakuaminika kabisaaaaaa!!! paschal usijidhalilishe mkuu hapo hatuna bunge la kuisimamia serikali tuna kivuli cha bunge ambacho kinatii maelekezo ya serikali! je wewe umesoma mkataba na umeuelewa wewe ni mwanasheria bila kusema uongo uligundua nini kwenye mkataba huo,

Yaliyofanywa na baraza la maaskaofi binafsi mimi nayaunga mkono kwa kuwa mkataba huo ni cancer kwa taifa hata baraza la bakwata likitoa tamko linajuwa wapi limesimamia ! hapo hakuna mambo ya dini hapo yanazungumziwa maswala ya mkataba ulivyo na mabonde mengi fatilia kwa makini utajuwa siyo wote viongozi wa serikali au wabunge wanaunga mkono mkataba huo ila kwasababu ya viapo vyao nakulinda ugali wao wanaamua kukaa kimya.
 
DINI KWENYE ELIMU SAWA,NDIO MAANS WANAJENGA SHULE.DINI KWENYE AFYA ZA WANANCHI SAWA, NDIO MAANA WANAJENGA HOSPITAL. DINI KWENYE SIASA ETI NO NO NO NO NO KWANINI???? ILI UHUBIRIWE UELEWE, INABIDI UWE NA UELEWA MZURI( ELIMU) NA AFYA NJEMA. LAKINI PIA LAZIMA IWEPO AMANI. AMANI INATOKANA NA SIASA SAFI. HAPO DINI UTAITENGAJE NA SIASA.MBONA BUNGENI KUNA MAASKOFU NA WACHUNGAJI?
Ana hasira sana
 
Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.

Mama Samia ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, who the hell is TEC ikatae DPW?

Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.

Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.

Paskali
Umeshateuliwa boss subiri barua kwenye mbao za matangazo umeutafta sana ugali huu
 
Kuchanganya dini na siasa maana yake nini?

Kwanini hamtaki TEC watoe maoni yao kama ambavyo wengine wote wamekuwa wakiyatoa bila kujali nafasi zao?

Hiki ulicholeta hapa hakitakiwi kutiliwa maanani na wote wanaojilewa, kwa sababu siku hizi unajulikana umekuwa mtu wa aina gani.
Hajaliona lile sijui baraza la wazee wa amani sijui Shari wa mkoa wa Dar es Salaam
 
Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.

Mama Samia ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, who the hell is TEC ikatae DPW?

Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.

Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.

Paskali
Brother aliyekuambia dini sio siasa na siasa sio dini amekudanganya.
 
Hii nchi ni ya kidemokrasia. Kama ambavyo wewe unahaki ya kuwakejeli TEC kwa tamko lao na wao wana haki ya kutoa maoni yao....inapoishia haki yako ndipo inapoanzia ya mwingine
 
Back
Top Bottom