Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

''@Nakushauri tuu Mama, pamoja na mema yote DPW waliokutendea during Expo Dubai, and after, kubaliana tuu na ushauri wa TEC, huu ni ushauri Mungu, hili jambo la DPW achana nalo kwa sasa, kisha anzisha upya mchakato wa kumpata a strategic investor wa Bandari yetu kwa kufuata a due process, hakuna strategic investor mwekezaji wa Bandari wa kushindana na DPW!, hivyo DPW atakuwa ameingia kwa heshima, and very honourably''@


Hapa ndio penye point
 
Naona umesahau maaskofu msimamo wao kuhusu kovid kipindi kilicho si kwamba walizibwa midomo
 

Umesema ukweli
 
Unakumbuka pale Ikulu yetu ya magogoni JIWE alikuitaje?????Punguza Nj...basi
 
Waislam walipigwa pini kwasababu yatabia zao zakigaidi
kuhusu mahospil na miradi mingi inayo milikiwa na christian natumaini ilianzishwa muda mrefu kuliko mjadala wa oic napia hata ikatokea leo wakristo wakanyang'anywa miradi yote waanze upya tena nawapa miaka15 watakua wamesha cover nakuzipita mbali taasisi zakiislam
hapa tatizo sio upendeleo ila ukweli nikwamba wakristo wanajitolea sana na waislam hawanaga hiyo tabia niwanafiki mno haswa linapo ku ja suala la kuchangia jambo fulani mfano tajiri mkubwa wakiislam anaweza toa elfu50 na jambo linahitaji milion30 nawaislam wakaona nisawa kitu ambacho upande wapili tajiri wakikristo anaweza toa pekeake nawengine wakaendelea kutoa mchango
Islam wengi bado mpo taabani yaani sikuhizi hata kuhudumia matumbo yenu kipindi cha idd mmeshindwa mnasubili kondoo wamsaada hivi kweli jamii yanamna hii niyakuikaribisha kwenye misuada ya maendelo!? Aisee nyie endeleeni kusoma kunuti hilo mnaliweza
 
Paskali Kwani KAZI ya kanisa ni kufanya Nini,? Ni kuokota tu sadaka na zaka? Kukemea maovu kwenye jamii ni moja ya KAZI ya kanisa, uuzwaji wa bandari pia ni sehemu ya uovu. SHULE ulisomea Nini we Paskali?
Tatizo ni mkubwa wetu ila angeandika kijana kijana ningemtukana hadi azimie
 
We unaongea kwa chuki iliyoambatana na ujinga.

Nitajie tukio moja la kigaidi duniani lililohusishwa na waislamu kabla au wakati serikali ya awamu ya kwanza TZ ilipokuja na wazo la kuwatoa waislamu kwenye OIC na kuwaanzishia Bakwata!
 
Uteuliwe kuwa msemaji wa DP WORLD
 
1. Unajivunjia heshima, sidhani kama hiyo itakusaidia uteuzi. Jaribu !

2. Nani aliwachagua the so called wabunge?
3. Tena unatukana unawaita TEC the hell! Unadhani ukiutukana ukatoliki kumpendezesha Muislamu atakuona? jaribu!
Kwenye hiyo 3 jamaa nimemshusha chini kabisa. Ana njaa sana, ni mtu aliyetayari kulamba viatu kwa ajiri ya cheo.
 
Viongozi WA Imani wengi tunaamini ni mabalozi WA ufalme WA Mungu kwa ajili ya mema hapa dunia ndio maana tunawasikiliza.
Kwa upande mwingine viongozi WA serikali pia Wamewekwa na Mungu kwa ajili ya kusimamia haki za watu wake.
Kifupi wote ni watumishi WA mungu lakini ikiwa Kuna sauti ya Mungu basi tutaisikia kupitia watumishi WA Mungu wasio wanafiki.
Na mara zote sauti hiyo ilipuuzwa Kuna adhari kubwa.
Ndio maana Hawa viongozi rarely talk mpaka kuwe sauti ya Mungu.
 
Hiyo ni moja ya mikataba haramu kama lilivo bunge lisilo la wananchi
Mkuu umenishtua ujue, kumbe mapambano dhidi ya Legacy yanaendelea...!!! Hii DPWorld inaweza kuwa inatumika kama jiwe moja kupiga njiwa watano...!!! Njiwa wa Tano akiwa Bunge lililoasisiwa awamu iliyopita!!

Duh! (Jokes)
 
Mkuu umenishtua ujue, kumbe mapambano dhidi ya Legacy yanaendelea...!!! Hii DPWorld inaweza kuwa inatumika kama jiwe moja kupiga njiwa watano...!!! Njiwa wa Tano akiwa Bunge lililoasisiwa awamu iliyopita!!

Duh! (Jokes)
Kaka nani anaamini phd holder msukuma ni sauti ya wananchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…