Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

Hii ni hatua ya mwanzo tu Kuna hatua ya pili ya mikataba ya utendaji huko ndio mambo mengi yatawekwa sawa sasa hivi uwezi kujua Serikali itapata nn kwa DpW ni mapema sana
 
Hii ni hatua ya mwanzo tu Kuna hatua ya pili ya mikataba ya utendaji huko ndio mambo mengi yatawekwa sawa sasa hivi uwezi kujua Serikali itapata nn kwa DpW ni mapema sana
Sasa Kama kwenye hatua ya mwanzo ambapo ndio msingi wa mikataba inayokuja kuna ujanjaujanja na maswali mengi unafikiri iyo hatua inayofuata kunakua na mabadiliko gani
 
Loh! Paskali katika ubora wake. Mwanzoni nilidhani hakubaliani na tamko la TEC na kuwalaumu kwa waliyoyasema. Lakini hapa mwishoni yaelekea anakubaliana nalo kwani anautaka uongozi kuachana na wale wawekezaji wanaolalamikiwa. Pengine unaweza usielewe lakini Paskali huwa anataka lakini hataki....ad infinitum.
 
Hii ni hatua ya mwanzo tu Kuna hatua ya pili ya mikataba ya utendaji huko ndio mambo mengi yatawekwa sawa sasa hivi uwezi kujua Serikali itapata nn kwa DpW ni mapema sana
Ila huo ni mtego. Ukishakubali hatua ya mwanzo hakuna kurudi nyuma kwa vile tayari watakuwa wameshaanza hizo hatua za mwanzo. Mataifa yaliyokubali hiyo hatua ya mwanzo waliishia kushtakiwa kwa kuvunja mkataba na kutozwa fedha nyingi kama fidia ya kuvunja mkataba. Kuna kesi zaidi ya 10 katika mahakama ya Kimataofa ya Usuluhishi inayohusu hawa jamaa wa DPW. Gugu uone.
 
Mkatoliki niliyepata komunio ya kwanza pale forodhani primary school mwaka 83, nikapata kipaimara 86.
Mwaka 1983 komunio zilikuwa zinatolewa mashuleni?

Wewe si Mkatoliki, ni mamluki tu, sasa ngoja nikupe elimu ndogo tu ambayo huna.

Askofu ndio kanisa, na Askofu ndio mwakilishi wa Yesu kristo kwenye jimbo lake na ndio maana hakuna Askofu mkuu wa Wakatoliki wote Tanzania.

Kama ungekuwa ni Mkatoliki kweli ungeelewa kwamba kupinga maazimio ya baraza lenye maaskofu 37 ni kufuru, hawa huwa wanafunga na kuomba kwanza halafu ndio wanaongozwa na roho mtakatifu kufikia conclusion.

Kibaraka kama ipo.siku utahoji hata Papa amepatikanaje, wewe kama unapenda Ukristo basi category yako ni ministry kama za kina Nabi Musa ndio zinakufaa au kwa Nabi Mashimo.

Achana na Roman Catholic na Vatican kiumjula.

Roma Locuta, Causa Finita Est.
 
Nakubaliana na hoja zako
 
Dah makubwa sasa haya, kupingana na watu pia ni kufuru! Ndo maana kila siku kuna manaabii wapya upande huu!
 
Askofu Josepat Gwajima anapochamganya dini na siasa mbona husemi? Au kwa sababu ni CCM hapo hakuna shida.
Mashehe wanapotoa tamko la kuunga mbona husemi?
Waraka wa kwarezima wa maaskofu wakati Tundu Lissu amepigwa risasi hukumbuki?
 
Maakofu pia wanawajibika kwa Mungu na kwa Kaisari pia, na kwenye tamko hapo wamempa Kaisari lililo lake maana nao wanahusika kwenye kumchagua kaisari.
 
1. Unajivunjia heshima, sidhani kama hiyo itakusaidia uteuzi. Jaribu !

2. Nani aliwachagua the so called wabunge?
3. Tena unatukana unawaita TEC the hell! Unadhani ukiutukana ukatoliki kumpendezesha Muislamu atakuona? jaribu!
Huyo huwa anapuyanga tu. So nenda naye hivyohivyo. He is just a joke siku hizi.
Ni bahati mbaya tu jina la kipindi chake watu walilihamishia kwa Nguruwe, huenda mwisho wake ukawa wa aina ya mwisho wa...Kiti Moto
 
Umeandika kiujanja ujanja sana, yani unawapinga kanisa ili kuwa-support mwisho!

Ni hivi, kama hilo tamko ni sauti ya Mungu basi ibakisheni kanisani kwenu. Hivi Bakwata na wao wakisupport mkataba na kudai ni sauti ya Mungu kutakuwa miungu mingapi? Ila naamini Bakwata hawawezi kufanya hivo kwa kuwa sisi waislamu tunaheshimu mamlaka ya Mungu na kamwe hatujiviki mamlaka yake kwa matakwa yetu!

Waambieni hao TEC hizo hadithi za sauti ya Mungu watawadanganya nyie tu mnaodanganywa kila siku mtu kaota na akajitangazia utume, sio sisi!!!
 
Kwani mkuu kwenye madini huko Tz Ina case ngapi mbona hili halionekani nyinyi mnakomalia Bandari tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…