Unajiaminisha ujinga tu. Hakuna yeyote anayeogopwa, nyie ndio mnawaogopa, wakiongea tu kelele mchana kutwa.Hakuna kingine wanaogopa influence ya mwarabu,wanajua uislam ulifika Tanganyika kupitia mwarabu,bila ujio wa mwarabu pasingekua na uislam,wanajua mwarabu ana pesa,pesa zitaleta miradi Kama shule na hospital ambazo wao wametumia kuvuna waamini
Nateuzi mkuu zote wamemuona hafaiPascal siyo kwamba hajui sema usukuma unampelekesha hovyo
Haelewi hilo
Huko umempendelea sana,mpe ubalozi wa Fiji,unamtosha sanaNimekuteua uwe balozi Uganda, punguza bangi braza
Tupunguze utoto kwenye issues sensitive 😊😊 ukinuna uwe na sababu...Nimekuteua uwe balozi Uganda, punguza bangi braza
umesoma sheria lakini huna akili. yaliyo ya mungu apewe mungu na yaliyo ya kaisari apewe kaisari haikumaanisha kwamba wao hawana uhuru kutoa maoni yao. hata Yesu aliwasema mapolisi/serikali ya kipindi kile kuacha rushwa na kutosheka na kipato chao. na kwa taarifa yako, sababu kubwa na Yesu kusulibishwa ilikuwa kupinga serikali ya kipindi kile na walimwona kama mpinzani anayekuja kumpindua herode. na ndio maana watu wanahisi kuna rushwa imetembea ndio maana mnatetea sana huu mkataba, mwarabu kawalambisha pesa? toshekeni na mishahara yenu. lini utapata akili pasco?Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Mama Samia ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, who the hell is TEC ikatae DPW?
Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Paskali
Mbona mzee wa ruksa hakuwahi kugomewa?Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Habari jamii forum.Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Mama Samia ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, who the hell is TEC ikatae DPW?
Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Kwa hiyo mkuu bunge hilo unaliona nilakuaminika kabisaaaaaa!!! paschal usijidhalilishe mkuu hapo hatuna bunge la kuisimamia serikali tuna kivuli cha bunge ambacho kinatii maelekezo ya serikali! je wewe umesoma mkataba na umeuelewa wewe ni mwanasheria bila kusema uongo uligundua nini kwenye mkataba huo,Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Mama Samia ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, who the hell is TEC ikatae DPW?
Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Paskali
Ana hasira sanaDINI KWENYE ELIMU SAWA,NDIO MAANS WANAJENGA SHULE.DINI KWENYE AFYA ZA WANANCHI SAWA, NDIO MAANA WANAJENGA HOSPITAL. DINI KWENYE SIASA ETI NO NO NO NO NO KWANINI???? ILI UHUBIRIWE UELEWE, INABIDI UWE NA UELEWA MZURI( ELIMU) NA AFYA NJEMA. LAKINI PIA LAZIMA IWEPO AMANI. AMANI INATOKANA NA SIASA SAFI. HAPO DINI UTAITENGAJE NA SIASA.MBONA BUNGENI KUNA MAASKOFU NA WACHUNGAJI?
Umeshateuliwa boss subiri barua kwenye mbao za matangazo umeutafta sana ugali huuWanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Mama Samia ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, who the hell is TEC ikatae DPW?
Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Paskali
Hajaliona lile sijui baraza la wazee wa amani sijui Shari wa mkoa wa Dar es SalaamKuchanganya dini na siasa maana yake nini?
Kwanini hamtaki TEC watoe maoni yao kama ambavyo wengine wote wamekuwa wakiyatoa bila kujali nafasi zao?
Hiki ulicholeta hapa hakitakiwi kutiliwa maanani na wote wanaojilewa, kwa sababu siku hizi unajulikana umekuwa mtu wa aina gani.
Anayepiga kelele ni wewe na wenzio wanaowasamehe dhambi,mi nishtushwe na TEC!?..wamerudi parokiani wakati mkataba wa dp upo hatua za mwisho utekelezaji uanzeUnajiaminisha ujinga tu. Hakuna yeyote anayeogopwa, nyie ndio mnawaogopa, wakiongea tu kelele mchana kutwa.
Jamaa nimemshangaa sanaMbona mzee wa ruksa hakuwahi kugomewa?
Halafu pascal, dini na siasa havitengani hata kidogo. Soma bible utaujua ukweli.
Brother aliyekuambia dini sio siasa na siasa sio dini amekudanganya.Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Mama Samia ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, who the hell is TEC ikatae DPW?
Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Paskali
Hii nchi ni ya kidemokrasia. Kama ambavyo wewe unahaki ya kuwakejeli TEC kwa tamko lao na wao wana haki ya kutoa maoni yao....inapoishia haki yako ndipo inapoanzia ya mwingineWanabodi,