Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

Bunge?wanaowakilishwa na bunge wameikataa?
 
Acha uzwazwa, kwani ma shehe walivyokaa kikao na kuunga mkono hii DP World siyo udini, au hukuona . Acha wanaojielewa wapiganie urithi wa nchi. Go on TEC
 
Sikutegemea Pascal kuandika uzi wa namna hii
Suala la bandari siyo la siasa, au imani
Ni uchumi wetu na urithi wetu
Wakatoriki wana akili na hekima ya ali ya juu
Nitasikitika sana kama tuna mkatoriki kama wewe
 
TANZANIA KWANZA MENGINE BAADAE.
#UDINI
#MAKABILA
#SIASA
#JINA
 

Attachments

  • Tanzania Kwanza.mp4
    20.8 MB
Nyie kazi imewashinda, mmeamua kuwa chawa! Acha wanaojua wajibu waendelee!
 
Tunasuburi waraka wa masheikh wa mikoa wote
 
Ni wakati gani since acient and modern day civilization dini na siasa/utawala vilitenganishwa. Hii ni ajenda iliyoanzishwa na ccm ili kuwanpumbaza watu tu.
You should know that religion is powerful than politics. Viongozi wa dini wakihubiri watu wasiende kupiga kura na wasuse vyama vya siasa utaona wanasiasa wote wanawaangukia.

Natamani hata bakwata waweke wazi msimamo wao.
 
Hivi Pascal Mayalla unajitoa ufahamu namna hii! Huoni mapungufu ya maudhui ya mkataba wa DP World wewe?
 
Baraza la maaskovu haliruhisiwi kutoa kauli (matako) ya kukemea au kuipinga uonevu,unyonyaji na ukandamizaji? Kanisa pia lina kazi ya kutetea haki za wananchi kwa kupaaza sauti linapoona haki zao zinakanyagwa na serikali.
Tukumbusheni basi wakati mkapa anauza kila kitu....kanisa lilikuwepo? Na Kama lilikuwepo lilitoa tamko lolote?
Kama halikutoa hii ni double standard (Mimi ni mkatoliki pia Ila hii sijaipenda)
 
magufuli asingeleta mkataba wa kipuuzi kama huu,....
unarejesha usultani tanganyika unataka watu wakuangalie tu?....

na akae vizuri, anaweza ondoka!
 
Mkuu unazungumzia bunge gani/wawakilishi wa wananchi gsni???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…