Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bunge?wanaowakilishwa na bunge wameikataa?Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Mama Samia ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, who the hell is TEC ikatae DPW?
Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Paskali
Sikutegemea Pascal kuandika uzi wa namna hiiWanabodi,

Wananchi wepi hao? Hao wanachi sii ni pamoja na hao wabunge ambao tayari wameshauridhia huo mkataba au wabunge sio wananchi?Kama Wananchi hawasikilizwi, kuna kosa gani Kanisa likasaidia kupaza sauti Mr Paskali, au wewe kubadili Sheria za Nchi ili Mwarabu afaidi Nchi yetu wewe umeridhika?
Kwenye chaguzi mbona wanakua wakimya?Baraza la maaskovu haliruhisiwi kutoa kauli (matako) ya kukemea au kuipinga uonevu,unyonyaji na ukandamizaji? Kanisa pia lina kazi ya kutetea haki za wananchi kwa kupaaza sauti linapoona haki zao zinakanyagwa na serikali.
Uanzie wapi wakati ✈️ Tanzania one kilasiku Dubei kuwaangukia wasitishe mkatabaAnayepiga kelele ni wewe na wenzio wanaowasamehe dhambi,mi nishtushwe na TEC!?..wamerudi parokiani wakati mkataba wa dp upo hatua za mwisho utekelezaji uanze
Mkuu Bin Haroub, unajua huu mkataba haukutoka hadharani kwa hiari, umefanya kuvujishwa, kwanza tuanzie hapo.Wananchi wepi hao? Hao wanachi sii ni pamoja na hao wabunge ambao tayari wameshauridhia huo mkataba au wabunge sio wananchi?
Nyie kazi imewashinda, mmeamua kuwa chawa! Acha wanaojua wajibu waendelee!Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Mama Samia ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, who the hell is TEC ikatae DPW?
Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Paskali
Tunasuburi waraka wa masheikh wa mikoa woteWanabodi,

Point 😎Mkuu Bin Haroub, unajua huu mkataba haukutoka hadharani kwa hiari, umefanya kuvujishwa, kwanza tuanzie hapo.
Ni wakati gani since acient and modern day civilization dini na siasa/utawala vilitenganishwa. Hii ni ajenda iliyoanzishwa na ccm ili kuwanpumbaza watu tu.Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Mama Samia ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, who the hell is TEC ikatae DPW?
Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Paskali
Hivi Pascal Mayalla unajitoa ufahamu namna hii! Huoni mapungufu ya maudhui ya mkataba wa DP World wewe?Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Mama Samia ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, who the hell is TEC ikatae DPW?
Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Paskali
Tukumbusheni basi wakati mkapa anauza kila kitu....kanisa lilikuwepo? Na Kama lilikuwepo lilitoa tamko lolote?Baraza la maaskovu haliruhisiwi kutoa kauli (matako) ya kukemea au kuipinga uonevu,unyonyaji na ukandamizaji? Kanisa pia lina kazi ya kutetea haki za wananchi kwa kupaaza sauti linapoona haki zao zinakanyagwa na serikali.
magufuli asingeleta mkataba wa kipuuzi kama huu,....Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Mama Samia ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, who the hell is TEC ikatae DPW?
Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Paskali
Mkuu unazungumzia bunge gani/wawakilishi wa wananchi gsni???Wanabodi,

Waendelee tu kusema ni haki yao lakini Bandari ndio hiyo imeendaAcha uzwazwa kwa mkataba kama ule wa kissenge acha waseme