Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, sijui ni kwa nini hujiamini kiasi hicho na kutegemea sana akili za watu wengine? ... Tulipigania uhuru tukiwa na lengo la kujitawala ili tuweze kuendesha mambo yetu wenyewe ikiwemo bandari.Kuongea ni rahisi sana, miaka yote tumeshindwa wapi kusomesha wataalam wa sekta husika?, kumbuka kuwa maana ya bandari huenda ikibadilika kila kukicha. Sio upakuaji na upakiaji melini wa makontena ni zaidi ya hapo, hao DP World wanafanya shughuli za bandari kwenye mabara yote na wanao uzoefu mkubwa sana wa sekta husika, usidanganywe na hizi hoja za uzalendo na utaifa yapo mambo ni makubwa kuliko huo uzalendo wetu wa mdomoni.
Ukweli unabakia kuwa sekta ya bandari ya nchi za afrika haina teknolojia, na hizi za kwako ni dhana za hayati JPM za kujidanganya kwamba tunaweza kujitegemea kwa nguvu kazi yetu.Mkuu, sijui ni kwa nini hujiamini kiasi hicho na kutegemea sana akili za watu wengine? ... Tulipigania uhuru tukiwa na lengo la kujitawala ili tuweze kuendesha mambo yetu wenyewe kama ikiwemo bandari.
Nikufahamishe tu kuwa wapo watanzania waliosomeshwa kwa ajili ya kusimamia na kuendesha bandari tena tangu enzi za Nyerere, nawafahamu watanzania wanne tena kwa majina na nchi wanazifanya kazi hivi sasa kwenye bandari za kigeni. Mzanzibari mmoja amesimea Gdańsk degree ya kwanza hadi ya pili, hivi sasa yuko Marekani, kama hajastaafu. Kuna wabongo wawili, mmoja yuko Gothenburg-Sweden na wa pili bado yuko Gdańsk -Poland ... Mbongo wa nne aliyesomea fani hiyo yupo hapo bandarini, bila shaka ameishaathiriwa na ubadhirifu... Hii nchi ni yetu, tuijenge wenyewe jomba. DPW hana muujiza wowote ule unaoweza kuwatoa watu makini kwenye reli!.
Mkuu labda ungenipa mifano ya bandari unazodai kuwa zina teknologia ambayo ni ngeni iliyotoka sayari nyingine ili tujadili, vinginevyo naona ni kama tunapiga soga tu.Ukweli unabakia kuwa sekta ya bandari ya nchi za afrika haina teknolojia, na hizi za kwako ni dhana za hayati JPM za kujidanganya kwamba tunaweza kujitegemea kwa nguvu kazi yetu.
Teknolojia kuwa chini ni tatizo la bandari zetu.
Rasilimali watu yenye uwezo ni tatizo katika bandari zetu
Mtaji mdogo ni tatizo la bandari zetu.
Maaskofu wamepinga uwekezaji lakini hawajaja na suluhisho la hayo matatizo matatu, kuendelea kubakia na utendaji wa bandari wa kizamani ni kuendelea kukwama kiufanisi, sina uhakika iwapo wamejiuliza baada ya kuukata uwekezaji kipi kinachofuata.
Brother distance yourself from the ongoing nuisance otherwise you will be stained beyond the cleansing reagentWanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, tena sio Mkatoliki mlei tuu, ni miongoni mwa Wakatoliki wacheche waliokwenda kuhiji Israel, na waliofika St. Peter's Basilica, Rome, Italy, nikiwa mdogo nimehudunu utumishi kanisani chini ya Muadhama Laurian, Cardinal Rugambwa, na nimemhudumia Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere.
Nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu in disbelief, hili kweli ni tamko la TEC, au tamko la Fr. Kitima?. Naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Kama Mama Samia ndiye Mkuu wa nchi, ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, na kuridhia ile IGA ya DPW, CCM ndio chama tawala na chama pekee cha Watanzania, wameikubali DPW, mhimili wa Mahakama umeikubali DPW, kwa kuipiga chini kesi ya kupinga DPW, who the hell is TEC ikatae DPW?!.
Katika uendeshaji wa nchi yetu, kumewahi kuwepo tuhuma za kitu kinachoitwa "Mfumo Kristo", hata uongozi wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, uliwahi kutuhumiwa kujaza Wakatoliki!. Mwalimu Nyerere akamtuma msaidizi wake Bi. Wickens amuhesabie idadi ya mawaziri Wakatoliki kwenye cabinet yake, akawakuta wawili, mmoja wao ni Sir George Kahama, wakati huo Sir George ameisha endelea, ana wake 2!.
Japo Tanzania ni secular state, nchi yetu haina dini na serikali haina dini, ila watu wake wana dini, na dini Kuu mbili ni Wakristo na Waislamu. Ukiangalia development index ya maendeleo na personal development ya watu hawa wawili ni tofauti, kuna mmoja ni more influential kuliko mwingine, hivyo akisema kitu kinasikilizwa na kisipo sikilizwa...
Tukubali tukatae, Kanisa Katoliki lina upper hand kwenye siasa za nchi hii!, si wengi wanajua kuwa kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki!, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, na atakaye mfuatia Mama Samia baada muda wake, ni lazima awe Mkatoliki!, je kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Zanzibar ilipojiunga na OIC na kwa vile Zanzibar sio nchi, hivyo Tanzania ndio ikahesabika kujiunga na OIC, ni TEC ndio wa kwanza kupiga kelele, Tanzania tukajitoa!, lakini tupo Wakristo Wakatoliki, tuliisupport Zanzibar na kuitaka JMT ijiunge na OIC OIC - Zanzibar kujiunga kivyake vyake
Waislamu walipotaka Mahakama ya Kadhi, na CCM chini ya rais Muislamu, ikawakubalia na kuuingiza hoja ya Mahakama ya Kadhi kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010, ni TEC walipiga kelele, Mahakama ya Kadhi ikakataliwa na ilani ya CCM iliyofuata ya 2015 ambapo ni zamu ya rais Mkristo, hoja ya Mahakama ya Kadhi ikaondolewa kwenye ilani ya CCM!. Tupo baadhi yetu tena ni Wakristo Wakatoliki, tuliwaunga mkono ndugu zetu Waislamu kudai Mahakama ya Kadhi Kuahidiwa Mahakama ya Kadhi, kujiunga na OIC kumeleta mshikamano na serikali? na mpaka tukapendekeza Mwarobaini wa Kweli wa Mahakama ya Kadhi ni Huu, Wakristo, Waislamu, Kuukubali Bila Matatizo!.
Tuambiane ukweli, jiulize, rais angekuwa ni MkatolikinMagufuli ndio ameileta hii DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.
Bwana wetu Yesu Kristo alituasa tumpe Kaisari yaliyo ya Kaisari na tumpe Mungu yaliyo ya Ki Mungu, jee waraka mzito kama huu, haujachanganya ya Ki Mungu na ya Kaizari?.
Pia Bwana wetu Yesu Kristo alituusia tuwe makini sana na manabii wa uongo, niliwahi kuandika hivi humu Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.
Sipingi uhuru wa Maaskofu Katoliki kutoa kutoa maoni yao binafsi kuhusu jambo lolote, lakini maoni ya kupinga jambo lolote la kisiasa yanayotolewa na TEC, ni sawa na amri kwa Wakatoliki wote kuikataa DPW!, kitu ambacho kitawakwaza Wakotoliki wa CCM, Serikali, Bunge na Mahakama, wanao unga mkono DPW, hivyo baada ya tamko hili, wakiendelea kuunga mkono DPW ni kama kwenda kinyume cha msimamo wa Kanisa Katoliki!.
Sina tatizo kiongozi yoyote wa dini akihubiri amani, mimi mwenyewe ile 2010, JK alipokuwa na hali mbaya, nimezunguka nchi nzima na Askofu Moses Kulola kuokoa jahazi Askofu Kulola: Kuna mtandao wa kisiasa makanisani
Niliwahi kuuliza maswali haya kuhusu viongozi hawa wa dini
Hitimisho
- Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais
- Tanzania tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!
- Askofu Kakobe Asipuuzwe: Ni kama David Koresh na Camp Davidians!
- Vijana Waahidiwa Utajiri Kwa Shurti la Kuweka Agano la Kutohama Efata-Mtume na Nabii Mwingira!.
- Mzee wa Upako anatumika kisiasa?
Kufuatia waraka huu kunasibishwa na Sauti ya Mungu mwenyewe, kumaanisha Vox Populi is Vox Dei, hii maana yake waraka huu ni sauti ya Mungu wa kweli, na kama hawa Maaskofu Katoliki sio manabii wa uongo, ushauri wangu wa bure kwa Rais Mama Samia, kama hawa Maaskofu Katoliki wamewasilisha sauti ya Mungu wa kweli, uzoefu umeonyesha sio vizuri kuwakatalia Maaskofu, na mfano mzuri ni ushauri huu niliompa rafiki yangu Benard Membe, Bernard Membe usibishane na Maaskofu, samehe tu. Yule ni kichaa anastahili msamaha, hakujua atendalo tangu Membe alipoupuuza ushauri huu,... (naomba nisimalizie), ila hakuchukua round!.
Hivyo mimi nikiwa ni mmoja wa wana jf wenye kauli umba "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia
Nakushauri tuu Mama, pamoja na mema yote DPW waliokutendea during Expo Dubai, and after, kubaliana tuu na ushauri wa TEC, huu ni ushauri Mungu, hili jambo la DPW achana nalo kwa sasa, kisha anzisha upya mchakato wa kumpata a strategic investor wa Bandari yetu kwa kufuata a due process, hakuna strategic investor mwekezaji wa Bandari wa kushindana na DPW!, hivyo DPW atakuwa ameingia kwa heshima, and very honourably.
Paskali.
Rejea za Mwandishi kuhusu DPW na Bandari zetu
- Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
- Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!
- Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!
- Hakuna Ubaya Wowote kwa Mtu Yoyote, Taasisi Yoyote, Nchi Yoyote Kusaidiwa Pale Inaposhindwa, Muhimu ni Kuwa Makini Tusipigwe. Je DPW Tunapigwa?
- Bunge letu ni Bunge la ovyo? Bunge linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika naye aanze kuita Watu kwenye Kamati, au waachwe tu?
- DP World: Hizi Kelele, Kulalamika, Shutuma, na Lawama ni za Kweli au ni Ujinga Tu? Rais Samia Anastahili Kulaumiwa au Kupongezwa?
- Je, ni Kweli Bunge letu ni Dhaifu na Kibogoyo?
- Watanzania ni Watu wa ajabu. Wanapigiaje kelele jambo dogo la Bandari, lakini Mambo Muhimu ya Msingi kama Katiba na Uhuru wao wapo Kimya?
- Kwa la Bandari, Pongezi TLS. Katiba yetu imenajisiwa. Bunge limetunga Sheria batili. Haki za Watanzania zimeporwa. Kwanini TLS wamenyamaza kimya?
- Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!
- Bunge, Serikali na Mahakama, Sio Mungu, Sio Malaika, Zinaweza Kukosea!. Zinapokosea, Zina Wajibu Kurekebisha na Kutenda Haki, Vinginevyo Karma Will Do
- Wito: Hoja za Kisheria za TLS, Prof. Shivji na wengine wote kupinga IGA, zisijibiwe Kisiasa kwa maneno matupu!, zijibiwe Kisheria kwa Vifungu!.
- Wajua kuna ndoa halali, batili na batilifu? Ndoa ya TPA na DPW, ni Ubakaji? Wajua ubakaji unaweza kuwa alali? IGA batili yaweza kuzaa HGA halali?
- IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria vilaza wa Ajabu. Je, Bunge letu na Serikali navyo ni vya Ajabu?
- Katiba mbovu, sheria mbovu, mikataba mibovu. Leo tumetozwa zaidi ya Tsh. Bilioni 260. Kufanywa kichwa cha Mwendawazimu hadi lini?
- IGA ya DPW imetusaidia mambo mengi. Kwanza kuonyeshea tuna wanasheria wa aina gani, pili kuidogosha fani ya sheria na sasa kila mtu ni Mwanasheria?
- Mwenye dada hakosi shemeji, IGA ni posa tu. Je, tuendelee kupiga kelele kuzozania posa, au tutulie tupange Mahari ya maana kwenye HGA?
- Je, umefika wakati kutimiza Uzalendo wa kweli wa kwenda kwenye Serikali moja?
- Na kufuatia baadhi ya watu wenye akili fupi humu kudhani mimi ni chawa, nawahakikishia mimi sio chawa Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
- Chawa hawezi kupandisha bandiko kama hili Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
Mi napendaga tu malamri yako wanyumbani!Wanabodi,

Because u r the one proving verdict of what is right and wrong, sio?Brother distance yourself from the ongoing nuisance otherwise you will be stained beyond the cleansing reagent
Baada ya kumaliza Ilboru, sio nilipunguza, niliachana kabisa na cha Arusha!.punguza bangi braza
Mimi sio tuu ni Mkatoliki, mimi ni Mkatoliki die hard, niliyekwenda hadi Israel na St Peters Basilica pale Vatican City, Rome!. Tatizo langu mimi ni Tomaso!.Wewe ni Mkatoliki ama dhehebu jingine?
Ni kweli, kanisa lina haki zote kukemea maovu, lakini hapa kwenye waraka huu, kanisa lime dictate terms!. Bunge letu Tukufu ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi, limeridhia, CCM chama tawala, kimeridhia, Mahakama imeridhia. Tamko hili linawaweka Wakatoliki wanaounga mkono DPW, unawaweke kwenye wakati mgumu kiasi gani?.Baraza la maaskovu haliruhisiwi kutoa kauli ya kukemea au kuipinga uonevu, unyonyaji na ukandamizaji? Kanisa pia lina kazi ya kutetea haki za wananchi kwa kupaaza sauti linapoona haki zao zinakanyagwa na serikali.
Hakuna kosa lolote kwa kanisa kusaidia kupaza sauti, ila hili tamko lina amri ndani yake!. Kuhusu kubadili sheria to accommodate DPW, this is inevitable, sisi waona mbali, hili tulilisema toka day one tulipozitunga hizi sheria za ajabu Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?Kama Wananchi hawasikilizwi, kuna kosa gani Kanisa likasaidia kupaza sauti Mr Paskali, au wewe kubadili Sheria za Nchi ili Mwarabu afaidi Nchi yetu wewe umeridhika?
What has Usukuma got to do with this?.Pascal siyo kwamba hajui sema usukuma unampelekesha hovyo
Najua sana jinsi kanisa Katoliki livyoisaidia serikali, Wakatoliki ni raia wema, na kanisa Katoliki linasaidia sana kwenye utoaji wa huduma za jamii, afya, elimu na ujasiriamali na misaada kibao, lakini hili tamko ni too strong, badala ya ku beg, lina dictates!.Unajuaje kama Baraza limeisaidia Serikali kwa tulipofikia?
Chukua nakala ya kiingereza ndio iko kwenye level yako Learned Brother. Kingine ambacho pia unatakiwa kufanya ni kupitia sala za wakatoliki uone kama kuna inayoomba...nielewe we are not beggars.Najua sana jinsi kanisa Katoliki livyoisaidia serikali, Wakatoliki ni raia wema, na kanisa Katoliki linasaidia sana kwenye utoaji wa huduma za jamii, afya, elimu na ujasiriamali na misaada kibao, lakini hili tamko ni too strong, badala ya ku beg, lina dictates!.
P
Huna akili 🚮Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, tena sio Mkatoliki mlei tuu, ni miongoni mwa Wakatoliki wacheche waliokwenda kuhiji Israel, na waliofika St. Peter's Basilica, Rome, Italy, nikiwa mdogo nimehudunu utumishi kanisani chini ya Muadhama Laurian, Cardinal Rugambwa, na nimemhudumia Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere.
Nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu in disbelief, hili kweli ni tamko la TEC, au tamko la Fr. Kitima?. Naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Kama Mama Samia ndiye Mkuu wa nchi, ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, na kuridhia ile IGA ya DPW, CCM ndio chama tawala na chama pekee cha Watanzania, wameikubali DPW, mhimili wa Mahakama umeikubali DPW, kwa kuipiga chini kesi ya kupinga DPW, who the hell is TEC ikatae DPW?!.
Katika uendeshaji wa nchi yetu, kumewahi kuwepo tuhuma za kitu kinachoitwa "Mfumo Kristo", hata uongozi wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, uliwahi kutuhumiwa kujaza Wakatoliki!. Mwalimu Nyerere akamtuma msaidizi wake Bi. Wickens amuhesabie idadi ya mawaziri Wakatoliki kwenye cabinet yake, akawakuta wawili, mmoja wao ni Sir George Kahama, wakati huo Sir George ameisha endelea, ana wake 2!.
Japo Tanzania ni secular state, nchi yetu haina dini na serikali haina dini, ila watu wake wana dini, na dini Kuu mbili ni Wakristo na Waislamu. Ukiangalia development index ya maendeleo na personal development ya watu hawa wawili ni tofauti, kuna mmoja ni more influential kuliko mwingine, hivyo akisema kitu kinasikilizwa na kisipo sikilizwa...
Tukubali tukatae, Kanisa Katoliki lina upper hand kwenye siasa za nchi hii!, si wengi wanajua kuwa kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki!, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, na atakaye mfuatia Mama Samia baada muda wake, ni lazima awe Mkatoliki!, je kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Zanzibar ilipojiunga na OIC na kwa vile Zanzibar sio nchi, hivyo Tanzania ndio ikahesabika kujiunga na OIC, ni TEC ndio wa kwanza kupiga kelele, Tanzania tukajitoa!, lakini tupo Wakristo Wakatoliki, tuliisupport Zanzibar na kuitaka JMT ijiunge na OIC OIC - Zanzibar kujiunga kivyake vyake
Waislamu walipotaka Mahakama ya Kadhi, na CCM chini ya rais Muislamu, ikawakubalia na kuuingiza hoja ya Mahakama ya Kadhi kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010, ni TEC walipiga kelele, Mahakama ya Kadhi ikakataliwa na ilani ya CCM iliyofuata ya 2015 ambapo ni zamu ya rais Mkristo, hoja ya Mahakama ya Kadhi ikaondolewa kwenye ilani ya CCM!. Tupo baadhi yetu tena ni Wakristo Wakatoliki, tuliwaunga mkono ndugu zetu Waislamu kudai Mahakama ya Kadhi Kuahidiwa Mahakama ya Kadhi, kujiunga na OIC kumeleta mshikamano na serikali? na mpaka tukapendekeza Mwarobaini wa Kweli wa Mahakama ya Kadhi ni Huu, Wakristo, Waislamu, Kuukubali Bila Matatizo!.
Tuambiane ukweli, jiulize, rais angekuwa ni MkatolikinMagufuli ndio ameileta hii DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.
Bwana wetu Yesu Kristo alituasa tumpe Kaisari yaliyo ya Kaisari na tumpe Mungu yaliyo ya Ki Mungu, jee waraka mzito kama huu, haujachanganya ya Ki Mungu na ya Kaizari?.
Pia Bwana wetu Yesu Kristo alituusia tuwe makini sana na manabii wa uongo, niliwahi kuandika hivi humu Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.
Sipingi uhuru wa Maaskofu Katoliki kutoa kutoa maoni yao binafsi kuhusu jambo lolote, lakini maoni ya kupinga jambo lolote la kisiasa yanayotolewa na TEC, ni sawa na amri kwa Wakatoliki wote kuikataa DPW!, kitu ambacho kitawakwaza Wakotoliki wa CCM, Serikali, Bunge na Mahakama, wanao unga mkono DPW, hivyo baada ya tamko hili, wakiendelea kuunga mkono DPW ni kama kwenda kinyume cha msimamo wa Kanisa Katoliki!.
Sina tatizo kiongozi yoyote wa dini akihubiri amani, mimi mwenyewe ile 2010, JK alipokuwa na hali mbaya, nimezunguka nchi nzima na Askofu Moses Kulola kuokoa jahazi Askofu Kulola: Kuna mtandao wa kisiasa makanisani
Niliwahi kuuliza maswali haya kuhusu viongozi hawa wa dini
Hitimisho
- Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais
- Tanzania tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!
- Askofu Kakobe Asipuuzwe: Ni kama David Koresh na Camp Davidians!
- Vijana Waahidiwa Utajiri Kwa Shurti la Kuweka Agano la Kutohama Efata-Mtume na Nabii Mwingira!.
- Mzee wa Upako anatumika kisiasa?
Kufuatia waraka huu kunasibishwa na Sauti ya Mungu mwenyewe, kama ni kweli Vox Populi is Vox Dei yaani
Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu, na Kanisa Katoliki ni kanisa la Mungu, hii maana yake Maaskofu Katoliki ni watu wa Mungu, hivyo waraka huu ni sauti ya Mungu wa kweli, na kama hawa Maaskofu Katoliki sio manabii wa uongo, ushauri wangu wa bure kwa Mama, Rais Samia, kama hiki hawa Maaskofu Katoliki wamewasilisha ni sauti ya Mungu wa kweli, uzoefu umeonyesha sio vizuri kuwakatalia Maaskofu, na mfano mzuri ni ushauri huu niliompa rafiki yangu Benard Membe, Bernard Membe usibishane na Maaskofu, samehe tu. Yule ni kichaa anastahili msamaha, hakujua atendalo tangu Membe alipoupuuza ushauri huu,... (naomba nisimalizie), ila hakuchukua round!.
Hivyo mimi nikiwa ni mmoja wa wana jf wenye kauli umba "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia
Nakushauri tuu Mama, pamoja na mema yote DPW waliokutendea wewe na serikali yetu during Expo Dubai, and after, nakushauri tuu kubaliana na ushauri wa hawa Maaskofu Katoliki Tanzania wa TEC, huu ni ushauri tuu, hili jambo la DPW achana nalo kwa sasa, kisha anzisha upya mchakato wa kumpata a strategic investor wa Bandari yetu kwa kufuata a due process, hakuna strategic investor wa Bandari duniani anaweza kushindana na DPW!, hivyo DPW atakuwa ameingia kwa heshima, and very honourably.
Paskali.
Rejea za Mwandishi kuhusu DPW na Bandari zetu
- Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
- Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!
- Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!
- Hakuna Ubaya Wowote kwa Mtu Yoyote, Taasisi Yoyote, Nchi Yoyote Kusaidiwa Pale Inaposhindwa, Muhimu ni Kuwa Makini Tusipigwe. Je DPW Tunapigwa?
- Bunge letu ni Bunge la ovyo? Bunge linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika naye aanze kuita Watu kwenye Kamati, au waachwe tu?
- DP World: Hizi Kelele, Kulalamika, Shutuma, na Lawama ni za Kweli au ni Ujinga Tu? Rais Samia Anastahili Kulaumiwa au Kupongezwa?
- Je, ni Kweli Bunge letu ni Dhaifu na Kibogoyo?
- Watanzania ni Watu wa ajabu. Wanapigiaje kelele jambo dogo la Bandari, lakini Mambo Muhimu ya Msingi kama Katiba na Uhuru wao wapo Kimya?
- Kwa la Bandari, Pongezi TLS. Katiba yetu imenajisiwa. Bunge limetunga Sheria batili. Haki za Watanzania zimeporwa. Kwanini TLS wamenyamaza kimya?
- Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!
- Bunge, Serikali na Mahakama, Sio Mungu, Sio Malaika, Zinaweza Kukosea!. Zinapokosea, Zina Wajibu Kurekebisha na Kutenda Haki, Vinginevyo Karma Will Do
- Wito: Hoja za Kisheria za TLS, Prof. Shivji na wengine wote kupinga IGA, zisijibiwe Kisiasa kwa maneno matupu!, zijibiwe Kisheria kwa Vifungu!.
- Wajua kuna ndoa halali, batili na batilifu? Ndoa ya TPA na DPW, ni Ubakaji? Wajua ubakaji unaweza kuwa alali? IGA batili yaweza kuzaa HGA halali?
- IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria vilaza wa Ajabu. Je, Bunge letu na Serikali navyo ni vya Ajabu?
- Katiba mbovu, sheria mbovu, mikataba mibovu. Leo tumetozwa zaidi ya Tsh. Bilioni 260. Kufanywa kichwa cha Mwendawazimu hadi lini?
- IGA ya DPW imetusaidia mambo mengi. Kwanza kuonyeshea tuna wanasheria wa aina gani, pili kuidogosha fani ya sheria na sasa kila mtu ni Mwanasheria?
- Mwenye dada hakosi shemeji, IGA ni posa tu. Je, tuendelee kupiga kelele kuzozania posa, au tutulie tupange Mahari ya maana kwenye HGA?
- Je, umefika wakati kutimiza Uzalendo wa kweli wa kwenda kwenye Serikali moja?
- Na kufuatia baadhi ya watu wenye akili fupi humu kudhani mimi ni chawa, nawahakikishia mimi sio chawa Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
- Chawa hawezi kupandisha bandiko kama hili Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
Maaskofu Katoliki wana haki ya kulinda rasilimali, kama raia wengine wowote, ila tamko hili lina dictates with no option of choice!, ni kama amri fulani hivi!. Huwezi kumuamrisha rais wa JMT!Umesoma vizuri Tamko brother? Kwani Maaskofu hawana haki ya kulinda Rasilimali za Taifa hili.
Leo ELCT leo wameunga mkono, CCT wanafuatia, at the end of the day TEC itapuuzwa!.Tunasubiri na Bakwata nao waunge mkono.
Unajua baada ya kumzaa Yesu, hiyo B ilitolewa na alizaa watoto wengine na mumewe Yosefu?. Whats a point kuendelea kumuita B?Bikira Maria ndiyo mlinzi wa Taifa letu.
Hapa tuko pamoja,Kanisa Moja Takatifu la mitume
Jee hiki kinachofanywa na TEC is it right?, be honest!, na kulisoma tamko hili mimbarini na madhabahuni, is it right?.