Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Hawa viumbe wa ubavu wa kushoto linapokuja swala la mapenzi huwa hawana "intelligence" yoyote, wanaongozwa na "hisia".mkuu binti ni very intelligent halafu mpole utaongea maneno kibao halafu swali moja tu linazika maneno yako yote!
Akikufumania na ukakubali kosa unamuumiza hisia zake, lakini, ukikataa kosa unamchanganya hisia zake anakua hajui akae upande gani, upande wa kukuchukia au kukupenda.
Akiwa kaika dilemma hiyo kwako wewe ni ushindi sababu hisia za kukupenda zitazidi hisia za kukuchukia. Kwanini?
Sababu kukiri kosa mbele ya mwanamke ni kuonesha udhaifu (weakness). Udhaifu wako hupunguza hisia za mwanamke juu yako. Ukikiri mbele yake kuwa ni kweli umechepuka moja kwa moja anachukulia kuwa umemdharau na kumwona hafai bali mchepuko wako ndio bora kumzidi yeye.
Ukikataa kosa hata kama amekukuta umefanya, unaonesha uimara wako mbele yake. Unamuonesha kuwa mchepuko sio bora kumzidi yeye. Kumbuka unachotakiwa kufanya ni kucheza na hisia zake pasipo kukiri udhaifu wako. Hawa viumbe wanawapenda sana Wanaume wakorofi na wenye misimamo.
Akikufumania, kataa. Love is a mind game.