Mpenzi wangu alinifumania, ananichanganya!

mkuu binti ni very intelligent halafu mpole utaongea maneno kibao halafu swali moja tu linazika maneno yako yote!
Hawa viumbe wa ubavu wa kushoto linapokuja swala la mapenzi huwa hawana "intelligence" yoyote, wanaongozwa na "hisia".

Akikufumania na ukakubali kosa unamuumiza hisia zake, lakini, ukikataa kosa unamchanganya hisia zake anakua hajui akae upande gani, upande wa kukuchukia au kukupenda.

Akiwa kaika dilemma hiyo kwako wewe ni ushindi sababu hisia za kukupenda zitazidi hisia za kukuchukia. Kwanini?

Sababu kukiri kosa mbele ya mwanamke ni kuonesha udhaifu (weakness). Udhaifu wako hupunguza hisia za mwanamke juu yako. Ukikiri mbele yake kuwa ni kweli umechepuka moja kwa moja anachukulia kuwa umemdharau na kumwona hafai bali mchepuko wako ndio bora kumzidi yeye.

Ukikataa kosa hata kama amekukuta umefanya, unaonesha uimara wako mbele yake. Unamuonesha kuwa mchepuko sio bora kumzidi yeye. Kumbuka unachotakiwa kufanya ni kucheza na hisia zake pasipo kukiri udhaifu wako. Hawa viumbe wanawapenda sana Wanaume wakorofi na wenye misimamo.

Akikufumania, kataa. Love is a mind game.
 
unavyoandika kama vile kitu rahisi sana yani!
 
Nimesoma mara7 huku nikilia sana kwanini wanaume mnakuwa warahisi Hivi? Unaanzaje kuomba msamaha?

Kukubali kwako kumekuponza ungekataa hata iweje!!

Ungeapa Kwa mbingu na ardhi hata Kwa mababu na midhimu hakika angekuelewa tu.

Wengine tumewahi kufumaniwa lkn nilijikataa live na nikamwambia twende Kwa mtaalamu tukaangaliziwe kama ni Mimi kweli
 
Alinifumania lile fumanizi ambalo halina kupinga! Yaani, fumanizi la 100 percentage...

Zikapita siku mbili hanitafuti, nami nikawa kimya na mawazo sijui naanzia wapi kujitetea. Nikaona isiwe tabu, nikaenda kulanduka na Serengeti lager kama 5 hivi, kisha nikampigia simu!

Nikajua hata atakuja juu, lakini mtoto wa watu ndo kwanza akawa mpole kama maji ya kwenye mtungi! Baada ya salamu, nikamuuliza, 'Umenisamehe?' Akacheka kidogo halafu akakaa kimya.

Nikamuuliza tena, 'Au ndo umeniacha tayari?'

Akavuta pumzi akajibu, 'Nimekuacha na sijakuacha pia!' Hapo hapo akakata simu!

Nikapiga tena, akaniuliza, 'Nini?' Nikamwambia, 'Nakupenda.'

Akajibu, 'Nakupenda na sikupendi pia.'

Nipo matatani, ananichanganya sana, sielewi hapa majibu yake mawili mawili yananitia sonona na mtanziko wa mawazo! Kwa ambaye amekutana na swahibu kama hili ulifanyaje kuyaweka mambo sawa? Kijana wenu penzi bado nalitaka maana mtoto miuno kama feni bovu!
Pole jamaa kaza moyo tafuta tu mwingine utajuta kuyafahamu mapenzi
 
Heeeh!,

Mwanaume unafumaniwa na unakubali? Natamani hata nikukate makofi.

MWANAUME HUTAKIWI KUKUBALI HATA KAMA UKIFUMANIWA UPO KIFUANI UNAPIGA UNO..... KATAA KABISA KUWA SIO WW.... KATAA KATU KATU.

GENTAMYCINE, ephen_ , njoo muone hii kijana ya ovyo
Yawezekana alienda Kumbandua kwa huyo Demu ndiyo yakamkuta hivyo Mkuu. Ukiwa Mtu wa Medani huwezi Kufumaniwa.
 
Alinifumania lile fumanizi ambalo halina kupinga! Yaani, fumanizi la 100 percentage...

Zikapita siku mbili hanitafuti, nami nikawa kimya na mawazo sijui naanzia wapi kujitetea. Nikaona isiwe tabu, nikaenda kulanduka na Serengeti lager kama 5 hivi, kisha nikampigia simu!

Nikajua hata atakuja juu, lakini mtoto wa watu ndo kwanza akawa mpole kama maji ya kwenye mtungi! Baada ya salamu, nikamuuliza, 'Umenisamehe?' Akacheka kidogo halafu akakaa kimya.

Nikamuuliza tena, 'Au ndo umeniacha tayari?'

Akavuta pumzi akajibu, 'Nimekuacha na sijakuacha pia!' Hapo hapo akakata simu!

Nikapiga tena, akaniuliza, 'Nini?' Nikamwambia, 'Nakupenda.'

Akajibu, 'Nakupenda na sikupendi pia.'

Nipo matatani, ananichanganya sana, sielewi hapa majibu yake mawili mawili yananitia sonona na mtanziko wa mawazo! Kwa ambaye amekutana na swahibu kama hili ulifanyaje kuyaweka mambo sawa? Kijana wenu penzi bado nalitaka maana mtoto miuno kama feni bovu!
Kwa style hii hatuwezi kupata Generation Z soon hapa bongo.
 
Huna ujanja.....umeshikwa pabaya.....
1002264235.jpg
 
Alinifumania lile fumanizi ambalo halina kupinga! Yaani, fumanizi la 100 percentage...

Zikapita siku mbili hanitafuti, nami nikawa kimya na mawazo sijui naanzia wapi kujitetea. Nikaona isiwe tabu, nikaenda kulanduka na Serengeti lager kama 5 hivi, kisha nikampigia simu!

Nikajua hata atakuja juu, lakini mtoto wa watu ndo kwanza akawa mpole kama maji ya kwenye mtungi! Baada ya salamu, nikamuuliza, 'Umenisamehe?' Akacheka kidogo halafu akakaa kimya.

Nikamuuliza tena, 'Au ndo umeniacha tayari?'

Akavuta pumzi akajibu, 'Nimekuacha na sijakuacha pia!' Hapo hapo akakata simu!

Nikapiga tena, akaniuliza, 'Nini?' Nikamwambia, 'Nakupenda.'

Akajibu, 'Nakupenda na sikupendi pia.'

Nipo matatani, ananichanganya sana, sielewi hapa majibu yake mawili mawili yananitia sonona na mtanziko wa mawazo! Kwa ambaye amekutana na swahibu kama hili ulifanyaje kuyaweka mambo sawa? Kijana wenu penzi bado nalitaka maana mtoto miuno kama feni bovu!
Mtafutie na yeye njia ya kuliwa na mwengine.

Haupo koo za simba wewe ndio maana unakua na matatizo ya kijinga. Igeni koo za simba muishi kwa furaha.

Koo za simba wanawake zetu wanatutafutia simba wenzetu tuwale, wanafahamu kua huwezi kulla ngiri sikuzote, siku nyingone lazima ule swala au digidigi, na wao halikadhalika.

Kujamiiana ni moja katika miiko mikubwa ya simba, mradi asile au kuliwa na asiye simba.

Kwa nyinyi ambao hampo kwenye koo za simba mnakulana na yeyote tu. Kwanini iwe tabu wewe ukila mwengine na yeye akiliwa na mwengine?
 
Bora yako wewe ulifumaniwa unamaliza mimi nilifumaniwa namtomgoza binti wa kazi halafu kanikataa kinoma noma wife alicheka sana , nikipita mahari wife amekaa na huyo binti wanacheka kwa nguvu halafu wanagonga,
yaani saivi nikiona mtu yeyote anacheka naona kama ananicheka mimi.
 
Alinifumania lile fumanizi ambalo halina kupinga! Yaani, fumanizi la 100 percentage...

Zikapita siku mbili hanitafuti, nami nikawa kimya na mawazo sijui naanzia wapi kujitetea. Nikaona isiwe tabu, nikaenda kulanduka na Serengeti lager kama 5 hivi, kisha nikampigia simu!

Nikajua hata atakuja juu, lakini mtoto wa watu ndo kwanza akawa mpole kama maji ya kwenye mtungi! Baada ya salamu, nikamuuliza, 'Umenisamehe?' Akacheka kidogo halafu akakaa kimya.

Nikamuuliza tena, 'Au ndo umeniacha tayari?'

Akavuta pumzi akajibu, 'Nimekuacha na sijakuacha pia!' Hapo hapo akakata simu!

Nikapiga tena, akaniuliza, 'Nini?' Nikamwambia, 'Nakupenda.'

Akajibu, 'Nakupenda na sikupendi pia.'

Nipo matatani, ananichanganya sana, sielewi hapa majibu yake mawili mawili yananitia sonona na mtanziko wa mawazo! Kwa ambaye amekutana na swahibu kama hili ulifanyaje kuyaweka mambo sawa? Kijana wenu penzi bado nalitaka maana mtoto miuno kama feni bovu!
hapo kuw mpole make kumanizi lako kujitetea nikugumu sn zaid akikuletea nyodo mkaushie mapenz yakufos nyakati hiz hamna
 
Utoto raha.
Umenipendea nini ?
Umekula?
Nakuja tulale wote?
Umevaaje ?
Ninge kukataa unge fanyaje?
tutazaa watoto wa ngap ?

Mleta mada katuongezea bonus.
Nakupenda na sikupendi pia
Nime kusamehe na sija kusamehe
 
Alinifumania lile fumanizi ambalo halina kupinga! Yaani, fumanizi la 100 percentage...

Zikapita siku mbili hanitafuti, nami nikawa kimya na mawazo sijui naanzia wapi kujitetea. Nikaona isiwe tabu, nikaenda kulanduka na Serengeti lager kama 5 hivi, kisha nikampigia simu!

Nikajua hata atakuja juu, lakini mtoto wa watu ndo kwanza akawa mpole kama maji ya kwenye mtungi! Baada ya salamu, nikamuuliza, 'Umenisamehe?' Akacheka kidogo halafu akakaa kimya.

Nikamuuliza tena, 'Au ndo umeniacha tayari?'

Akavuta pumzi akajibu, 'Nimekuacha na sijakuacha pia!' Hapo hapo akakata simu!

Nikapiga tena, akaniuliza, 'Nini?' Nikamwambia, 'Nakupenda.'

Akajibu, 'Nakupenda na sikupendi pia.'

Nipo matatani, ananichanganya sana, sielewi hapa majibu yake mawili mawili yananitia sonona na mtanziko wa mawazo! Kwa ambaye amekutana na swahibu kama hili ulifanyaje kuyaweka mambo sawa? Kijana wenu penzi bado nalitaka maana mtoto miuno kama feni bovu!
Murife run
 
Back
Top Bottom